Haina madhara mdau
Wa JF ninataka ushauri wenu kuhusu ndevu,
Mimi nimebahatika kuwa na ndevu nyingi sana, yaani nisiponyoa baada ya wiki nzima nakuwa na madevu balaa,Tatizo kazi yangu haniruhusu kuwa na ndevu, kwa hiyo nyoa kila mara
Swali langu ni hivi, kila nikinyoa ndevu mapele yanaota sana, nimejitahidi kutumia after shave haisaidii kabisa,
Vile vile nimegundua baada ya kunyoa hata kabla ya kunyoa kidevu changu kinakuwa kikavu kabisa
Je kuna mafuta ya kupaka kwenye Ndevu? na kama yapo yanaitwaje?
Msaada tafadhali
mbona unatutisha mkuuunatumia njia gan kunyoa?hakikisha unapo nyoa ndevu usizikwangue mpaka ziishe..uziache kwa mbali.kwaiyo utakua unazipunguza.vipele vitapotea...ila mwanzo utakavo anza vitakua vinatoka...nakushaur achana na sijui mafuta.poder.spilit..au aina yoyote.ya kuondoa vipele.au ndevu..badae madhara n makubwa..
Je unasumbuliwa na harara, vipele na muwasho baada ya kunyoa ndevu??
Gentleman's pride ni bidhaa itakayo kuondolea hilo tatizo na kuifanya ngozi yako irudi katika muonekano mzuri usio na vipele wala kuwashwa.
Unamfaham mtu yoyote mwenye hii adha, rafiki yako, mume wako, kaka yako, baba yako, jirani au mfanyakazi mwenzio.
Whatsapp/text 0787 583880 Kujpata maelezo zaidi na kujua utapataje ya kwako.
View attachment 273485View attachment 273486View attachment 273487
jamani wanaume wenzangu ina maana hakuna anaejua msaada wa vipele vya ndevu.
Habari wakuu natumai ni wazima. Mimi nina tatizo la vipele na mabaka baada ya kunyoa ndevu,naomba anayejua dawa ya kuondoa vipele hivo na mabaka anisaidie.
Pakaa dawa fulani hivi inaitwa AMOL-G usipopona tatizo lako nakukabidhi roho yangu na moyo wangu uamue nini cha kunifanya. Na hiyo dawa ya AMOL-G siyo tu katika mapele hayo bali hata mba sijui na mapunye yale kichwani yote yote inatibu. Kazi kwako Mkuu na pole kwa hilo tatizo.
Inapatikana wapi mkuu
Kwani dawa huwa zinapatikana wapi? Swali gani na kuniuliza hili Mkuu? Diclopa huwa unazipata Baa au Gereji? Utaniudhi halafu nisikusaidie uzidi kutokwa na mapele yako hayo! Nenda katika Duka lolote la dawa ulizia hiyo dawa na uipakae upesi leo kabla ya kwenda kulala ILA sharti lake kuu UNATAKIWA ukae mwezi mzima bila KUMBANDUA Shemeji yetu je UTAWEZA Mkuu au hapo katikati utafanya LIWALO na LIWE?