BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Asante mkuuPole. Kufuga ndevu pia ni style.....kuna wengine inawapendeza sana!
Mimi natumia BumpPatrol, ni aftershave na so far inanisaidia sana kupambana na mapele. Kama walivyoshauri wengine, jaribu ku maintain frequency ya kunyoa. Kama ni kila baada ya siku mbili basi jitahidi iwe hivyo hivyo.
Mashine inaitwaje hiyo mkuuKwa ushauri kanunue zile mashine za kunyolea za laki na 40
Asante mpendwaPiece of advice, ukinyoa uwe unaangalia direction ya nywele unanyoa kulingana na uelekeo wake usinyoe upande tofauti mfano nywele zimeota kuelekea juu basi nyoa kuelekea juu inasaidia kutotokewa vipele
Hua nanyoa ndevu kila baada ya siku 6 na hua napaka sabuni ya detto hata kama kuna dawa natumia lakini hali hua inabaki vile vileUshauri wangu. Hakikisha una muda maalum baada ya kunyoa kwa mala ya kwanza yaani kama unanyoa baada ya siku tano fanya hivo. Sio leo unakaa na ndevu siku 10 mala 6 haitakiwi hivo. Cha pili kila unapo oga asubuh na jion hakikisha unapaka sabuni na unajisugua vuzuri kwenye kidevu na unaacha sabuni ikar angalu dak 2~3 . Haijalishi sabuni unayotumia ata kama itakuwa ni ya mche inafanya kazi vizuri tu. Hii ni endelevu uwe umenyo au huja nyoa. Kwa mala ya kwanza huwa unasikia maumivu ila baada ya muda utazoe. Mwenyewe nsha wahi kuwa na tatizo kama hilo ila saivi kwisha kabisa.
Asante kwa ushauriNenda kaombewe pia utatoa ushuhuda humu jf!
Nilianza kuota ndevu takribani miaka 7 iliyopita, katika miaka 2 ya mwanzo nilifurahia kua na ndevu na nilinyoa ndevu kwa staili yoyote ile niipendayo.
Baada ya muda huo nilianza kusumbuliwa na tatizo la kutokwa na vipele kila baada ya kunyoa/kuchonga ndevu zangu.
Kukabiliana na tatizo hili niliamua kutumia njia 3 kwa nyakati tofauti lakini zote zimegonga mwamba na mpaka sasa vipele vya ndevu vinanitoka sana mpaka kutishia kuharibu unadhifu wa ngozi yangu...
Njia ambazo nilitumia kuondoa vipele zimekua zinanisaidia mwanzoni tu lakini baada ya muda vipele huendelea na kutotibiwa na njia/dawa husika! Njia/dawa hizo ni kama ifuatavyo;
√Kubadili vivyozi/barber shop
√Split na after shave aina nyingi
√Eskinol
√Gentlemen pride(product ya forever)
√Gentrose
√Persol gel
√Kukanda maji ya moto
√Kupaka mawe flani meupe
√Kupaka utomvu wa alovera
√Kubadili lotion nazotumia mfano Nivea, cocopulp, kupakaa mafuta mfano zawadi zanzibar, babycare
√Shaving cream
√Kunyoa kwa kutumia magic powder
√Kushave mwenyewe kwa kutumia povu la gillete etc
Pamoja na kutumia njia/dawa hizo katika vipindi tofauti tofauti zoote zimeshindwa kutatua tatizo langu. Kwa waliowahi kuona tatizo kama hili tushirikiane kupata ufumbuzi wake
Unaelekeza kama wewe ushawahi kunyoa yani we unajua hizo ndefu maumivu yke kwanzaPiece of advice, ukinyoa uwe unaangalia direction ya nywele unanyoa kulingana na uelekeo wake usinyoe upande tofauti mfano nywele zimeota kuelekea juu basi nyoa kuelekea juu inasaidia kutotokewa vipele
Kwani mi sinyoagi we vipi 😀😀Unaelekeza kama wewe ushawahi kunyoa yani we unajua hizo ndefu maumivu yke kwanza
Unanyoa za wapiKwani mi sinyoagi we vipi 😀😀