Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Cheki bidhaa za oriflame au makampuni mengine ya bidhaa za aina hiyo huenda ukapata ufumbuzi kama mimi zilivyonisaidia kwa mtoto wangu kuna mafuta nilinunua ikamaliza matatizo yote hadi yaliyokua yanaleta shida kutibiwa hospitalini
Asante sn mkuu
 
Asante sn nimeichukua
 

Tafuta haraka sana dawa moja nzuri sana na itakusaidia mno inaitwa AMOL-G. Kila la kheri na usisahau kurudi humu kuleta mrejesho tafadhali.
 
Nilikua n tatizo hlo, demu wangu akaniletea powder imeandikwa Enchanteur Charming, napaka asubuhi n jioni daily vipele kwisha kabisa
 
Ukitumia madawa ndio unazidi kujiongezea matatizo cha kufanya nenda kwenye maduka makubwa ya vifaa vya umeme ulizia mashine za kunyolea ndevu za umeme watakupa na maelezo jinsi ya kutumia tatizo lako litaisha.
 
Chukua ushauri huu utakusaidia sana na ni very cheap; mi mwenywe nilikuwa kama wewe ila niimepona kabisa..
Hakuna ishu za mashine wala nini, we fanya hivi ukishanyoa makesure unakanda kwa kitaulo chenye maji ya moto 40+C hv, kwa dak kadhaa kama 3&5 hv,
Baada ya hapo paka AFTER SHAVE , utakuwa umemaliza tatizo lako..
Naomba uje unipe mrejesho..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…