Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Soma vizuri thread.
Najua unapokuwa unanyoa kwa viwembe unaota mapele hayo mapele yakipona yanatengeneza weusi fulani so kidevu ukomaa mtu wa miaka 25 unakaa kama 35 hivi ..... Solution ni kununu vile zimashine vya kucharge then unakuwa unanyolea ndevu pia unapo anza kunyoa anza kupaka powder kwanza na uhakika tatizo litaisha mzee
 
Mi pia nilikuwa nasumbuliwa sana na tatizo hilo saizi nipo fresh
 
ukinyoa mwambie asikwangue kabisa zibaki kama zinaota na pia ukae nazo muda mrefu kabla hujanyoa
 
Nunua Bump Patrol, inapatikana maduka ya Vipodozi hutojuta mkuu mapele utayaskia tuu. Bei ni buku 10-15 kutegemeana na duka.
 
Jipake mavi
 
Ukimaliza kunyoa vinyweleo huwa vimekwanguliwa sasa fanya hivi baada ya kunyoa chemsha maji ya vugu vugu jikande kidogo tu kama maji ya kikombe halafu ukiwa unanyoa usijikwangue kwa nguvu nyoa kwa kuzifuatisha
 
1. Baada ya kunyoa tumia maji ya moto kwa kujikanda na kitambaa kisafi.

2. Tafta aftershave za bei ghali mkuu. Achana na spirit ama aftershave za buku buku.

3. Pendelea kunyoa mahala ama saluni za bei ghali kidogo hawa hua wana mashine mpya zenye wembe mpya. Hawa hubadili wembe wa mashine mara kwa mara. Sio hizi saluni zetu za buku buku, hawa utakuta mashine butu balaa wanatumia nguvu kukunyoa.

4. Usinyoe kipara, kumaliza nywele zote, nyoa kama zinaota kote kichwani na kidevuni.

Hope njia moja wapo itakusaidia.
 
Tumia veet kunyoa achana na mashine mkuu, ni lotion unaipakaza tu unasubiri 15minutes unaoshana kitambaa kazi kwisha hakuna ndevu kama usoni
 
Tumia machine za kuchaji, zinapunguza tatizo kwa asilimia kubwa sana. Kuna wakati ilibidi niache kunyoa nitumie magic lakini nikahisi ile dawa ni sumu tu, nikanunua hivi vimashine vidogo vya kunyolea, since then sikumbuki vipele.
 

Attachments

  • Screenshot_20231226_164005_Facebook.jpg
    113.9 KB · Views: 15
Tumia machine za kuchaji, zinapunguza tatizo kwa asilimia kubwa sana. Kuna wakati ilibidi niache kunyoa nitumie magic lakini nikahisi ile dawa ni sumu tu, nikanunua hivi vimashine vidogo vya kunyolea, since then sikumbuki vipele.
Bei ngapi hii ndugu?
 
Changanya unga wa karafuu na mafuta ya nazi uwe unapaka immediately baada ya kunyoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…