joseph_mbeya
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,123
- 2,935
Tumia powder wakati wa kunyoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma vizuri thread.Nunua mashine ya kucharge usitumie viwembe unakomaza kidevu
Najua unapokuwa unanyoa kwa viwembe unaota mapele hayo mapele yakipona yanatengeneza weusi fulani so kidevu ukomaa mtu wa miaka 25 unakaa kama 35 hivi ..... Solution ni kununu vile zimashine vya kucharge then unakuwa unanyolea ndevu pia unapo anza kunyoa anza kupaka powder kwanza na uhakika tatizo litaisha mzeeSoma vizuri thread.
ukinyoa mwambie asikwangue kabisa zibaki kama zinaota na pia ukae nazo muda mrefu kabla hujanyoaNasumbuliwa na vipele baada ya kunyoa ndevu shingoni. Before nlikuwa natumia Skderm lakini sioni kwa sasa tena ikinifaa. Nadhani imeshanizoea.
Matumizi ya spirit pia after shaving hayajawa na manufaa kwangu. Napomaliza kunyoa kesho yake najikuta kuna vipele vingi shingo hadi chini ya taya. Binafsi napendelea kuondoa ndevu zote za chini na mustache pia nikiacha tu sharafa.
Naombeni solution ya hili ili nibaki kuwa na ngozi yangu laini kama awali. Natumia Gillete kunyolea na sometime machine hizi za kisasa cha kucharge. Bado shida inakuwepo. Msaada please.
Nunua Bump Patrol, inapatikana maduka ya Vipodozi hutojuta mkuu mapele utayaskia tuu. Bei ni buku 10-15 kutegemeana na duka.Nasumbuliwa na vipele baada ya kunyoa ndevu shingoni. Before nlikuwa natumia Skderm lakini sioni kwa sasa tena ikinifaa. Nadhani imeshanizoea.
Matumizi ya spirit pia after shaving hayajawa na manufaa kwangu. Napomaliza kunyoa kesho yake najikuta kuna vipele vingi shingo hadi chini ya taya. Binafsi napendelea kuondoa ndevu zote za chini na mustache pia nikiacha tu sharafa.
Naombeni solution ya hili ili nibaki kuwa na ngozi yangu laini kama awali. Natumia Gillete kunyolea na sometime machine hizi za kisasa cha kucharge. Bado shida inakuwepo. Msaada please.
Jipake maviNasumbuliwa na vipele baada ya kunyoa ndevu shingoni. Before nlikuwa natumia Skderm lakini sioni kwa sasa tena ikinifaa. Nadhani imeshanizoea.
Matumizi ya spirit pia after shaving hayajawa na manufaa kwangu. Napomaliza kunyoa kesho yake najikuta kuna vipele vingi shingo hadi chini ya taya. Binafsi napendelea kuondoa ndevu zote za chini na mustache pia nikiacha tu sharafa.
Naombeni solution ya hili ili nibaki kuwa na ngozi yangu laini kama awali. Natumia Gillete kunyolea na sometime machine hizi za kisasa cha kucharge. Bado shida inakuwepo. Msaada please.
Ulifunzwa kujibu hivi na mama yako au ulimwengu?Jipake mavi
Kawaida tunafunzwa na ulimwengu au ww mama yako ndio alikufunza kuulizia hivyo?Ulifunzwa kujibu hivi na mama yako au ulimwengu?
Tumia veet kunyoa achana na mashine mkuu, ni lotion unaipakaza tu unasubiri 15minutes unaoshana kitambaa kazi kwisha hakuna ndevu kama usoniNasumbuliwa na vipele baada ya kunyoa ndevu shingoni. Before nlikuwa natumia Skderm lakini sioni kwa sasa tena ikinifaa. Nadhani imeshanizoea.
Matumizi ya spirit pia after shaving hayajawa na manufaa kwangu. Napomaliza kunyoa kesho yake najikuta kuna vipele vingi shingo hadi chini ya taya. Binafsi napendelea kuondoa ndevu zote za chini na mustache pia nikiacha tu sharafa.
Naombeni solution ya hili ili nibaki kuwa na ngozi yangu laini kama awali. Natumia Gillete kunyolea na sometime machine hizi za kisasa cha kucharge. Bado shida inakuwepo. Msaada please.
Haka kadude unyama sanaTumia veet kunyoa achana na mashine mkuu, ni lotion unaipakaza tu unasubiri 15minutes unaoshana kitambaa kazi kwisha hakuna ndevu kama usoni
Hii inafaa hata kutolea zivu..?Haka kadude unyama sanaView attachment 2853760
Bei ngapi hii ndugu?Tumia machine za kuchaji, zinapunguza tatizo kwa asilimia kubwa sana. Kuna wakati ilibidi niache kunyoa nitumie magic lakini nikahisi ile dawa ni sumu tu, nikanunua hivi vimashine vidogo vya kunyolea, since then sikumbuki vipele.
Nilinunua 25k, zipo quality tofauti so bei zinatofautiana.Bei ngapi hii ndugu?
Na NYIE MASHOGA Kila sehemu mpo mnajitangaza.Jipake mavi
Yes hata kwapaniHii inafaa hata kutolea zivu..?