Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HPC 1, jaribu kutumia aina moja ya kinyoleo kwa muda mrefu!niliwahi kuwa na tatizo pale nilipokuwa nabadili vinyoleo mara wembe mara mashine!jaribu kutumia mashine kwa mwezi mzima mfululizo uone matokeo yake huenda ikakufaa kama ilivyonifaa mimi!
Hiyo ni tatizo dogo sana.....unaponyoa ndevu kumbuka kua ngozi inafunguka na ni rahisi kwa wadudu au bacteria kuingia so jitahidi kabla hujanyoa ndevu paka kwanza spirit pia bsadaya kumaliza paka spirit... then kaa baada ya nusu saa ndipo ukaoge au kuosha kidevu...
Usionye kidevu kabla ya nusu saa baada ya kunyoa.... hyo njia imenisaidia sana hat mm......
Kanunue After Shave kwenye maduka ya vipodozi. Hiyo ni kiboko ya mapele ya kwenye ndevu. Inauzwa sh.10000
Tupia namba yako nikupe tiba mdau
Mimi nimekwisa pata njia mbadala sasa nafanyia kazi ushauli nilioupata kwanza asanteni maana mambo ya tiba yanataka uvumilivu
paka sabuni kisha nyoa na wembe ukimaliza osha kidevu na maji ya moto kisha paka after shave moja inaitwa megaman inauzwa tshs 4000 tu