Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Jenga mazoeya ya kuacha ndevu kipindi kidogo...mf mimi huwa nanyoa kila baada ya wiki3/4,hii huifanya ngozi ya kidevu kupumzika kukwanguliwa na nikinyoa ngozi inakuwa fresh no vipele no weusi.
 
Watu wanakuenjoy nisikilize mm. Nenda saloon waambie wakunyoe na magic shave. Mi huwa natumia mwaka kama wa tano sasa na sioni shida
 
Wewe umepewa ndevu unazikataa

Basi kuwa sho.... ziache kuota
 
Wadau mambo vipi , ? Kidevu changu naona kinakomaa na kinatoaa vipelee, nanyoaa kwa wiki mara mojaa, nitumiee mafuta gani kulainishaaa, ? nina miaka 24, aaf mweupee, kidevu kinaharibu mwonekano wangu! Msaada wa USHAURI tafadhari.
Kuna nyembe zinauza SH Amon Tsh 40,000/ zinaitwa "gillette fusion" ni nzuri sana! Paka shaving foam wakati wa kunyoa kisha baada ya kunyoa paka "after shave" inaitwa "bump patrol" uataona matokeo! Hizo nyembe waweza kutumia hadi miezi 4, na ukiisha unapachika mwingine! Hope it works out as it did to me!
 
Mkuu kwa self shaving hebu jaribu kutumia nyembe za Super max hizi ni tripple blade au single blade,au unaweza kutumia nyembe za Gillete,hizi ni disposable razors,
Screenshot_2017-03-05-22-04-15.jpg
kwa upande wa Shaving gel jaribu kutumia gel yenye vitamin E & B5 hii ni alcohol free na haitoi povu,hii ni nzuri sana kwa sensitive skin,
Screenshot_2017-03-05-22-02-44.jpg
Baada ya kumaliza kushevu pakaa Poda ya maji itakusaidia sana,jaribu kutafuta hii poda nitakayo kuwekea picha yake hapa chini,
Screenshot_2017-03-05-22-04-58.jpg
 
Mkuu kwa self shaving hebu jaribu kutumia nyembe za Super max hizi ni tripple blade au single blade,au unaweza kutumia nyembe za Gillete,hizi ni disposable razors,View attachment 477186 kwa upande wa Shaving gel jaribu kutumia gel yenye vitamin E & B5 hii ni alcohol free na haitoi povu,hii ni nzuri sana kwa sensitive skin,View attachment 477190 Baada ya kumaliza kushevu pakaa Poda ya maji itakusaidia sana,jaribu kutafuta hii poda nitakayo kuwekea picha yake hapa chini,View attachment 477191
safi sanaaaaaaaaaaaaaaa, ahsanteeeeeeeeeee mkuu! nitatoaaaaaaaaaa matokeeeeeoooooooooo
 
Wadau mambo vipi , ? Kidevu changu naona kinakomaa na kinatoaa vipelee, nanyoaa kwa wiki mara mojaa, . . . . .

Ushauri ulionisaidia mimi ni km ifuatavyo:
Nyoa kila siku na hakikisha kidevu kimepakwa sabuni wakati wa kunyoa. Kausha kidevu vizuri halafu paka mafuta yoyote yale. Baadaye mwili unazoea na unaweza kunyoa mara chache kwa wiki au zaidi.
Jaribu hilo uone kama litakusaidia.
 
ahsanteeeeeeeehhhhhhhhhhhh

We jamaa ndo uitikiaji gani huo? Au nawe mwanaume wa Dar? Maana wengine wanalia hadi kanisani kisa wamesemwa. Mkoje?

Halafu ndo nini kusema we mweupe sana? Natamani kukusaidia ila nna mashaka na uhalisia wako.
 
Wadau mambo vipi , ? Kidevu changu naona kinakomaa na kinatoaa vipelee, nanyoaa kwa wiki mara mojaa, nitumiee mafuta gani kulainishaaa, ? nina miaka 24, aaf mweupee, kidevu kinaharibu mwonekano wangu! Msaada wa USHAURI tafadhari.
Mweupee ndiyo nini?
 
We jamaa ndo uitikiaji gani huo? Au nawe mwanaume wa Dar? Maana wengine wanalia hadi kanisani kisa wamesemwa. Mkoje?

Halafu ndo nini kusema we mweupe sana? Natamani kukusaidia ila nna mashaka na uhalisia wako.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Habari ya Jumapili wandugu,

Naweza kupata wapi dawa ya kutoa vipele kidevuni baada ya kunyoa ndevu.
Pole kwa tatizo lako lakini kuna suluhisho la tatizo lako kutoka kqenye kampuni inayotengeneza bidhaa za ngozi.. Kampuni hii inaitwa Oriflame, zipo shaving foam ambayo utaitumia wakati wa kunyoa ndevu.. Tatizo hili utalisahau kabisa.. Karibu namba yangu ni 0672416294 nitakuonyesha bidhaa na bei yake ukihitaji nitakufikishia mkoa wowote uliopo..
 
mkuu nitafute whatzup 0673646381 nina bidhaa za North for Men.....kutoka Oriflame sweden.......ambazo ni ........Shaving foam na after shave. kiboko ya mapele yatokanayo na kunyoa ndevu.
 
Back
Top Bottom