Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Hayo mapere yatoe na majani ya mpera. Naalabuk
 
Niliwai kufata kila ushaur hola. Hadi happ nilipoamua kunyolea magic powder. Kama utapata salun wanaofata maelekezo utasahau vipere.
 
Niliwai kufata kila ushaur hola. Hadi happ nilipoamua kunyolea magic powder. Kama utapata salun wanaofata maelekezo utasahau vipere.
Mimi nikinyoa kwa kutumia Magic powder utanihurumia mapele yanatoka sana.
Nadhan ina ngozi na ngozi.
Mi huwa natumia tu mashine ila sikwangui zote naacha chini chini sitoki vipele hata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magic si rahis ikukatae. Kuna maelekezo hufat na salun nying hawafuat. Hasa muda wa dawa kukaa, kias cha uji dawa, usaf baada y kukwangua, na mafuta baada y kukwangua. Utakuwa mtu pekee magic p kukukataa.
 
Hata mimi kuna kipindi nilijaribu kutumia Magic powder dah hali ilikuwa tete vipele kama utitili yaani nilichakaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini za jioni wakuu!!

Naombeni mnisaidie kwa anayefahamu dawa ya kuondoa mapele baada ya kunyoa ndevu

Naombeni mnifahamisheni wakuu👏👏
 
Morning!

Hope mmeamka vizuri na siku yetu njema hii ya Jumanne!

Wakuu naomba msaada kwa anayejua dawa nzuri ya kuzuia maupele.Kuna rafik yangu baada ya siku mbili kunyoa ndevu upele unamsumbua sana na kidevu kinawasha mno.

Ananyoa kwa kutumia machine.

Ashatumia magic bado haikusaidia

Kila akitaka kunyoa na baada lazma atumie poaa na maji ya moyo.

After shave za aina nying ashatumia hamna msaada.Kama kuna option nyingne anaomba msaada either dawa za asili au za kizungu!

Muwe na siku njema.Stay blessed!
 
Hello naomba kufahaam dawa ya upele baada ya kunyoa ndevu au ndevu zikianza kuota .. maana napata shida sana.
 
Back
Top Bottom