Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Hamna kitu. Nywele za kiafrika zimejikunja. Ukikata fupi chini ya ngozi baadhi zinajikunjia ndani. Hizo ndio hayo mapele unayoona. Ukitumbua hayo mapele utakuta nywele ndefu imejikunja ndani yake. Dawa yake ni kutokukata ama kukatia juu na wala siyo chini ya ngozi. Hair remover inazikatia chini. Haiwezi kuwa jibu.
tumia hair remover.nimewahi kuona mtu akiisifia humu jukwaani
 
Hamna kitu. Nywele za kiafrika zimejikunja. Ukikata fupi chini ya ngozi baadhi zinajikunjia ndani. Hizo ndio hayo mapele unayoona. Ukitumbua hayo mapele utakuta nywele ndefu imejikunja ndani yake. Dawa yake ni kutokukata ama kukatia juu na wala siyo chini ya ngozi. Hair remover inazikatia chini. Haiwezi kuwa jibu.
au atumie ile dawa ya povu ya kunyolea
 
Hiyo ya povu inanyoosha ndevu/nywele zilizojikunja za Mwafrika ili ziwe kama za Mzungu? Kama haifanyi hivyo, ni kupoteza pesa. Ukisoma tena meseji zangu za mwanzo taratibu na kama una akili kiasi bila shaka utanielewa.
au atumie ile dawa ya povu ya kunyolea
 
Kama ndevu zake zimejikunja kama za kwangu basi usipoteze pesa. Cha kufanya, asinyoe kwa wembe ama kitu kingine chochote kinachokata unywele chini ya ngozi. Akinyoa, aache ndevu/nywele kiasi zikiwa juu ya ngozi. Asizikatie chini ya ngozi.
Inaitwaje.... Na Ni pesa ngapi
 
Hiyo ya povu inanyoosha ndevu/nywele zilizojikunja za Mwafrika ili ziwe kama za Mzungu? Kama haifanyi hivyo, ni kupoteza pesa. Ukisoma tena meseji zangu za mwanzo taratibu na kama una akili kiasi bila shaka utanielewa.
kama akili yako ingekuwa inafanya kazi sawasawa ungekuwa umeshanielewa
 
Mkuu,

Jitahidi utafute Shabu, iko kama chumvi ya mawe.

Ukimaliza zoezi la kunyoa basi unaichovya kwenye maji halafu unapaka hiyo sehemu uliyojinyoa
iache kwa muda wa dakika kadhaa.

Bei yake ni shs mia 3 mpaka mia 5.

Shukrani
 
Ukataji wa ndevu unatumia vikemikali umeacha vijana wengi wakiwa na mvi na cancer za ngozi. Kutaka kuonekana handsom boy zimeacha sura zavijana wengi ktk hali ya mfadhaiko na maumivu kama unayo yapata.
 
Hii nayo sijuwi ni fake nishatumia sana hizi tena nilikuwa nanunua S.H.AMON Lakini hamna kitu.
hii ndio solution huta jutia, binafsi nimehangaika sana na hili tatizo , tiba nikaipata kwenye Bump Patrol,
 
Tumia dawa Moja inaitwa after shaving ni kiboko kwa mapele....bei 1000 kulingana na kipimo
 
Mkuu,

Jitahidi utafute Shabu, iko kama chumvi ya mawe.

Ukimaliza zoezi la kunyoa basi unaichovya kwenye maji halafu unapaka hiyo sehemu uliyojinyoa
iache kwa muda wa dakika kadhaa.

Bei yake ni shs mia 3 mpaka mia 5.

Shukrani
Hii shabu inauzwa maduka gani??? Ya dawa auu
 
Back
Top Bottom