Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
tumia hair remover.nimewahi kuona mtu akiisifia humu jukwaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hello naomba kufahaam dawa ya upele baada ya kunyoa ndevu au ndevu zikianza kuota .. maana napata shida sana.
tumia hair remover.nimewahi kuona mtu akiisifia humu jukwaani
au atumie ile dawa ya povu ya kunyoleaHamna kitu. Nywele za kiafrika zimejikunja. Ukikata fupi chini ya ngozi baadhi zinajikunjia ndani. Hizo ndio hayo mapele unayoona. Ukitumbua hayo mapele utakuta nywele ndefu imejikunja ndani yake. Dawa yake ni kutokukata ama kukatia juu na wala siyo chini ya ngozi. Hair remover inazikatia chini. Haiwezi kuwa jibu.
Ni pesa ngapi iyoo.... Kuna mtu nimnunulie maana ana mapeletumia hair remover.nimewahi kuona mtu akiisifia humu jukwaani
Inaitwaje.... Na Ni pesa ngapiau atumie ile dawa ya povu ya kunyolea
5000-10000 depending on ujazo.vipi mumeo nini?Ni pesa ngapi iyoo.... Kuna mtu nimnunulie maana ana mapele
au atumie ile dawa ya povu ya kunyolea
Inaitwaje.... Na Ni pesa ngapi
kama akili yako ingekuwa inafanya kazi sawasawa ungekuwa umeshanielewaHiyo ya povu inanyoosha ndevu/nywele zilizojikunja za Mwafrika ili ziwe kama za Mzungu? Kama haifanyi hivyo, ni kupoteza pesa. Ukisoma tena meseji zangu za mwanzo taratibu na kama una akili kiasi bila shaka utanielewa.
Hello naomba kufahaam dawa ya upele baada ya kunyoa ndevu au ndevu zikianza kuota .. maana napata shida sana.
hii ndio solution huta jutia, binafsi nimehangaika sana na hili tatizo , tiba nikaipata kwenye Bump Patrol,Mkuu Tumia Bump patrol ni nzuri sana, bei yake ni 8
hii ndio solution huta jutia, binafsi nimehangaika sana na hili tatizo , tiba nikaipata kwenye Bump Patrol,
Mkuu Tumia Bump patrol ni nzuri sana, bei yake ni 8
Hapana..... Bado sijaolewa5000-10000 depending on ujazo.vipi mumeo nini?
Hii shabu inauzwa maduka gani??? Ya dawa auuMkuu,
Jitahidi utafute Shabu, iko kama chumvi ya mawe.
Ukimaliza zoezi la kunyoa basi unaichovya kwenye maji halafu unapaka hiyo sehemu uliyojinyoa
iache kwa muda wa dakika kadhaa.
Bei yake ni shs mia 3 mpaka mia 5.
Shukrani