Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

napata mashaka na hiyo HARAI, umeipamba sana husemi ina tibu baada yaa mda gani??usije ukawageuza watumwa wa madawa na kushindwa kujiamini...halafuiyo dawa haina umaarufu kiasi hicho kama kuna m2 imemsaidia NA ASEME SASA.!, unaijua ww mwenyewe..nijuavyo mm hakuna dawa isiyo na madhara 100%..dawa ya kweli na ya u hakika ya nguvu za kiume ni LISHE BORA..INAVIRUTUBISHO VYOTE MUHIMU pangilia vzuri mlo wako hayo mengine utayasikia tu kwa wenzako ..for the sake of entrepreneurship do it..
 
Waacha nimsaidie kuhusu punyeto.
1.Naweza nikasema punyeto ina madhara ila pia haina madhara,!Ila nianze na yenye madhara,Punyeto yenye madhara ni ile ambayo kijana ataanza kupiga tangia enzi za balee yake mpaka anakuwa m2 mzima,hapo atapungukiwa nguvu za kiume,atakuwa anawai kukojoa yaani kufika mapema kileleni na mara nyingi atashidwa kuludi mara ya pili kwa kuwa tu atakuwa na msongamano wa mawazo ulisababishwa na kuwai kufika kilele kwani mwanamke hatakuwa bado yuko hot ila mwanaume Hatakuwa hana kazi yaani anaitaji mda wa kuvuta hisia zake Na mwanamke hana mda wa kukusubiri kwani hisia zake zitakuwa zimeshapanda.
2.Pia ni kweli punyeto hupunguza nguvu za kiume ila kama utapiga kwa mda mrefu yaani let say kuanzia miaka mitatu na kuendelea yaani namaanisha mfululizo labla unapumzika leo kesho unapiga,then kuna tatizo la saikolojia unajua mara nyingi punyeto huwa ni bao moja 2 sasa ile tabia hujijenga na mpaka ukiwa na mwanamke japo siyo asilimia mia,
3.Punyeto ni kama kilevi najua ni ngumu kuacha ila inakubidi ujitaidi uache kwani itakufanya ukose amani hapo baadaye na ni kama mla unga unaitaji mda mrefu let say miaka miwili na unakuwa poa kabisa kwani mishipa yako ya uume itakuwa imepum zika vya kutosha na naamini utakuwa poa ila ndani ya miaka miwili just jaribu kufanya ngono na siyo punyeto uwone afya yako inaendaje katika utendaji wake wa kazi,namaanisha uume.
4.Na wale ambao walianza na wanawake wakati wanakuwa wao madhara yanakuwa madogo kwani huwa wanapiga punyeto mpaka wawe wameshikwa na si kama tabia ya kila siku.

Sioni tatizo hapo nimekuwa mshiriki wa musturbation mwaka wa 19 huu na nipo poa tu! Zaidi nguvu zaongezeka
 
Mkuu yupi hana mawasiliano na wewe hebu mtaje huyo


mkuu nililikuwa dar nikawa nakunywa supu ya pweza kila siku jioni,nilivyorudi mshipa ulisimama
mpaka mama watoto akawa analia usiku kucha
pweza anaweza akwa anasaidia??
 
Tatizo kubwa linalowasumbua wanaume wengi na kutopata nguvu za kiume linatibika bila hata kutumia gharama kubwa kama ambavyo baadhi yetu tumekuwa tukihangaika usiku na mchana kusaka uponyaji kwa gharama kubwa.

Vyanzo vikubwa vya tatizo la kupoteza nguvu za kiume ni viwili tu:

Maradhi:
Sukari, kiharusi, ngiri, shinikizo la damu

Lishe:
Wanaokula vyakula visivyokuwa na lishe na virutubisho vya kustosha nao wapo katika hatari hiyo

TIBA
 
tiba?

aujamalizia apo....
ahh ayaniusu enh?....bas byeeeeeeeeee
 
TIBA: Wale wanaosumbuliwa na Ngiri. Tatizo la ndiri ni dogo na linatibika kwa dawa kama wanayotumia akina mama katika chango, masai ni wataalamu sana wa kutibu ngiri, ama shubiri kwa wauza dawa asili pale manzese na magomeni kwa wakazi wa Dar, pembezoni mwa uwanja wa Sheikh Amri abeid Arusha, au darajani kwa wakoma Mza....

Ukiisha tibu Ngiri, hatua inayofuata
 
Mkuu tiba ya ilo tatizo ni supu ya pweza na konyagi, imethibitishwa kabisa! Zamani NGOKA 11 ILISIFIKA PIA..
 
TIBA: Wale wanaosumbuliwa na Ngiri. Tatizo la ndiri ni dogo na linatibika kwa dawa kama wanayotumia akina mama katika chango, masai ni wataalamu sana wa kutibu ngiri, ama shubiri kwa wauza dawa asili pale manzese na magomeni kwa wakazi wa Dar, pembezoni mwa uwanja wa Sheikh Amri abeid Arusha, au darajani kwa wakoma Mza....

Ukiisha tibu Ngiri, hatua inayofuata
GHOST RYDER naomba uweke uwaz manzese /magomeni ni kubwa sana,ukiamua kutuma post tusaidiane kufahamu
1 ni dawa gani inatibu kabisa hayo matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume?
2 inapatikana duka gani au wapi specifically?
3 ushahidi wa watu iliowahi kuwatibu

NB:nakubaliana na we kuwa wamaasai wanajua sana madawa lakn si kila maasai ni mjuzi wa hizo dawa.

KWA TANZANIA TULISHAZOEA WAGANGA WA KIENYEJI WENGI KUTANGAZA KWENYE MAGAZETI YA MASTAA(UDAKU) KUWA WANATIBU UKIMWI,UPUNGUFU NGUVU ZA KIUME ILA HAKUNA ANAYEHOJI UHALALI WA YALE MATANGAZO ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,WIZI MTUPU.......... WIZI MTUPU.
 
Ukishatibu ngiri hakikisaha unapunguza na mapngilio safi wa chakula

Ugali uwe wa dona kama nafasi hairuhusu ila kama inaruhusu kula Ngano na Mahindi ya Bisi ( Ratio kilo mbili za Nagno na Kilo mbili za mahindi ya bisi) zisagwe pamoja na ndio uwe ugali wako. Punguza matumizi ya red meat

Juice za machungwa zisipungue na tafuna tanagwizi japo moja per day

Here we go maana sijui Thread imekuwa MOVED WAPI ila kama utasoma hapa...In box tupeane ushauri bure
 
kaaaaaaaazi kwelilkweli.
tatizo lingine kubwa ni kujichua, nako kunapunguza nguvu za kiume saaaaana, hivyo unashauriwa kuacha
 
Ok sawa unaweza ukawa umepiga punyeto miaka 19 kweli ila huwa unapiga mara ngapi kwa wiki.?
 
Dawa ya kuongeza nguvu ya kiume, Dawa ya kuongeza nguvu ya kiume nambari moja barani Africa, ina vitamini na virutubisho. Dawa hii haina madhara yeyote, watu wengi wametumia imeonyesha mafanikio makubwa, kwa kazi tatu:-
1. Kukakamaa kwa uume wakati wa tendo la ndoa.
2. Uzalishaji wa mbegu za kiume yaani kuwa na manii mengi.
3. Kuchelewa kukojoa manii.
Dozi
Dawa yenyewe iko katika hali ya maji iliyochanganywa na asali mbichi na dawa inaitwa
HARAI.
GHARAMA:
USD. 250 kwa dozi ya siku 21.
Tiba ya kurefusha maumbile kwa urefu na uneneHii dawa hutumika kwa watu wenye maumbile madogo ya uume wa nchi mbili kurefusha mpaka nchi saba, dawa hii haina madhara na watu wengi wametumia kwa jili ya kurefusha maumbile yao na kuonyesha mafanikio makubwa
Vitu visababishavyo mtu kuwa na maumbile madogo ni:-
1. Wakati akiwa bado mdogo alikuwa hapashwi maji ya moto sehemu ya siri.
s
2. Kuwa mnene sana.3
3. Kuishiwa nguvu za kiume

Dozi
Kwa wenye matatizo haya dawa yao ya kutumia ni

1. Kuchanja sehemu ya siri
2. Kunywa
3. Kupaka
Gharama ya tiba hii ni USD 350

source: tovuti ya dk manyuki

Hivi na kwenye jf utapeli unaruhusiwa??!!
 
Tahadhali: Dawa za kuongeza nguvu za kiume ni 'stimulants' yaani vichochezi, mwanzoni utaona mafanikio lakini baadaye mwili utazoea hali hiyo hivyo hutapata nguvu hadi utumie dawa hizo.

Ushauri: Ni vyema ukawaona wataalam wakajua chanzo cha wewe kupungukiwa nguvu za kiume kama alivyoeleza mtoa mada ili upate matibabu.
 
mkuu nililikuwa dar nikawa nakunywa supu ya pweza kila siku jioni,nilivyorudi mshipa ulisimama
mpaka mama watoto akawa analia usiku kucha
pweza anaweza akwa anasaidia??
Ndio anaweza kusaidia Pweza na samaki anayeitwa Papa ukiwa unakula kwa siku zote basi mambo yanaweza kuwa mazuri kiasi cha mpenzi wako au mke wako akashangaa unavyompa magoli.........
 
Back
Top Bottom