Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Ndugu zangu naomba kueleweshwa nini maana ya upungufu wa nguvu za kiume.
 
Uwezo wa kufanya mapenzi kupungua, mfano kuwahi kufika kileleni na kutoweza kuendelea na tendo baada ya "bao" la kwanza!
 
Waacha nimsaidie kuhusu punyeto.
1.Naweza nikasema punyeto ina madhara ila pia haina madhara,!Ila nianze na yenye madhara,Punyeto yenye madhara ni ile ambayo kijana ataanza kupiga tangia enzi za balee yake mpaka anakuwa m2 mzima,hapo atapungukiwa nguvu za kiume,atakuwa anawai kukojoa yaani kufika mapema kileleni na mara nyingi atashidwa kuludi mara ya pili kwa kuwa tu atakuwa na msongamano wa mawazo ulisababishwa na kuwai kufika kilele kwani mwanamke hatakuwa bado yuko hot ila mwanaume Hatakuwa hana kazi yaani anaitaji mda wa kuvuta hisia zake Na mwanamke hana mda wa kukusubiri kwani hisia zake zitakuwa zimeshapanda.
2.Pia ni kweli punyeto hupunguza nguvu za kiume ila kama utapiga kwa mda mrefu yaani let say kuanzia miaka mitatu na kuendelea yaani namaanisha mfululizo labla unapumzika leo kesho unapiga,then kuna tatizo la saikolojia unajua mara nyingi punyeto huwa ni bao moja 2 sasa ile tabia hujijenga na mpaka ukiwa na mwanamke japo siyo asilimia mia,
3.Punyeto ni kama kilevi najua ni ngumu kuacha ila inakubidi ujitaidi uache kwani itakufanya ukose amani hapo baadaye na ni kama mla unga unaitaji mda mrefu let say miaka miwili na unakuwa poa kabisa kwani mishipa yako ya uume itakuwa imepum zika vya kutosha na naamini utakuwa poa ila ndani ya miaka miwili just jaribu kufanya ngono na siyo punyeto uwone afya yako inaendaje katika utendaji wake wa kazi,namaanisha uume.
4.Na wale ambao walianza na wanawake wakati wanakuwa wao madhara yanakuwa madogo kwani huwa wanapiga punyeto mpaka wawe wameshikwa na si kama tabia ya kila siku.
 
Lectures nzuri...but kuna mtu aliwahi kunieleza kuwa hata asali ya nyuki wadogo inastimulate sana once mtu akipata wakati anataka kufanya ngono na kuimarisha uume!. ..any detailes please!
 
kwanini kwanza upake asali?je tatizo lako nini na kama unajua tatizo lako unajua mwanzo wa tatizo ama chazo cha tatizo ila kama ni punyeto unaitaji mda wa kulest kwani punyeto inavuluga mpango wote wa ubongo,unakuwa hujiamini hata ukiwa na mwanamke mara usikie kiu mara jasho mwilini Yaani tabu tupu.
 
Wapendwa wanaJF,mimi ni kijana wa miaka 30,hapo awali nilikuwa na speed nzuri tu katika game,lakin kuanzia mwaka jana uwezo wangu umepungua sana,nimekuwa kwenye msongo wa mawazo nikitafuta kazi,mpaka ndio nikajikuta imenitokea hali hiyo,hisia nakuwa nazo lakin nikilala na mwanamke mtalimbo unachelewa sana kusimama,na wakat mwingne unagoma kabisa,halafu nawah kukojoa goli la kwanza,lakin la 2 linachukua muda,naomben ushauri na msaada jaman,nahitaj kurudisha uwezo wangu kama zaman ili nimridhishe mke wangu mtarajiwa kwan nina mchumba sasa na tunahitaj kuanza process za kufunga ndoa,
 
anza mazoezi kijana, kula sana mboga za majani na matunda, punguza pombe na sigara, lala mapema amka mapema, punguza msongo wa mawazo.
 
Daah! Common sense ain't that common. Brotherman, hurry up and go find yourself a urologist. A real one. Here you are just wasting your time and you run the risk of getting phony expert advice from bogus and virtual doctors.
 
Wapendwa wanaJF,mimi ni kijana wa miaka 30,hapo awali nilikuwa na speed nzuri tu katika game,lakin kuanzia mwaka jana uwezo wangu umepungua sana,nimekuwa kwenye msongo wa mawazo nikitafuta kazi,mpaka ndio nikajikuta imenitokea hali hiyo,hisia nakuwa nazo lakin nikilala na mwanamke mtalimbo unachelewa sana kusimama,na wakat mwingne unagoma kabisa,halafu nawah kukojoa goli la kwanza,lakin la 2 linachukua muda,naomben ushauri na msaada jaman,nahitaj kurudisha uwezo wangu kama zaman ili nimridhishe mke wangu mtarajiwa kwan nina mchumba sasa na tunahitaj kuanza process za kufunga ndoa,


dah, hili sasa ni janga la kitaifa...................
Kila kona, kila kukicha linazidi kuongezeka!!!!!
 
Dont take life too serious kijana.
Anza kuruka kamba kila asubuhi
Kula mchicha, kisamvu, karanga na maziwa kwa wingi
Kula white meat pia kama fish

Ukiona tatizo linazidi muone daktari
 
Wapendwa wanaJF,mimi ni kijana wa miaka 30,hapo awali nilikuwa na speed nzuri tu katika game,lakin kuanzia mwaka jana uwezo wangu umepungua sana,nimekuwa kwenye msongo wa mawazo nikitafuta kazi,mpaka ndio nikajikuta imenitokea hali hiyo,hisia nakuwa nazo lakin nikilala na mwanamke mtalimbo unachelewa sana kusimama,na wakat mwingne unagoma kabisa,halafu nawah kukojoa goli la kwanza,lakin la 2 linachukua muda,naomben ushauri na msaada jaman,nahitaj kurudisha uwezo wangu kama zaman ili nimridhishe mke wangu mtarajiwa kwan nina mchumba sasa na tunahitaj kuanza process za kufunga ndoa,
Mkuu muone daktari!
 
Dawa ni hii mazee:

Chukua vitunguu saumu halafu vikange na olive oil. Hakikisha moto ni mdogo na subiri mpaka viwe vya njano lakini visiungue. weka kwenye kifaa ambacho kitapoa. Kila siku paka uume wako hayo mafuta na hakikisha umepaka sehemu zote na kama umechua hivi. Acha kwa dakika 20 hivi kabla ya kuoga. Nguvu zitarudi.

Hii inasaidia kurudisha nguvu za mishipa ya damu ambayo inafanya uume kuwa mgumu. siyo siri hii inafanya kazi.
 
Nenda samunge
watu wanapona magonjwa sugu kama hilo
 
Ndugu ushauri kula vizuri mboga mboga, matunda ukiweza tumia matoke zaidi kama mlo, mazoezi ya kutosha punguza au ondoa mawazo epuka kuoga maji ya motoa usivae chupi za kubana acha kuendesha baiskeli kama unafanya hivyo. ukshindwa kabisa pata dawa waweza cheki dawa moja ya kihindi inaitwa Vajikarana theraph kit (search Vajikarana) waweza nunua online kwa mwezi. kaka utakuwa wewe
 
Daah! Common sense ain't that common. Brotherman, hurry up and go find yourself a urologist. A real one. Here you are just wasting your time and you run the risk of getting phony expert advice from bogus and virtual doctors.
Well said Nyani...................hapa atapata madoctor feki wa kumpoteza
 
  • The first step is to become aware of your own levels of arousal. Experiment, take your time and give yourself a very real self-loving exploration, not just a quick masturbatory release. Notice how your penis moves through distinct changes before orgasm and ejaculation, he's not just soft and then hard and spewing. There are four defined stages of erection: lengthening and filling; swelling; full erection; rigid erection. The fourth stage, rigid erection, characterized by a penis that's very stiff (a boner) and very hot, signifies ejaculation is close at hand. Through attentive self-arousal and the playful hands of your sweetheart you can learn how to stay for longer periods of time in the exciting, but less explosive, third stage of firm erection. When you feel yourself moving into the hard, hot level stop stimulation, relax and pay attention to your breathing. Breathe slowly and deeply. Tell your partner when you are about to have an orgasm. At this point the partner can slow down or stop to prevent a premature ejaculation.
  • 2
    The Power of Breath. Conscious breathing is a key for extended lovemaking. Rapid breathing excites and arouses you. Slow, controlled breathing, way down into your belly, calms you and helps delay ejaculation. Focusing on your breath takes your attention away from your genitals. Synchronizing your breathing rhythm with your partner's strengthens your connection with each other.
  • 3
    Perineum Pressure. Pressing on the perineum, a spot midway between your scrotum and your anus, will help to stop ejaculation because this spot reaches through to the prostate gland. It is the prostate that contracts and expands during orgasm and then expels the ejaculation fluid. Ask your partner to apply this loving pressure for you.
  • 4
    Testes Tug. When a man nears orgasm his scrotum rises up closer to his body. You can delay ejaculation by gently pulling your testes down and away from your body. Your partner can also do this for you.
  • 5
    Penis Tip Squeeze. Squeezing your penis just below the head or glans can help to stop oncoming ejaculation. It necessitates withdrawing completely from your partner during intercourse, but is an excellent way to begin practice on your own with masturbation.
  • 6
    PC (pubococcygeous) Muscle Contraction. This is simply squeezing your pelvic floor muscles, around the scrotum, penis and anus as you feel ejaculation approaching. An easy way to practice this is to interrupt your urine stream when you are going to the bathroom.
  • 7
    Ejaculation-free orgasm. One important think to understand is that the problem really is ejaculation, not orgasm. When you feel you are just about to ejaculate, stop moving (your partner must stop, too) and contract the PC muscle very firmly during 10 to 20 seconds. You can then resume love-making. For this to work, your PC muscle must be strong enough. To train it: contract it 20 times 2s, 3 times a day. You should see progress in ejaculation control within a few weeks.
  • 8
    Passion Pump. This technique, which combines squeezing the PC muscles, rolling your eyes upward, touching your tongue to the roof of your mouth, and visualizing your sexual energy flowing up through your body while you practice controlled deep breathing is one of the most effective ways of delaying ejaculation. It's a Taoist sexual kung fu technique that has the added benefit of helping you circulate your sexual energy through your body rather than having it remain hot and heavy in your genital region.
  • 9
    Thrusting Technique. A superb thrusting technique that brings great pleasure to a woman and helps a man to last is a combination of deep and shallow thrusts. By shallow thrusts we mean your penis only enters 1½ to 2 inches inside your partner. These first couple of inches are the most sensitive part of a woman's vagina. Deep thrusts mean your penis enters as fully as you can. In this technique you combine a series of nine fairly quick shallow thrusts with one slow deep one. The shallow thrusts stimulate your partner's most sensitive vaginal tissues and at the same time create a vacuum effect that makes her ache for the deep thrust to come. And because most of your thrusts are shallow ones, exciting only the first few inches of your penis, you're able to rock on for much longer!
  • 10
    Use foreplay to your advantage, stimulating your partner first. If you want to have quite a bit of intercourse before ejaculation, it's best not to allow yourself(male) to be the one getting the attention!
  • 11
    Let him put the condom on himself. This improves the chance of him not getting too turned on beforehand.
  • 12
    Tackle relationship issues. Be sure that your head and heart are in the mood for sex as well as your body. If you're unhappy about something with your partner then sort it out first.
  • 13
    Exercise your pelvic floor. Many men say they are able to delay ejaculation by squeezing or pushing their pelvic floor muscles.
  • 14
    Stop and start. This is the most common technique used in psychosexual therapy. Practice stimulating yourself to the point just before ejaculation, then stop. Start again when the sensations have subsided. Repeat this three times. You should find the length of time before each stop gets gradually longer.
  • 15
    Change strokes. If you feel you've gained more control with the stop-and-start technique, try changing your stroke to something less stimulating rather than stopping all together.
  • 16
    Change positions. During intercourse, try the stop-and-start technique when the sensations become strong. When you're more confident, try changing positions rather than stopping. Some men last much longer when their partner is on top.
  • 17
    Remember that doing doggy style and missionary both increase pressure on the male so stay clear of these positions.
  • 18
    Think about baseball. Does the trick every time. Or dead puppies. In a really dire situation, think of your grandma's arm fat.
 
Pole sana mzee, hata hivyo pamoja naushauri wote hebu cheki na daktari mapema.
 
dah, hili sasa ni janga la kitaifa...................
Kila kona, kila kukicha linazidi kuongezeka!!!!!

Ameliwa huyo! Kwisha khabri yake, ajitambulishe tu tuwe majirani. Halafu hajasema kama tatizo ni maji yamekuwa kiduchu au? Je dawa ya kuongeza maji ya uzima ni ipi? Maana kuna zinazosimama masaa 24 lakini NO! maji, hilo nalo ni tatizo jipya huku.
 
Back
Top Bottom