Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Jamani naombeni wataalamu mtuambie jinsi ya kuzipunguza pia..
 
Dawa ya Kuongeza Nguvu za Kiume Chukua unga wa habbat sauda vijiko viwili na unga wa tangawizi vijiko viwili na juisi ya kitunguu thaumu ujazo wa kikombe cha kahawa changanya pamoja kwenye Asali mbichi ya Nyuki ya ujazo vikombe viwili vya kahawa koroga vizuri pamoja halafu kunywa vijiko viwili vikubwa asubuhi na jioni kwa muda wa wiki mbili inshallah mambo yatakuwa mazuri sana.
 
Nilimsikia mama flani anafundisha radio wapo juzi kati kuwa punyeto pia huleta matatizo ya nguvu za kiume.je nikweli?Niliwahi kusoma kipindi cha nyuma kuwa masturbation haina madhara yoyote kiafya,je ipi ni sahihi zaid?Na ni vp mtu anaweza kuacha?
 
Kwa hakika kabisa bila wasiwasi wowote kuwa musterbation ama punyeto husababisha upungufu wa nguvu za kiume. siyo nguvu za kiume tu, bali hata kinga ya mwili na pengine kukusababishia Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI), itakusababishia pia kuwa na Aibu ya kudumu maishani, uwezo wako wa macho kuona pia utapunguwa, utapatwa na uchovu kila mara, utajisikia mpweke na kujiona usiyeweza kitu. Na KWANINI UFANYE PUNYETO? wanawake wapo kibao, kama kutongoza huwezi omba rafiki yako akusaidie, isitoshe siku hizi hata kutongoza huhitaji, unahitaji kuwa na hela tu. Wanasema, bao moja kwa mwanaume ni sawa na kutembea kwa miguu mwendo wa kilomita 27!! hapo ikiwa ulikutana kimwili na mwanamke, sasa punyeto unatumia nguvu yako binafsi na akiri binafsi, fikiri ni kilomita ngapi utakuwa unatembea kwa bao moja la punyeto?.
Ni rahisi tu kuacha punyeto, sema sitaki punyeto, jishughurishe kusoma vitabu zaidi na usijishughurishe na filamu chafu ambazo huwekwa chumvi tu bila uhalisia. Sina muda wa kutosha kuandika yote, bali kwa kifupi naweza kukuambia kuwa madhara ya punyeto ni mengi mno, na sijuwi lengo hasa la wanaoendelea kusema haina madhara. Acha leo, kuweza tu kulitamka au kuliandika neno 'musterbation' ni ukichaa mmojawapo. Angalia MAJI yanao uwezo wa kubadilisha akili na mtazamo wako karibu kwa kila jambo, tembelea: Home | maajabu ya maji
 
Thnx,bt haimaanishi ni mm nafanya ivo.aoz jus curious to know..thnx anyways!
 
Halafu sasa kuna uhusiano gani kati ya hiyo tiba ya maji na masturbation?Koz nimefungua hiyo web yako
 
Ni kweli lakini ukitaka nguvu za kiume ziruni fanya hivi. Chukua vitunguu saamu vikaange na oliva oil hadi viwe vya njano usiache viungue. Vikipoa paka uume mzima kuanzia juu mpaka chini na subiri dakika kama kumi au kumi na tano halafu oga nguvu za kiume zitarudi. Vitunguu saamu vima repair mishipa ya uume na kuipa nguvu.
 

Mkuu ngoja nijaribu tiba yako. mama Yoyoyo jiandae nakuaja LOL
 
vizuri kama umeweza kuingia kwenye blog hiyo. aliyegunduwa tiba hiyo dr.Batmanghelidj alitumia miaka 17 kutafiti maajabu ya maji, aliyeiandika blog hiyo uliyoingia na kuuliza mara hii, ametumia miaka 6 kuisoma, kuitafiti mpaka kuiandika blog hiyo. Tatizo letu kubwa siku hizi ni MUDA, HATUNA MUDA. Soma taratibu, mi nakushauri uusome vizuri ukurasa ulioandikwa ''Ijuwe kiu'' halafu taratibu utasoma kurasa zingine. ahsante.
 
UKILETA UZEMBE UTAIPIGA HIYO K2 HADI NDOA.HAINA MAANA,TAFUTA DEM NA NDO ONLY SOLUTION.IL ACHA KCHEK PICHA CHA UCHI COZ NDO ZINACHOCHEA.SOMA VIJARIDA KWA UFAFANUZ ZAID.ova
 
Olive oil ni mafuta gani hayo mkuu?

 
Masturbation is one kind of oral sex na inafanyika na jinsia zote za kike na za kiume. Haya kama kwa mwanaume zinapunguza nguvu, hembu tuelezane kwa mwanamke zinapunguza nini??
 
madhara mengine licha ya nguvu za kiume kupungua pia unaweza kuathiri mfereji wa uume(urethral) ukapata michubuko na kusababisha kutunga usaha
 
madhara mengine ya kupiga nyeto unajiongezea hisia za kike waweza kuwa shoga
 
[h=1]A Brazilian Teenager Dies After masturbating 42 Times Without Stopping!![/h]

A 16-year-old boy died after masturbating 42 times without stopping in Rubiato town, in Goiás region, Brazil.
His mother told a local newspaper that she already knew about his son's addiction and that she planned to see the doctor, but the decision came too late.
The young man began to masturbate at midnight and spent the whole night to compulsively touch himself.
At school, his classmates commented on the boy's problem and some said he asked them to connect to the webcam for being observed.
They further said that his attraction to women was extreme; he was attracted to all kind of women, regardless of texture physics, color and age.
In his room a great amount of pornography was found, including photographs and videos of nude women that were saved on his PC.
 
<br />
<br />
khaa.!hii kiboko. Bao 42..! Inaelekea alikula mkuyat b4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…