Kula matikiti maji., yanasaidia sana..inshort kula sana matunda na mboga za majani .
kunywa petroli lita moja
Unahitaji kwenda shule kwa hili. Kwanza inaonekana unafanya mambo yako kwa pupa na hii inakuathiri kisaikolojia. Swala sio kuingiza ukuni tu na kukojoa. Jaribu kumtayarisha mke wako kwa kutumia vitendea kazi vingine kama vile ulimi au vidole, kwa mfano. Foreplay is also important. Huyo mke wako anaweza kuridhika hata kwa mabao mawili kama unajua namna ya kuyafunga!
we tuache ambao bado tuna nguvu tuendelee kufanya shughuli hizo wewe pumzika kaka au unaonaje?
Kiongozi wengi huwa wanatoa mbegu za matikiti maji, ukweli ni kuwa hizo mbegu za tikiti maji ndio haswa zinahitajika kwa kuongeza hii kitu ambayo ndugu yetu inamsubua, na sio mara moja iwe ndio kawaida unapokula tunda hili linauwezo mkubwa sana wa kuongeza virubisho vya urijalii
Wapendwa nashukuruni sana kwa michango yenu, nimeanza kupata nafuukwani jana nimeweza kupiga kimoja na kitu kudai tena japo usingizi sasa unanisumbua sana.
yaani baada ya mechi napatwa na usingizi wa kufa mtu. Nifanyeje kwa tatizo hilo pia?
Hello Usilete matusi hapa utafungiwa kwenye hii jamiiForums tafadhali usirudie tena kusema maneno yako hayo machafu BAN itakuhusu wewe.Ukiona vipi ni pm nikusaidie nimsugue mkeo.
nipe shule ndugu yangu maana siku hizi hakuna unyago wa kufundishana mambo haya
hivi huu ushauri unatoka kichwani au ?
Nimekuwa na tatizo la kukojoa ndani ya ****** mawili tu nikiingiza uume,kitendo hiki kimekuwa namkera sana mke wangu, kwani baada ya hapo itachukua masaa 6 uume kusimama tena. Ninapokuwa nahamu ya tendo mke wangu amekua anakataa kwani namsumbua simfanyi akaridhika. Natafuta dawa ya kuponesha au kumalizia kabisa kwani kitendo cha mke wangu kuamua kuninyima inanifanya nitamani kufanya nje japo goli moja kwa **** mbili, lakini naogopa ukimwi wazee.
Nisaidie dawa ya kuondoa tatizo au kufanya uume huu usisimame milele.
Punguza tumbo hilo,unaona sifa kuwa na m-tumbo mkubwa utafikiri mimba.Wanaume wengi wana hayo matatizo kwa sababu ya unene na kula bila mpangilio.Vile vile piga viroba au valuu za kutosha kabla ya mechi
kunywa petroli lita moja
hivi huu ushauri unatoka kichwani au ?
hautoki kichwani unatoka kwenye Ubongo wangu unasemaje Mkuu?