bhageshi
JF-Expert Member
- Jul 24, 2010
- 264
- 101
Kula matikiti maji., yanasaidia sana..inshort kula sana matunda na mboga za majani .
Kiongozi wengi huwa wanatoa mbegu za matikiti maji, ukweli ni kuwa hizo mbegu za tikiti maji ndio haswa zinahitajika kwa kuongeza hii kitu ambayo ndugu yetu inamsubua, na sio mara moja iwe ndio kawaida unapokula tunda hili linauwezo mkubwa sana wa kuongeza virubisho vya urijalii