Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Kula matikiti maji., yanasaidia sana..inshort kula sana matunda na mboga za majani .

Kiongozi wengi huwa wanatoa mbegu za matikiti maji, ukweli ni kuwa hizo mbegu za tikiti maji ndio haswa zinahitajika kwa kuongeza hii kitu ambayo ndugu yetu inamsubua, na sio mara moja iwe ndio kawaida unapokula tunda hili linauwezo mkubwa sana wa kuongeza virubisho vya urijalii
 
Unahitaji kwenda shule kwa hili. Kwanza inaonekana unafanya mambo yako kwa pupa na hii inakuathiri kisaikolojia. Swala sio kuingiza ukuni tu na kukojoa. Jaribu kumtayarisha mke wako kwa kutumia vitendea kazi vingine kama vile ulimi au vidole, kwa mfano. Foreplay is also important. Huyo mke wako anaweza kuridhika hata kwa mabao mawili kama unajua namna ya kuyafunga!

nipe shule ndugu yangu maana siku hizi hakuna unyago wa kufundishana mambo haya
 
we tuache ambao bado tuna nguvu tuendelee kufanya shughuli hizo wewe pumzika kaka au unaonaje?

Sawa ndugu nakutakieni kila raheli japo inauma sana kukosa kufanya mechi maishani
 
Kiongozi wengi huwa wanatoa mbegu za matikiti maji, ukweli ni kuwa hizo mbegu za tikiti maji ndio haswa zinahitajika kwa kuongeza hii kitu ambayo ndugu yetu inamsubua, na sio mara moja iwe ndio kawaida unapokula tunda hili linauwezo mkubwa sana wa kuongeza virubisho vya urijalii

kweli kabisa..wataalamu wanasema water melon is a natural viagra..ndizi mbivu nazo husaidia sana.
 
hili tatizo noma mwanzoni nilijua kama utani ila sasa naona naliface pia....nimekuwa mtu wa visingizio sana siku hizi katika game mara jana nilikuwa naumwa au sikuamini!kumbe mambo si mambo perfomance imeshuka!
 
Wapendwa nashukuruni sana kwa michango yenu, nimeanza kupata nafuukwani jana nimeweza kupiga kimoja na kitu kudai tena japo usingizi sasa unanisumbua sana.
yaani baada ya mechi napatwa na usingizi wa kufa mtu. Nifanyeje kwa tatizo hilo pia?
 
Wapendwa nashukuruni sana kwa michango yenu, nimeanza kupata nafuukwani jana nimeweza kupiga kimoja na kitu kudai tena japo usingizi sasa unanisumbua sana.
yaani baada ya mechi napatwa na usingizi wa kufa mtu. Nifanyeje kwa tatizo hilo pia?

ulitumia tiba gani?
 
Ukiona vipi ni pm nikusaidie nimsugue mkeo.
 
Namna kujitibu maradhi ya kuwahi kushusha manii haraka wakati la tendo la ndoa na bila kujitibu wanaathirika wote khususan mwanamke.
Madawa yake ni:

1.Tangawizi.
2.Uwatu.
3.Asali.
4.Mdalasini.

Chukua unga wa tangawizi kiasi cha vijiko vitatu vya chakula kisha changanya na dawa iitwayo uwatu unga wake kiasi cha vijiko vitatu vya chakula, na hakikisha madawa haya ni ya unga yaani yatwange hadi yawe unga kisha chemsha kwa maji glasi tatu baada ya kuchemsha hakikisha

glasi moja inapotea kwa kuchemsha, halafu mgonjwa wa tatizo hilo atakuwa akijipaka kwenye dhakari yake na kwenye korodani kila siku mara moja na wakati anatumia dawa hiyo itamlazimika atumie asali kijiko kimoja cha chakula na mdalasini kijiko kimoja cha chai kila usiku anakula dawa hiyo mara moja kwa siku muda wa siku kumi natano au ishirini Inshaallah atapona.
 
hivi huu ushauri unatoka kichwani au ?

bilasha atakuwa anautoa kwenye masaburi yake maana kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kufanya mzaha kwenye swala ambalo mleta mada hajaonyesha mzaha..
 
Pole sana na nnakupongeza sana kwa kuogopa kwako kufanya hilo tendo nje ya ndoa kwa kuogopa ukimwi. Naomba isiishie hapo kwenye kuogopa ukimwi, iendelee kuwa kwenda nje ya ndoa ni kuisaliti ndoa yako.

Umri:

Uzito:

Urefu:

Toka lini hii hali:

Uwezo wako wa tendo la ndoa kabla ya hapo:

Hayo maswali ya juu ni kwako na mkeo.

Kumbuka, kufanya mara nyingi hakumaanishi ndio "urijali" unaweza ukafanya mara moja tuu kwa siku lakini mkaridhishana na mkeo vya kutosha.

Kudorora kwa tendo la ndoa hakutokei kwa mwanamme tu, hata wanawake huwapata lakini ni aghalabu kwa mwanamme kujuwa hilo.

Tendo la ndoa mara nyingi ni jambo la siri baina ya wawili na huwa na chachu zake za kufanyiana ili wote mridhike. Na ili mridhike inabidi kwanza umuelewe mkeo vilivyo nae akuelewe vilivyo na hii mara nyingi hupatikana kwa kuwa wa wazi na kuongea kwa utaratibu na upole kuhusu mambo yenu ya kila siku.

Nakuomba nenda kaonane na madaktari nao watakupa ushauri mzuri tu na ikibidi kuonana na mabingwa wao wataku "refer". Kuna tiba na tiba mbadala nyingi tu inategemea na tatizo lako liko wapi? kwako, kwa mkeo, physiologically au psychologically. Na huwezi kijujuu tu ukalijuwa.

Cha muhimu usiwe na hofu na inawezekana kabisa kuwa ni tatizo la "stress" tu za hapa na pale. Nakushauri onana na Daktari.
 
Pole sana kaka!fuata ushauri wa wachangiaji hapo juu!mi nasisitiza kwenye asali na mdalasini ni dawa kubwa sana!jitahidi utumie kila siku na utaona mafanikio
 
NAshukuruni sana wapendwa kwa ushauri wenu wenye tija naendelea na matibabu nafuu naiona
 
Nimekuwa na tatizo la kukojoa ndani ya ****** mawili tu nikiingiza uume,kitendo hiki kimekuwa namkera sana mke wangu, kwani baada ya hapo itachukua masaa 6 uume kusimama tena. Ninapokuwa nahamu ya tendo mke wangu amekua anakataa kwani namsumbua simfanyi akaridhika. Natafuta dawa ya kuponesha au kumalizia kabisa kwani kitendo cha mke wangu kuamua kuninyima inanifanya nitamani kufanya nje japo goli moja kwa **** mbili, lakini naogopa ukimwi wazee.
Nisaidie dawa ya kuondoa tatizo au kufanya uume huu usisimame milele.

Kawaone wataalam hospitalini....
 
Punguza tumbo hilo,unaona sifa kuwa na m-tumbo mkubwa utafikiri mimba.Wanaume wengi wana hayo matatizo kwa sababu ya unene na kula bila mpangilio.Vile vile piga viroba au valuu za kutosha kabla ya mechi

Mhhhhhhhhh! huu ushauri una walakini, walahi tena. Unaweza ukadhani unapunguza tatizo moja, kumbe ni unaongeza lingine hapa. Sikubaliani na huo ushauri wako mkuu. Hii ni zaidi ya upotoshaji kwa kweli!!!
 
Back
Top Bottom