Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
ebu mtafute mzizi mkavu anauza anadai hiko vizuri.jaribu kusearch ishu za nguvu za kiume humu janvini utapata majibu mazuri mengi sana turishajadili kitambo.maana naona watu wamekua wa vivu.
Majibu haya yanasaidia wengi!!
Asante kwa kuimba ushauri kwa ajili ya wengi, hili linaleta msononeko sana kwa wanaume, hasa kwa kuwa wengi hupenda kuonekana kuwa wanaweza na wana nguvu sana kiasi cha kuexagerate na kutishia average people wakadhani wana matatizo.
Je wataalamu, yupi ni normal? mtu aanze kuwa cocerned akiona nini? Kuendana na umri
75% ya matatizo ya nguvu za kiume kupungua hutokana na tatizo la kisaikolojia(kutojiamini,woga wa kushindwa kama ilivyokuwa jana pamoja na msongo wa mawazo mengine).
25% ni kutokana na magonjwa mbalimbali ya kimwili km kisukari,magonjwa ya zinaa etc.
NAKUSHAURI UENDE KWA WATAALAM WA KISAIKOLOJIA.
NA KAMA UNAHISI TATIZO LINGINE KIMWILI NENDA HOSPITAL/KITUO CHA TIBA UKAPATE UCHUNGUZI NA TIBA.
Mkuu swala zima la upungufu wa nguvu za kiume,ni ulaji wetu watu wengi tumekuwa tukidharau vyakula vya asili,watu wa mjini mara nyingi wanapenda vyakula vya bandia,yaani vyakula visivyo na rutuba Chips kuku nk..., siku hizi mtu ukionekana unakula ugali wa dona na mchichi,basi utatangazwa mtaa mzima kwamba umechalala,mimi nakushauli uanze kula vyakula vya asili,kama dona samaki frsh, chai iliyoungwa asali,karanga mbichi na maziwa fresh kila siku,mchemsho wa ndizi na samaki frsh hasa ndizi bukoba zinaongeza nyege sana,epuka vyakula vya mafuta mengi alafu kunywa maji kwa wingi,usisahau na ukwaju huu unasaidia sana kuondoa sumu mwilini,na mahindi ya kuchoma haya yanaongeza sana nguvu mwilini,ukifata haya mambo ndani ya mwezi utaona matokeo,hutaamini kama ni wewe mtanange utakuwa hewani fulltime.
Ni kweli kabisa wanaume wengi wanasumbuliwa na matatizo ya kisaikolojia, tatizo lake pengine ni hofu tu. Wengi wamekuwa wakihangaika sana pasipo kujua kwamba wao wenyewe ndio suluhisho la tatizo lako, ushauri huu ni wa ukweli.
Msaada jamani!!
Nimeteseka na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa miaka 4 sasa. Nimekula dawa tofauti nyingi tu zikiwemo za kichina, unga wa miti na nyingine nyingi tu.
Nimeshindwa la kufanya!! Km kuna mtu anajua tiba sahihi!! siyo kubahatisha, basi an-PM. Natanguliza shukurani nyiiingi.
asante
Supu ya mchicha!
Vuta subira kijana tuliza akili utapona tu. ondoa hofu
punguza madeni...!