Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,126
eti kuna watu wana pumbu moja..?na kama wapo uwezo wao wa kufanya mapenzi ni sawa na mtu wa kawaida ambaye amekamilika???..na kuzaa inakuwaje????,wale wanawake wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile madhala yake nini has kwa wale ambao hawajazaa?,je kuna dawa ya kumtibu huyo ambaye ameathrika na hiyo khali?
kwa hiyo ndo unaenda au....kaa kidogo watu wazidi kukupa elimu ili uachane na hako kamchezo ka kurukiwa ukuta wako kupitia mlango wa nyuma.lolwabongo topic kama hizi unakuwa umewagusa kweli nashukuru kwa majibu yenu!
Ipo lakini sikuambii. Ipo topical na systemic lakini hujafikia umri wa kuijwa kwa hiyo sikuambii.
Kikate hicho kifanyio, kiloweke kwenye vinegar kwa siku saba uje nacho hosp tukishonelee. Hii ni kwa faida ya mwenza wako. Ili wewe ufaudu inabidi mwenza wako aje hosp. M-pm dr kongosho ndo hutibu wadada.