ukikosa cha kuzungumza ni bora ukakaa kimya kuliko kuchangia utumbo hapa hili ni jukwaa la watu walio serious na matatizo yao bwana mdogo kujiunga Jf juzi isiwe kigezo cha kukashifu wakubwa zako ok!
Dr hili ni tatizo ambalo sasa nimeamua kuomba msaada kwenu maana nilipoanza kufanya sex nikiwa form 4 hali hii ilinitokea nikaipotezea nikiamini kuwa ni kwa sababu ni mara ya kwanza na pia sikutaka kuumiza kichwa changu ukizingatia nilikuwa ktk mwaka wa mwisho wa masomo ya o-level. But hii hali imezidi kunipa wakati mgumu ktk maisha yangu hadi sasa nipo chuo kikuu naona kile nachokitafuta ktk elimu yangu itakuwa haing maana kama hali itakuwa hivi. Yaani napata shida sana na huwa naumia sana kiasi kwamba hadi sasa najaribu kuwapotezea wasichana maana najua mwisho wa siku mim ndo nitaumia maana nasimamisha mara moja na hapo hapo ktk maandalizi mim najikuta naejakulate then raha yote na furaha huniishia na naishia kuumia tu moyon kiasi kwamba si simamish tena hadi najiona sifai kabisa. So plz jaman napenda niwe nam mwenye furaha ya maisha pia hata kuweza kusoma kwa furaha. Naomba kama kunauwezekano wa kutatua hili tatizo langu naomba mnisaidie jamani. Nakosa raha sion umuhimu wa kuendelea kusoma na kuwa hata hapa dunian kama nitaendelea kuwa ktk hali hii. Naombani sana plz kama unafahamu kuna dawa may be naomba hata nitafute unisaidie. Nakuomba usinitanie utaniumiza sana sina hamu hata ya kuishi. Plz kwa yule atakayekuwa tayar kunisaidia atanitumia number then nitamtafuta.
Mkuu,
dogo hana tatizo la nguvu ana tatizo kichwani, anxiety na hiyo tiba yake sijui tuanzie wapi
counselling, but i usually think kanselaz wanakula tu pesa za watu
labda atafute jimama moja limuondolee anxiety.... au kama kuna clinics za kusaidia lakini isiwe ile formal kanseling ya mgonjwa na kansela
Ukizingatia hayo utaishi kwa matumaini
Wana JF ni matumaini yangu kuwa wote humu ni wazima! nimekuwa nikisikia kuwa kuna baadhi ya mazoezi ambayo mwanaume akiyafanya yanachangia kwa kiasi kikubwa kuongeza nguvu za kiume pamoja na kujenga stamina! naombeni kujua haya ni mazoez ya namna gani? senkyu olu!