Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

ukikosa cha kuzungumza ni bora ukakaa kimya kuliko kuchangia utumbo hapa hili ni jukwaa la watu walio serious na matatizo yao bwana mdogo kujiunga Jf juzi isiwe kigezo cha kukashifu wakubwa zako ok!
 
ukikosa cha kuzungumza ni bora ukakaa kimya kuliko kuchangia utumbo hapa hili ni jukwaa la watu walio serious na matatizo yao bwana mdogo kujiunga Jf juzi isiwe kigezo cha kukashifu wakubwa zako ok!

nani huyo asiye na heshima kwa wakubwa zake?
 
hakuna Tatizo la nguvu za kiume love lazima iwe na connection ndio utaweza ku do hata mara 10 kwasiku upendo lazima uwepo mind yako lazima iwe ime relax na utafanya mapenzi bilashida
 
Dr hili ni tatizo ambalo sasa nimeamua kuomba msaada kwenu maana nilipoanza kufanya sex nikiwa form 4 hali hii ilinitokea nikaipotezea nikiamini kuwa ni kwa sababu ni mara ya kwanza na pia sikutaka kuumiza kichwa changu ukizingatia nilikuwa ktk mwaka wa mwisho wa masomo ya o-level. But hii hali imezidi kunipa wakati mgumu ktk maisha yangu hadi sasa nipo chuo kikuu naona kile nachokitafuta ktk elimu yangu itakuwa haing maana kama hali itakuwa hivi. Yaani napata shida sana na huwa naumia sana kiasi kwamba hadi sasa najaribu kuwapotezea wasichana maana najua mwisho wa siku mim ndo nitaumia maana nasimamisha mara moja na hapo hapo ktk maandalizi mim najikuta naejakulate then raha yote na furaha huniishia na naishia kuumia tu moyon kiasi kwamba si simamish tena hadi najiona sifai kabisa. So plz jaman napenda niwe nam mwenye furaha ya maisha pia hata kuweza kusoma kwa furaha. Naomba kama kunauwezekano wa kutatua hili tatizo langu naomba mnisaidie jamani. Nakosa raha sion umuhimu wa kuendelea kusoma na kuwa hata hapa dunian kama nitaendelea kuwa ktk hali hii. Naombani sana plz kama unafahamu kuna dawa may be naomba hata nitafute unisaidie. Nakuomba usinitanie utaniumiza sana sina hamu hata ya kuishi. Plz kwa yule atakayekuwa tayar kunisaidia atanitumia number then nitamtafuta.




dogo hujui tu, hili ni janga la kitaifa...........................
 
Mkuu,

dogo hana tatizo la nguvu ana tatizo kichwani, anxiety na hiyo tiba yake sijui tuanzie wapi
counselling, but i usually think kanselaz wanakula tu pesa za watu
labda atafute jimama moja limuondolee anxiety.... au kama kuna clinics za kusaidia lakini isiwe ile formal kanseling ya mgonjwa na kansela

Huyu dogo wasiwasi tu unamsumbua, akipata jimama likamshika vizuri atashangaa mwenyewe.
 
Wana JF ni matumaini yangu kuwa wote humu ni wazima! nimekuwa nikisikia kuwa kuna baadhi ya mazoezi ambayo mwanaume akiyafanya yanachangia kwa kiasi kikubwa kuongeza nguvu za kiume pamoja na kujenga stamina! naombeni kujua haya ni mazoez ya namna gani? senkyu olu!
 
TOROKA UJE??? hahahaaa unawashawishi dada zetu watoroke sio? ebana hta mm nshawahi kusikia stori kama hii ila 2wasubirie ma-expert kwa ufafanuzi zaidi!!
 
Kula vizuri fanya mazoezi pumzisha mwili wako.
 
Kuna mtu wakati wa tendo la ndoa baada ya tendo la 1 uume unaishiwa nguvu na wakati mwingine anashindwa kuendelea. anatumia nguvu kubwa sana ili isimame tena na iwe na nguvu. jaman anaomba ushauri. by the helper
 
Deadlifts na squats!Kiboko ya matatizo!Ila fanya kwa umakini,you don't wanna hurt your lower back!
 
Wana JF ni matumaini yangu kuwa wote humu ni wazima! nimekuwa nikisikia kuwa kuna baadhi ya mazoezi ambayo mwanaume akiyafanya yanachangia kwa kiasi kikubwa kuongeza nguvu za kiume pamoja na kujenga stamina! naombeni kujua haya ni mazoez ya namna gani? senkyu olu!

Yanaitwa mazoezi ya Kegel.Humairisha misuli ya uume na kuzuia Premature Ejaculation hebu soma KEGEL EXERCISE HAPA
 
Back
Top Bottom