ilo nalo neno kakaTafuna vutunguu saumu na vitunguu maji,tikiti maji na mbegu zake tafuna usiziteme,tangawizi kwa sana,karafuu.mbona wengi e wanapiga hako kamoja tu wanaridhika na hawaoni tabu wewe mbili unalalamika unataka ungoe hapo
dahh nimekusomasasa akiapply hiz dawa zote si mwenzeny atakimbiwa ndani jamani?
nguvu za kuime mkuu zinapotea au kumpungua kwa saabu nyingi mojawapo ikiwemo aina ya vyakula
lakini ukweli ulio wazi ni kwamba uwezo wa kijinsia yako unategemea sana na aina ya maisha aliyonayo
angalia unaishi maisha ya aina gani,unayatazama maisha,kwako mafanikio yana tafsiri ipi?
unaamini kiasi gani katika ridhiko la kihisia?
la muhimu sio umepiga ngapi kaka,la muhimu ni hizo ngapi umezipiga vipi!kwanza bao nyingi kwa mara moja unajizeesha !
xaxa kaka mbegu untafuta au vp?
pilipili ndio wanajipaka.
Inaleta nguvu sana.
guyz naomba mnitajie vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
Nimekubaliana na hivyo vyakula walivyokushauri wadau hivyo nikaongezea pia uwe vizuri kisaikojia kwani unaweza ukapata msosi mzuri unaotakiwa lakini kama kisaikolojia utakuwa disturbed utashangaa hali haibadiliki. Si unajua mwili unaendeshwa na gland mbalimbali ambazo zinasaidia kutoa vitu ambavyo vinasaidia ku-speed up utendaji kazi wa vitu mbalimbali mwilini, hivyo hutokuwa vizuri kisaikolojia maana yake hizi gland hazitatoa vichocheo muhimu. (sio mtaalamu wa haya mambo ila hii hali pia wakati mwingine inachangia)
wanaume,kazi mnayo.hii yote kwa ajili ya kuturidhisha tu.ahsanteni kwa hilo