Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tafuna vutunguu saumu na vitunguu maji,tikiti maji na mbegu zake tafuna usiziteme,tangawizi kwa sana,karafuu.mbona wengi e wanapiga hako kamoja tu wanaridhika na hawaoni tabu wewe mbili unalalamika unataka ungoe hapo
ilo nalo neno kaka
 
sasa akiapply hiz dawa zote si mwenzeny atakimbiwa ndani jamani?
nguvu za kuime mkuu zinapotea au kumpungua kwa saabu nyingi mojawapo ikiwemo aina ya vyakula
lakini ukweli ulio wazi ni kwamba uwezo wa kijinsia yako unategemea sana na aina ya maisha aliyonayo
angalia unaishi maisha ya aina gani,unayatazama maisha,kwako mafanikio yana tafsiri ipi?
unaamini kiasi gani katika ridhiko la kihisia?
la muhimu sio umepiga ngapi kaka,la muhimu ni hizo ngapi umezipiga vipi!kwanza bao nyingi kwa mara moja unajizeesha !
dahh nimekusoma
 
Bao 2 ukizitumia effective zinatosha kabisa kukuridhisha ww na mpenzi wako na mtu anayeweza kupiga bao 2 huwezi kusema ana upungufu wa nguvu, tatizo unataka kufanya ligi utafikiri unamkomoa mtu wakati hiyo ni starehe.
 
Nyama ya nguruwe.... kitimoto, parachichi, karanga, supu, mazoezi kidogo.... Utamwaga robo kikombe bao la kwanza...
 
guyz naomba mnitajie vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

Karanga, maziwa, samaki ndiyo usiseme. . .hasa wa maji baridi case study ya samaki na maziwa plus karanga ni wakerewe, huoni wanavyozaliana kama vinguruwe, kaya moja watu si chini ya kumi. Ziada kula na mayai ya kienyeji na asali,
 
wanaume,kazi mnayo.hii yote kwa ajili ya kuturidhisha tu.ahsanteni kwa hilo
 
Nimekubaliana na hivyo vyakula walivyokushauri wadau hivyo nikaongezea pia uwe vizuri kisaikojia kwani unaweza ukapata msosi mzuri unaotakiwa lakini kama kisaikolojia utakuwa disturbed utashangaa hali haibadiliki. Si unajua mwili unaendeshwa na gland mbalimbali ambazo zinasaidia kutoa vitu ambavyo vinasaidia ku-speed up utendaji kazi wa vitu mbalimbali mwilini, hivyo hutokuwa vizuri kisaikolojia maana yake hizi gland hazitatoa vichocheo muhimu. (sio mtaalamu wa haya mambo ila hii hali pia wakati mwingine inachangia)

Pamoja na mavyakula yote hayo mapozi ya mwanamke chumbani ni kichocheo kimojawapo.
 
Dawa simple, nenda bahari ya hindi tafuta kisiwa kisichokaliwa na watu, weka masikani yako hapo kwa mwaka mmoja. utashangaa ukitoka huko utakuwa na nguvu za ajabu. Kwa ufupi matibabu ya kukosa hizo nishati za kiume ni ya kisaikolojia zaidi.
 
kula tikikiti maji mkuu na mbegu zake tafuna...inasaidia kuongeza nguvu za kiume, hamu ya tendo lenyewe na pia inasaidia production ya mbegu .......
 
Tumia vitu hivi;
Maji mengi
Tikiti maji pia tafuna mbegu zake
Taboga
Korosho
Maziwa fresh
Karanga
Ndizi

Ila nakushauri upunguze mawazo
 
kunywa juice ya pilipili kwa siku glass moja inatosha!
 
Back
Top Bottom