Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

xaxa kaka mbegu untafuta au vp?

Hii xaxa inasomwaje? kwa kuandika hivyo unaokoa muda au? acha kufuata mkumbo fanya mambo yako kwa sababu, tena yenye maana, toka muanze kuandika vifupisho vya maneno basi mnajiandikia tu hata vitu ambavyo hamtaweza kuvitolea maelezo. Nisisikie tena Maybach.

Kuhusu vyakula vya kuongeza nguvu simply kula chakula bora (mboga, samaki, maziwa) mwili wenyewe utaamua kitu gani kipelekwe wapi kufanya nini? kwa nini unataka chakula specific kuongeza nguvu za kiume? zimepungua?
 
tangawizi, karoti, tikiti maji tegeneza juizi kwa muda wa siku 7 utaona jogoo atakavyowika ila usisahau mazoezi maana bila mazoezi utakuwa mchovyo kwenye 6*6
 
Piga kitu mzizi wa MKUYATI hauna longolongo baada ya siku chache mkeo nae ataanzisha thread hapa inayosema "nisaidieni jamani husband ana nguvu kama kifaru"
 
kaka hii juise ya tende inatengenezwaje napata tabu kidogo ni PM kaka
 
bao 2 bado unataka kufanya magumashi upate nguvu zaidi!
Nadhani tatizo lako kubwa hapa ni muda unaotumia kusukuma hizo bao 2. on average na kwa mwanaume mzima asiye na matatizo atatumia si chini ya 60 minutes kukamilisha bao mbili kama atapiga 2 in 1. wengine tunapiga around 50 to 60 minutes kwa bao moja.
sasa kama unapiga bao2 kwa dakika 10 au 20, then hapo kuna tatizo. Ipo mitishamba ya kukuponyesha matatizo yako hayo.
 
guyz naomba mnitajie vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

Lifestyle kaka,

Kula walau aina 6 za matunda mara 3 kwa siku...na utoke jasho kwa walau dakika 30 kila siku (ninamaanisha mazoezi ya viungo)
 
mimea inyotumiwa kutengeza kamkaze, mkuyati, michunga, aspirini na kiroba, bila kusahau samaki,miogo na tende ndo mchango wangu karanga co nzuri sana... ucpofanikiwa nitafute. Wewe dawa za nguvu za kiume za nini rafiki? au ofisi hazifanyi kazi maana mapenzi sio vitaa
ugali wa mtama
 

Unahalalisha ugonjwa wako kuwa ndio afya. Dkk 60 unahangaika na bao moja si mgonjwa wewe. Dkk 15-25 zisipozaa goli ujue kuna mawili:-
1. Uwanja unaochezea mchafu
2. Unatumbukiza kijiti kwenye beseni lililoshindikana na punda
3. Una matatizo ya uhanithi. Pengine umeathiriwa na masturbation

Masturbation huathiri kwa namna 2:- kuchelewa au kuwahi
 


Hiyo mitishamba ni kama ipi?
 


Las-mas-bobos..nimeipenda hyo no 2!
 
tafuna sana mbegu za papai, pia shuka chumvini kwa wingi acha uvivu

Mkuu mbegu za papai tena?c chungu sana!bt nakubaliana na wewe kwasababu niliwahi kusikia hata mizizi ya mpapai dume ukitafuna inasaidia kuongeza size ya mashine(kwa wanaume).
 

Mkuu hapo katika maziwa?ni fresh au ya mgando? Na kuna ratio yoyote ktk uchanganyaji?
 
Du mambo ya kurudisha heshima kwa waume ndani imeshika sana kasi siku za karibuni. Je na hao wake/wanawake zetu nao wasaidiwe maana inawezekana nao nguvu zimepungua? Nao wale nini maama wanaume wanajipendelea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…