Las Mas Bobos
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 991
- 326
guyz naomba mnitajie vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
Bangi inaongeza, ikitumiwa kama mboga.
View attachment 66040
Na hii kitu pichani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
guyz naomba mnitajie vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
xaxa kaka mbegu untafuta au vp?
m2 wngu hali mbay mana naona cku hz bao 2 nmechoka et
kaka hii juise ya tende inatengenezwaje napata tabu kidogo ni PM kakaMnao sema kuwa Punyeto haisababishi upungufu wa nguvu za kiume hamkuwa addicted na puli mliweza kujicontrol ukiwa addicted na kufanya for a long time ndoa lazima ikushinde ,ndugu yangu najua tatizo ni lako tengeneza juisi ya Tende kwa kutumia maziwa changanya na asali kigodo ngoma itarudi kupiga mzigo kama kawa
guyz naomba mnitajie vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
ugali wa mtama
bao 2 bado unataka kufanya magumashi upate nguvu zaidi!
Nadhani tatizo lako kubwa hapa ni muda unaotumia kusukuma hizo bao 2. on average na kwa mwanaume mzima asiye na matatizo atatumia si chini ya 60 minutes kukamilisha bao mbili kama atapiga 2 in 1. wengine tunapiga around 50 to 60 minutes kwa bao moja.
sasa kama unapiga bao2 kwa dakika 10 au 20, then hapo kuna tatizo. Ipo mitishamba ya kukuponyesha matatizo yako hayo.
na maji ya kunywa pia!

Unahalalisha ugonjwa wako kuwa ndio afya. Dkk 60 unahangaika na bao moja si mgonjwa wewe. Dkk 15-25 zisipozaa goli ujue kuna mawili:-
1. Uwanja unaochezea mchafu
2. Unatumbukiza kijiti kwenye beseni lililoshindikana na punda
3. Una matatizo ya uhanithi. Pengine umeathiriwa na masturbation
Masturbation huathiri kwa namna 2:- kuchelewa au kuwahi
tafuna sana mbegu za papai, pia shuka chumvini kwa wingi acha uvivu
Juice ya dodoki
guyz naomba mnitajie vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
Kula samaki aina ya PWEZA, pia kunywa maziwa yaliyo changanywa na ASALI MBICHI, kunywa MAJI mengi, pia kula ALMOND SEEDS, punguza kula vitu vyenye sukari, Na kula matunda kama walivyokushauri jamaa, mboga za majani kwa wingi. Pia kula CHEESE (jibini), kula ugali wa unga ambao haujakobolewa. Punguza kutumia vyakula vya makopo (vilivyotengenezwa viwandani ni hatari sana) pia kumbuka kufanya mazoezi ya viungo, jizoeze kutembea kwa miguu au kutumia baiskeli. Kama unakunywa pombe acha kabisa, punguza mawazo. Yapo mambo mengi ya kukusaidia, lakini kwanza timiza hayo. God bless you.
m2 wngu hali mbay mana naona cku hz bao 2 nmechoka et