Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

DAH!SO NDIO MOJA CHALIIIII YAN HAPO NI MTIHAN NA HAYA NI KATK MATOKEO YA CHAWAPUTA.......FANYA UJIWE MBALI NA HUO MCHEZO....ILA MAMBO MENGI HUPELEKEA IYO HALI IKIWEMO KUTOKUJIAMINI,LISHE/AFYA,MAWAZO,MATUMIZI YALIYO KUBUHU YA SIGARA NA POMBE.....USHAURI JRB KUEPUKANA NA KILA KISABABISHI CHA HIYO HALI...ZIPO NYUZI HUMU JARIBU KU TAFUTA ZITAKUSAIDIA KIUSHAURI NA MWISHO WAONE MADAKTAR
 
Tumia dawa moja inaitwa Eractor 100. iko pouwa sana sana
 
Unaendelea kuelekea wapi? Usipambane na ulikotokea..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuhusu dk mbioni washakushauri,

kuhusu kadudu usiwaze pia, unajua mwanamke anapotaka kujiridhisha huwa haingizi dole ndani ila huwa anasugua juu,yaan mwanzon, utamu huwa pale ktk kisimi na g sport, na pale ndio kuna utamu wote,
ufanyeje sasa, kufanya sex siyo kuingiza na kuchomoa,hapana,kufanya sex ni kuhakikisha unazungusha uume mle juu kwa mwanamke huku ukiwa unakandamiza kiasi,(koroga) as if unakata mauno
why,,,, unasugua kisimi na pembe za juu ,at the same time kichwa cha uume kinakuwa ndani ambako kiasiri hakuban,lakini pia friction ni ndogo na hivo kutoku7babisha kupiga gori haraka

NB" uume pia una vipele kichwani au mwanzo wa kichwa,hata viwili, hivo ndio humfanya dume asikie raha na apizi fast,, so sisi na wao raha zetu ziko juu kabisa thats why ingiza ,then kama unatoa afu hutoa ni lazma upiz fast

thank u
 
Noted

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noted!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama unasoma maliza shule kwanza mengine baadaye, pia usihangaike kufanana na wengine maana kama unasema una uume mdogo ni kwamba umejifanaisha na wengine, ridhika na huo mdogo ilimradi unafanya kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazoezi ndio suluhisho la kudumu lakini hakikisha umekimbia CHAPUTA kabisa, kuhusu uume mdogo Suluhisho lake ni kutafuta wa saizi yako kinyume na hapo hakuna namna.

Kama hujui mazoezi ya kufanya Install app inaitwa MAZOEZINI ipo playstore

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…