Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Kwani inabidi uchukue muda gani ndo uendelee na round ya pili baada ya kupiga bao la kwanza?

Maana ktk mapenzi ni wewe tu na mwenza wako mkielewana.

Unaeza piga bao la kwanza, ukakaa dk 10 - 20 ukaanza round ya pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kitu kisichowezekana kwa bao la kwanza kukaa dk 40 bila kutoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Sidhani kama una uume mzdogo. Maana upime ukiwa umesimama, kama una nchi 3 au zaidi basi wewe sio kibamia, ila kama zitapungua nchi 3 hapo sawa. Na ni wanaume wachache sana wenye chini ya nchi 3. To cut things short inchi 3 ni sawa na kidole chako kirefu kuliko vyote kila cha katikati.

Pili nakupa techniwques ila kabla ya hapo. Mesej kwa wanawake. Mwanaume yeyote huww bao ni moja tu lile la kwanza mengine tunafanya kwa ajili yenu. Narudi kwako mdogo wangu. Utam wa k ya mwanamke haupo kwa ndani anasikia raha sana pale mbo... Inapoingia na sio ikiwa imeingia, so unaposex jaribu kujizuia kuingiza ume wote yaan kichwa tu ndo kiingie thena unakuwa unapiga juujuu kama dakika moja, unazama yote sekunde ishirini then unarudi juu, pia usimlalie kwa wewe kulaloa viwiko, weka mikono yake pembeni mwa mabega yake yaan mwili wako na wake visigusane ila mbo na papuchi tu, nafikiri umenielewa. Lingine unaposex target yako iwe ni kusugua kisimi so ujivute kwa juu kidogo ili zakar isugue kale kadude vizuei, ukikuta mwanamke anakupenda huwa wanakuvuta wenyewe, hapa usibishe sababu huo mkao ndo unampa amsha amsha.

La mwisho dogo ukiona unakaribia kupiz chomoa mbadilishe mkaooooo, wanawakae wanapenda kugeuzwa geuzwa kama chapati mkuu, kuna style hivi huwa wanalia kabisa ukimweka mm huwa naiiita 69wengine huita 66 yaan mnalala kiubavu wewe nyuma yake anapanua mguu mmoja juu kabisa then wewe unakuwa kama umelala kwa kukatisha kitanda kidogo yeye akiwa amelala kwa urefu wa kitanda. Hiyo kitu huwa ina hit G-pot direct na mwanaume unachelewesha basi kama dk. 25 hivi ukipiga nonstop.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unajipa stress bure dk nne mbna fresh tu kuna watu hata sekunde 30 hamalizi yani ye akichomeka tu wazungu haooooo.
Relax piga gemu tatizo lako sio nguvu za kiume ila ni mentality yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mpaka wametokwa na sugu kama sigda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo suala la uume mdogo ndio linawafanya wanaume wengi wanakosa ujasiri na kuishia kumwaga haraka, hamna uume mdogo kuna uume dhaifu...uume wako ukisimama minya minya kwa chini utaona kama upo kwa ndani umejificha tuu u anahitaji nguvu ya kutosha kuutoa huko ulipo, blood flow, uka upo weak utabaki huko ulipo, ila kama unataka ukivua nguo uonekane mkubwa unaweza ukaanza na mazoezi ya jelking, kuuvuta huko ulipo...google jelking

Kula vizuri, fanya mazoezi na uume ukisimama usiwe lele lege, kitu kinatakiwa kikisimama kiwe kwenye ukomavu hata ukimgonga nao mwanamke sehemu yoyote ya mwili wake anapata mauvivu.

Acha sigara, punguza pombe na ufanyapo mapenzi fanya kama starehe si kwa ajili ya kupunguza msongo wa mawazo, au sababu inabidi afanye kama wenzako sio ujanja afterall sex is overated

Punyeto ndio tatizo lako kubwa ni ngumu kuacha kabisaa, hata uwe una supply ya papuchi za kutosha utajikuta siku unajilipua hivyo jitahidi isiwe tabia yako, acha kuangalia porn, kukaa mwenyewe bila shighuli maalumu na vile vile kuondoka eneo ulilopo unapojisikia kupiga nyeto




Sent using Jamii Forums mobile app
 
There's nothing wrong with who you are! Jiamini tu, don't think about sex, think about love, then make love with her!!! Kuchelewa au kuwahi hiyo hutokana na mood ya siku, wengine hufika hata kabla ya kuingia

We huna mzuka nao hao unawapata hiyo ndo sababu! Hakuna cha mazoezi wala wanga hizo ni fallas tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar tena ndugu zangu wakubwa shkamooni

Nimeud tena baada ya lawama nyingi ya formula

Hii ni formula ilonisaidia kupona kwa kuzingatia nishart ya matunda mboga mboga na mazoezi

Kabla ya kuanza kwa hii tiba lazima uache

Pombe jambo kwa kipindi cha hii tiba japo kawaida pombe ni adui wa uume wako

Acha puunyeto usiwe unajitibu ila ttzo kuu hujaliacha

Uweze kuvuilia sex kwa week 3 had 4
Ili vyakula viweze Fanya kazi

Usile wala kunywa vyakula vyenye kemikali utaua Dawa mfano masoda hayo tumia juice fresh

Ukiweza hayo sasa twende kwenye formula

Kwa muda wa week hizo 3 hadi 4 uwe na uwezo wa kuyapata haya mahitaji maana kwa mda huu ni kila siku upate ila ukishapona unaweza kua ndo mfumo wako ama Siku nyengine ukapotezea kulinganga na maisha yetu

1 ukiamka anza kuuchangamsha mwili kwa mazoezi ya viungo ikiwa ndani ikiwa beach ama gym

2kitu cha mwanzo kutia tumbon mwako iwe chai iliochemshwa na tangawizi na mdalasini ukishachuja usieke sukar no mbaya kwenye mwili eka asali kijiko kimoja chai hii itasaidia kushtua mishipa ama misuli iliolala ilioregea ama ilioziba

3 ukimaliza hapo kama ndo kawaida unakula vitafunwa ni sawa ila hakikisha usipende vyenye mafuta mengi kama vitumbua sasa hapo ni muda wa kula matunda ndizi 2 na vipande 2 vya tikiti hakikisha unatafuna na kumeza kokwa za tikiti ndizi

4 utaendelea na ratiba zako za kawaida usisahau maji unatakiwa kunywa maji ya kutosha kwa sababu maji ni muhimu katika mwili wa binadam tunajua dam ndio hufanya mwanadam kua katika hali ya viungo vyote kufanya kazi kikawaida na asilimia kubwa ya damu ni maji kwaio maji ni muhimu sanaaaaaaa pia maji hukusababisha kukojoa Mara kwa Mara na hii husaidia mwisho nitakuambia umuhimu wa kukojoa kila muda

Wakat unaendelea na ratiba zako za msosi wa mchana usio na madhara kwa mwili wako ikiwa na uwezo pata tena matunda hayo mchana kama huna inatosha ulokula asubuh

5 vegetable soup wengi tumezoea kula supu nyama kuku haya si masupu bora kabisa tuige wazungu chukua kitunguu maji chemsha pamoja na kerot zuchini ama zukini lipo kama tango hill sokon yamejaa tele kitunguu somu kidogo na tangawizi kwa mbali eka chumvi ya mawe haina madhara hakikisha umevikata vipande vipande ili viwah kuiva vikichemka saga kwa blenda hakikisha maji yasiwe mengi ili soup iwe nzito nzito kila siku usiku unatakiwa kula bakuli moja

5vitunguu somu chopchop vitunguu som punje 6 kama ni vile vidogo kama vikubwa punje 2 tu vikate Kate vidogodogo alaf Meza na maji kama Dawa alaf ndo ulale kwa hivi vitunguu som unaweza Fanya Sikh moja Siku nyengine ukaacha maana vinaweza kukuumiza kichwa

7kengel mazoezi haya ni muhimu sana asilimia 50 ya hii formula ni mazoezi haya
Sasa hapa utakumbuka kule nilipokwambia unywe maji mingi na mkojo ni muhimu

Kikawaida hua hatujichunguzi sisi katika mfumo wetu tuna kimshipa flani ivi kipo chini ya korodani karibu na anus pa haja kubwa hua kipo mfano ukiisi mkojo ukibana usitoke had I choooni ule mshipa unaoukaza ili mkojo usitoke ndo huo sasa huo ndo kila kitu hata ukisex ukiubana huo bao halitok sasa kila unapoenda kukojoa hakikisha unakijoa alaf unabana mkojo kwa sekunde kadhaa alaf unaachia mkojo unabana tena ivoivo hadi unaisha na si lazima uwe na mkojo hata ikiwa nyumban kazin njian unaweza kuashum kama unamko alaf choo kipo mbali unabana alaf unaachia

Mazoezi hayo hukuza misuli kukaza misuli ilioharibiwa na punyeto kuipa nguvu na kuirejesha kwenye hali yake ya kawaida

Nakuahid ukifanya haya kwa usawa unaenda kua mume mpya mwanamme jasiri huezi lia tena mm ni shuhuda wa hili

Naamini na ww utarejeshea feedback nzur
Nawatakia mafanikio mema asanteni

Nakaribisha maswali kwa asofaham kipengele chochote


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…