Pole sana mkuu..
~Jitahidi uache nyeto
~Jitahidi ujiepushe na depression
~Fanya mazoezi
~Kula vizuri
Inaonekana una depression boss, haujajikubal na hali..na pia unajicompare sana na watu either pornstars au washkaji, hicho kitu sio kabisa. Huezi perform kile kitu kama hauko comfortable kaka,
Kipindi fulani nilikua najifikiria kwamba nina uume mdogo sana, Kwahiyo sikua comfortable nikiwa nafanya s*x..nilikua nikikutana na mtu dakika moja tuu wazungu haoo....., hiyo hali ilinikosesha sana raha, nikajikuta nnakua na msongo wa mawazo halafu nikaamia kwenye kuangalia porn videos ambazo nikawa natumia kujichua. Matokeo yake sasa nikikutana na mtu tena, Siwez kusimamisha au hata nikisimamisha basi kidgo sana kma ni mtandao umesoma edge! Inasimama kidogo ukipeleka pale inarudi..au hta ikikubal basi siend round ya pili.
Hapo nikashtuka..nikaanza kutafuta dawa..kila mtu alinambia lake, nilikula dawa za kila aina na kila rangi, nilotafuna mizizi kama mbuzi. Hakuna kilichobadilika, msongo wa mawazo ukanizidia..na tatizo likaongezeka zaidi.
Rafiki yangu mmoja akanishauri kitu, kwanza akanambia kwmba yeye ana **** ndogo ikiwa haijasimama lakini ikisimama ni shigida, Akanipa usemi kwamba **** haipimwi ikiwa imelala bali ikiwa imesimama KWAHIYO BADALA YA KUHANGAIKA NA SIZE YAKE KABLA HAIJAAMKA INATAKIWA UHANGAIKE KUFANYA IWE STRONG IKISIMAMA. Hiyo ilinipa confidence sana, pia akanambia kwamba natakiwa ninywe maji mengi sana kila wakati. Hii ni kwa sabab ili isimame is all about blood flow, na 70% ya damu ni maji..well nadhan utakua umeona connection hapo.
Pia akanishauri kuwa ninatakiwa nifanye sana mazoezi kwani itasaidia mishipa ya dam kusisimuka na kuwa active.
Halafu mwisho akanihadithia scenario yake moja kwamba kuna siku aliamua kumkomoa mtu, saa moja kabla ya tendo alikula matango mawili..Akanywa maji mengi, kisha akala ugali wake vizuri, akajilaza kumsubiri mhanga wake. Unaambiwa show ilikua sio ya kitoto, hadi wanaenda karibia saa zima bado jamaa hajafika...
Sasa basi nikaamua kufuata ushauri wa jamaa, kma mnavojua wengi tunapenda immediate results hivyo nikaanzia mwisho kwenye ushauri wa jamaa..nikafanya kama jinsi alifanya, nikaita mtu, Mi nikala matango matatu kabisa [emoji28][emoji28], nikanywa maji, nikapiga zangu ugali dona samaki..nikajilaza kumsubiri mhanga, aisee round ya kwanza tuu nilienda zaidi ya dakika 40!! nikamaliza, round ya pili hatukumaliza mana alipigwa mtu mpaka akakauka kwahiyo tukawa tunaumizana tuu...niliuguza michubuko kwa siku kadhaa
Well, Sisemi kwamba matango have something to do with early ejaculation..inaweza kuwa au isiwe. Lakini kwa scenario kama hiyo unaweza kujifunza pia kwmba kuwa sawa Psychologically ni muhimu zaidi kwenye s e x kuliko hiyo size ya dushee
Hiyo ilikua short term plan, baada ya hapo nikaendelea na ushaur mwingine wa jamaa..nikaacha kabisa kuangalia porn na kupiga nyeto (ilikua ngumu sana lakini hakika ukiamua inawezekana kabisa), nikaanza kufanya mazoezi, na ulaji wa matunda na mboga mboga ukawa sehem ya maisha yangu. Mambo yamebadilika, saiv najiona mtu kama wengine tuu..
NB: Samahanini wakubwa zangu kama nimetumia lugha za kukera, sikua na namna..I know how it feels kuwa kwenye situation kama hiyo
Sent using
Jamii Forums mobile app