The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Hili ndo tatzo LA watanzania sasa kama unaumwa unafanyaje wengine wanauziwa formula ama madaya ya kuchanganya zaid ya laki 3 we umepewa bure unalalamika garama au na garama pia nikupe mm kama unamatatizo hautaweza sema ivi we mzimaTatizo gharama ya hiyo lishe
We avata yakpo mbona inaonyesha ni demu?
Asante pia na hongera wa kua muelewa mm adi sasa napata matusi adi nafikia kujuta kwann niliandika Uzi huu ulionipata sijui watu wengine wanamaana gani hua wanapenda kuona watu wanaendelea na kua watumwa wa haya matatizo walikua wanajua mm nitaitaji pesa kwa RAIA hapana mm kutaka formula za watu kipindi naumwa kila MTU alinambia na bei yake adi laki 3 MTU anakwambia akupe Dawa nikasema nitatafuta na nikipona nitatoa somo kwa watu bureeee maana so wote tuna uwezo wa malaki hayo ila binadam sisi hatar haya matusi sijui wanamaana gani huko inbox wengine wanakwambia no being hii formula dah jaman sitaweza mm kuwapa na ela ya kununua hayo mahitaji kama kweli unapata aibu kwa ili jambo huez sema ivo mm sijaitaj ela nataka wanaume tupone mazali mm nimeponaAhsante sana ndugu yetu coutinho toka zenji kwa kutuwekea hii formula. Niliona watu wamelalamika sana kwenye ile thread yako ya mwanzo. Hakika hii formula itawaponya wengi. Hats vyakula ulivyoweka si vya gharama kubwa ukilinganisha na fedheha za kukosa nguvu za kiume au au kuwahi kumwaga mzigo. Nakushukuru kwa muda wako mwingi uliotumia kuandikahaoa ili watu waweze kurejesha uanaume wao. Nakuhakikishia wengi sana wataenda kutumia hii kitu. Cha msingi kama MTU umeoa na una hili tatizo mweleze waifu ili yeye ndo awe ananunua na kutayarisha. HAKIKA MAISHA YATARUDIA UPYA WAKE.
Sent using Jamii Forums mobile app
uvumilie kwamba kila siku ufanye kwa wiki tatu au usifanye kwa wiki tatu? Sentesi tata
Wacha zKo wewe.uvumilie kwamba kila siku ufanye kwa wiki tatu au usifanye kwa wiki tatu? Sentesi tata
Wa saizi yako utamtambuaje?.Mazoezi ndio suluhisho la kudumu lakini hakikisha umekimbia CHAPUTA kabisa, kuhusu uume mdogo Suluhisho lake ni kutafuta wa saizi yako kinyume na hapo hakuna namna.
Kama hujui mazoezi ya kufanya Install app inaitwa MAZOEZINI ipo playstore
Sent using Jamii Forums mobile app
viswahili vya Pemba taabu sanaWacha zKo wewe.
Ukiambiwa vumilia kula siku mbili huelewi?
Ukiambiwa vumilia kuendesha gari siku mbili huelewi?
Wee mkuu mswahili sana ujue[emoji16][emoji16]
Nakupa faida sasa"unapoambiwa vumilia kitu fulani ambacho kwa kawaida ni mazoea kufanyika basi hata usitajiwa uvumilie kufanya au kutofanya basi jua imekusudiwa kutofanya"
الجنون فنون
Umekosa rah sana,jalbu japo one day utagundua dem hana radha yyteMimi hapa sijawahi kupiga toka niwe na kumbukumbuku zangu na sijui chochote kuhusu Hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hili naomba Mungu aniepushie.Umekosa rah sana,jalbu japo one day utagundua dem hana radha yyte
Sent using Jamii Forums mobile app