New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,333
- 2,484
teh ila kweli mi nimepiga kama miaka 13 lakini mpaka ma X wananililia
Kanali mstaf umenichekesha mno ijapo swala la mleta uzi sio la kuchekesha.Si bora tu ijiue.. mtu gani huna mabao
Niko serious... yaan mm bora niwe mlemavu wa akili ila mabao yawepo. Nitapiga hata nyeto for self satisfaction.Kanali mstaf umenichekesha mno ijapo swala la mleta uzi sio la kuchekesha.
Si kwamba hana mabao ni kwamba mabao yapo ila hayana sile sperm mbegu si swala la kumbeza mtu anaeomba msaa mahala ambapo anaamin atapata msaada halaf anapuuzwa ki hiviSi bora tu ijiue.. mtu gani huna mabao
Kama upo instagram mfollow dr boaz mkumbo md jina hilo hilo anatumia YouTube pia yapo na mawasiliano yake nadhani anaweza kukupa msaada kwa namna moja ama nyingine hasa kupitia lishe yako mwingine mcheki YouTube Dr Eric Berg Dc... All the best mkuu, nitafurahi siku moja ukanipa mrejeshoNaomba msaada..jaman kama hospital umefanya sperm count three times no sperm..na wamechek testosterone zipo sawa,,,shida nn???
Kuna kitu yaitwaNaomba msaada..jaman kama hospital umefanya sperm count three times no sperm..na wamechek testosterone zipo sawa,,,shida nn???