Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Asante Kwa Somo Zuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kwamba hana mabao ni kwamba mabao yapo ila hayana sile sperm mbegu si swala la kumbeza mtu anaeomba msaa mahala ambapo anaamin atapata msaada halaf anapuuzwa ki hivi
Tatizo pacha langu liko hivi, mie mabao hamna kabisa! Uume unadinda vizuri na kuingia kwa bibi kama kawa, ila nitapiga mashine hata zaidi ya nusu saa au saa nzima lakini babu hatemi ng'o! Tatizo hili limenianza kwenye age ya 53, ila kabla ya hapo mambo yalikuwa mubashar! Solution please!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda hospital kachek mirija kama IPO sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hospital wamenibia matibabu yake nje ya nchi..na n USD 40,000/=

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekua ni case ya low sperm count tu
Isingekua issue sna mkuu

Ila azoospermia maana yake ni hali yakua hamna hata sperm mmoja ktk yale maji yooote ya manii unayotoa

Sasa tiba yake ni ndefu mkuu , kwa hapa kwetu

Wengi ambao walimepatikana na hio condition wanakata tamaa kutibika but nothing is imposible mkuu
Pambana na mungu atakufanyia miujiza yke utafanikiwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan doctor alivyo niambia nilimcheki Mara 2....nikasema moyoni daaaa yan hapa ata nauli ya ndege kutoka DSM mpaka mwanza sina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar tanzania
Asalaam aleikum
Tumsife yesu kristu


Nimekuja kwenu wakuu naitaji msaada juu ya ugunduz nilioufanya uliotokana na kukubwa na tatizo la nguvu za kiume lililotokana na kujichua na ulaji mbaya wa vyakula hivyo kupelekea uume kua legelege kuwai kukojoa kushindwa kurudia tendo kukosa hamu ya tendo na nk

Nilianza kuzunguka mahospitali kutafuta tiba bila mafanikio na kote huko nilikua naambiwa yafuatayo kula vizur sikupewa majibu mazur zaid ya kuambiwa kupa vvyakula vya asili,pia niliambiwa kunywa maji mengi sikuambiwa kias gan kama ni ndoo mbili au pipa au glass tano niliambiwa kula matunda sikuambiwa aina gan na mangap

Zoez pia niluambiwa nifanye sana sikuambiwa zoez ganna mda gan

Nikaingia field. Kufanya utafit ulionigharimu sana sana sanaaaaaaaaaaaa ilikua bado kidogo nikate tamaaaaa nikaanza na matunda nikayapata kua matunda manne nikichanganya nitapata nitrix oxide ambayo itatibu misulu na kupandisha hormone nikaweka kwenye namba kwa kila tunda yawe mangap na maji nikapata lita nne na zoez nikapata la pelvic floor exercise kwa ajili ya kukaza uume nikafanikiwa kupona so nikaanza kuyza formula tangu 2010 mpaka leo wrng wakapona ndoa nying ziksokolewa shuda zipo kwenye page yangu niliyoambatanisha picha niko hapa kuomba msaada nin nifanye nitengeneze dawa ya kitonge au maj maana formula yangu imefana sana kinatabibu mawasiliano yangu ni 0712505049


 
Kitonge au kidonge!? Kama kitonge kamua iwe maji ongeza ngano songa inakua kitonge, ila ila uko unapoipeleka katk form ingine utaiharibu ubora wake maana itabid iongezwe preservatives nyingine amabz ni sumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…