Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Ushaijengea akili yako kuwa unapiga bao 1 ndani ya dk 5, na sehemu ya ubongo inayocontrol tendo imezoea hivyo, kwa hiyo lazima uende nyavuni kwa hizo dk 5.

Madaktari kadhaa wamekuambia uko salama ila umeijengea akili yako kuwa hauko salama, jambo ambalo linasababisha uendelee kutingisha nyavu ndani ya dk 5.

Jizoeze kidogo kidogo kuondoa hii dhana akilini ambapo itafanya sehemu ya ubongo inayohusika na tendo kuzoea hali ya kawaida ya kwenda vyavuni ndani ya dk nyingi hata kipindi cha pili huko.

Kila la kheri katika kujinasua kutopata clean sheet
 
Basically it seems your belief system is distorted and nothing now you can do out of that cycle! Your Mind/Brain has already given you a meaning of yourself. Hiyo 'maana' ya wewe ulivyo should be changed na tiba ya kwanza inaanzia hapo.
Waliokupa ushauri unaohusu pyschology wako sahihi by 100%, kinachokusumbua sasa ni handling ya hiyo issue na hii ndy sababu wadau hapo juu wamesema mke wako naye anayo part yake kuhusu jambo ulilowakilisha hivyo wote wawili mna la kufanya, hili jambo siyo la mtu mmoja tu!
 
malembeka18, Mm nakupa makavu sasa maana ndo dawa maridadi.

1. Ww ni mchoyo sana kwako na kwa mpenzi wako, kitu cha kufanya mwambie mkeo akusaidie. Fanya hivi ukishafanya maandalizi yoote sijui kiss, romance na kila kitu hata kama umepiga na deki kabisa, ingiza dushe kwenye kipochi manyoya na usifanye lolote in and out, ulifanya hivyo itakufanya zile hamu na uroho wako utulie kabisaa kama dakika tatu hivi then anza in and out ila ukiona wazungu wanataka kutoka acha tena dushe likiwa ndani. Ukisha tulia endelea hivyo hivyo mpaka dakika may be 30 na zaidi alafu fanya in out ukojoe. Rudia hizi hatua mara kwa mara siku zote mpaka uzoee kujicontrol ww na uchoyo ulionao.

2....
3
...
4...
NB. Zingatia hilo hapo juu ili nikupe la kurudia round ya pili . Cha muhimu acha uchoyo.kumbuka pia wakati wa kukojoa usiweke akili zako zote hapo fanya kama unajizuia huku wazungu wanatoka dushe litakuwa bado imara kiasi fulani kwa maandalizi ya round ya pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ufanye na mazoezi pia sio umbo kama pipa alafu unataka round nyingi sio kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Ukikaribia kukojoa ongeza spidi, wala usipoze yani kaza buti endelea tu (usisikilizie bao linavyotoka). Wewe unganisha kupeleka moto

2. Usiwashe AC au feni upepo mkali wakati wa kupiga mzigo kusiwe na baridi chumbani au miguu (nyayo kuzizima). Ikiwezekana zima AC au feni.
Vizuri mwili uwe na joto, jasho litoke, epuka mwili kupoa kwa baridi kabla na baada ya bao

3. Bao 1 la mtu mzima kuanzia 40yrs ni sawa na bao 3 za kijana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama walivyosema wengi wewe huna tatizo lolote.

Ila elewa kitu kimoja kwamba our routine behavior and negativity tend to create biological clock and timer.

Awali ulipofanya kimoja akili yako ikajenga hofu na kuamini wewe ni dhaifu.

Relax usifikiria sana fanya uliyoambiwa la zaidi siku za mapunziko lianzishen na mpelekee moto shem popote mazingira yanaporuhusu, muwe flexible kwenye place, time,sex stile na ata mavazi ya kutegana kabla ya mechi na kutaniana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza concentration wakati wa sex! Usijaribu kuitazama mbunye wala matako ya mwenzako wakati wa timbwili! I repeat never do that!

Aidha muombe mwenza wako asikatike sana na kuna kipindi hata wewe hupaswi ku-pump! Wote tulitokea huko lakini sasa tumekuwa ma -expert! Nikipiga demu wako hatarudi tena kwako
 
malembeka18, Inawezekana wakati wa kukitupa unatumia nguvu nying Sana na kulifikiria Sana inafikia kipind mwili unaishiwa nguvu na misuli ya mwili wote kuchoka na kushindwa kurudi kwa wakati.

Na pili mwanamke labda ulienae ushamkinai na unaona Hana jipya kabisa

kilicho akilini kitumie
 
malembeka18, Basi hapo ndio umepatikana. Tatizo ulilonalo limegundulika. Tatizo lako ni mke,unamuogopa,hauko huru nae. Hilo tatizo linawapata wengi.

Hasa wale wanashindwa kuwamiliki wenza wao. Unakuta mke kila kitu anaona anakijua+ maneno sana, kwa hiyo umejenga hofu nae. Ukitaka kuliwezea hilo kiwanja cha nje hicho usikiachie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huko kwa madaktari bingwa kooote umeamiba uko vzr baada ya vipimo vyote ambavyo ni sababishi kuonyesha huna shida yoyote, humu unatafuta msaada gani? au unazani humu kuna Muujiza?
Madam niamini mimi, alikoenda kote hakuna doctor aliemshauri aache kula chips yai na vyakula vingine vya Dar, hakuna doctor aliemshauri afanye mazoezi na hakuna doctor aliemshauri kupunguza msongo wa mawazo! Ni madoctor wako busy kupima sperm count!
 
Anza dose ya vitunguu swaumu, tangawizi na asali mbichi.

Vipimo vyake tafuta thread humu watakuwa wametoa

Maana mbadala wake hapo ni Sildenafil (Viagra) na sio vizuri kutumia katika umri huo maana itafika unakuwa huwezi kufanya bila kumeza kidonge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…