Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Entreprenuare,
Umri unamata, kama ujaoa na uko under 25 ukiona matako mnara c unaweza kusimama ata cku nzima🙂🙂
 
[QUOTE="Kambaku,

Nimecheka japo mada haina vichekesho ila jibu lina vichekesho! Kaka kambaku suala la nguvu za kiume linaumiza wengi sana. Mie juzi juzi niliweka uzi wa namna ile ila mie tatizo langu halikuwa hivyo. Mie show zangu zilikuwa safi tu ila kwa mpenzi wangu wa sasa ile zamu za awali za kugegedana nilikuwa nakojoa haraka sana ila round ya pili ilikuwepo ila nayo ilikuwa ya haraka sana tofauti na kawaida hadi mwenzangu akaniukiza mbona hivyo.! Nilijmia sana kisaikolojia demu wangu kwa muda wa wiki nne kila weekend alikuwa anakuja kwangu ila alikuwa anajikuta anabaki na Ngenye tu hakuwa anafika Climax.
Nilianza kuangalia wapi nilikosea, nikaanza mazoezi ya Baiskeli na mazoezi mengine ambayo nikawa nafanya na demu wangu. Na pia nilibadili mfumo wa chakula.

Karanga kwa sana, Mihogo kwa sana(Mibichi na iliyochemshwa), Mbegu za maboga na Nazi za kutafuna. Nikiri kuwa katika hayo yote weekend hii mpenzi wangu alikuja kutaka kujua kama nimefuatilia na kama naendelea vzuri au lah.

Nilioiga show moja, na kwa mara kwanza tangu tumeanza mahusiano nikamuona analowa baada ya kumsugua kisawa sawa akaniambia nimepona na akshukuru pia maana naye Ngenye zilikuwa zimemjaa.

Ushauri wangu
1. Mazoezi
2. Chakula asili(Epuka mafuta)
3.Ajiamini ili kuondoa tatizo kichwani
4. Mpenzi wake anapaswa kumueleze ni style gani inaweza mfikishe kileleni.! Style hizi hapa chini [emoji1427][emoji1427][emoji1427] Na pia anaweza kuwa unamuandaa kwa muda mrefu sana hadi pale akikaribia kupata hisia sasa ndio anapanda kupiga show.
5. Suala la kurudiana round ya pili unaoswa usiwe unaifanya kwa haraka( Japo mimi huwa naunganisha yaani sipumziki) ila inakubidi uwe unapimzika na unaanza kupapasana na mwenzako. Ukishindwa hiyo nitafute inbox nikuelekeze nyingine.

Pole sana jamaaa

Kama utaso


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Bao moja siyo tatizo kabisa,(kwenye ndoa)
Shida ni matumizi ya hilo bao lako moja.
Muda gani unamuandaa mwenzio?
Unatumia dk ngapi kukaa kifuani?
Na mpaka unaenda kufika hilo bao lako una uhakika mwenzako kafika bao ngapi???

Mimi huwa napiga bao moja tu kwa wife kila siku japo nina uwezo wa kurudia tena baadaye au alfajiri ila hilo bao moja hata uwezo wa kuniambia nirudie huwa hana kabisa.

Kwanza namuandaa vya kutosha kuna wakati anaweza akamaliza mshindo mmoja kabla sijamuingilia yale maandalizi tu yanamuweka nusu kaputi.

Mke kila siku nipo naye naamka nalala nipo naye hicho kipengere kinanifanya nisiwe na pupa sana ya kufanya tendo,ninaweza kukaa ulingoni kwa dakika 40 hadi 45,nikiwahi sana basi ni dak 20 hadi 25 hapo tumeshabinuana style zote mhimu na ukitaka kumliza hakikisha umemtaarifu na umuulize ni style gani anaenjoy zaidi(inayomkuna vizuri)basi hiyo ndiyo umalize nayo,na kama nyege zake zipo karibu hakikisha amepiga mishindo yake miwili kwanza ule wa tatu unaenda kumaliza naye.

Sijawahi kupata malalamiko ya kutomfikisha mke wangu,na tuko open sana tunaweza kuzungumzia tendo bila kificho ili kila mmoja afurahie.Narudia tena ninaweza kupiga bao mbili hadi tatu kwa usiku mmoja ila hiyo moja huwa inatufanya tuwe hoi mno siku zingine unamaliza unanyanyuka kwenda kuoga unarudi unamkuta amesinzia kabisa.

Kwa demu mpya mbili ni za kufikia na hicho cha pili lazima aombe maji,maana kinaweza kuchukua saa nzima na zaidi,mwanamke gani afanye mapenzi saa nzima asifike kileleni ??atakuwa na matatizo ya kihisia.

Bao moja si tatizo kabisa ila ujue kulitumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Malalamiko unaweza usiambiwe wewe akaambiwa mchepuko
 
Punguza concentration wakati wa sex! Usijaribu kuitazama mbunye wala matako ya mwenzako wakati wa timbwili! I repeat never do that!
Aidha muombe mwenza wako asikatike sana na kuna kipindi hata wewe hupaswi ku-pump! Wote tulitokea huko lkn sasa tumekuwa ma -expert! Nikipiga demu wako hatarudi tena kwako

Eti hatarudi tena kwako [emoji81][emoji81][emoji81]. Ushauri mzuri


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Simple.
1. Kunywa whisk kiasi au konyagi.
2. Kula kitimoto kama imani yako ya Dini inakuruhusu.
 
msaada mimi nikijana wa miaka32 nimeoa nimekua natatizwa ama nasumbuliwa na swala la kuwahi kumaliza wakat wa sex.

shida imekuepo tangu naaza mapenzi nikiwa na umri wa miaka 20 mpaka naoa hadi sasa nikiwa katika ndoa nilijaribu kwenda hospital ya Tikaya ya Dr Kapona niliambiwa nina upungufu wa testestorone horme nikapewa dawa ya miezi mitatu ya kubust lakini sikuwa namabadiliko yoyote.

baadae baada mwaka nikaenda kwa urology speacialist pale Tumaini hospital nikaonana Prof YONGOLO nkapimwa kila kitu.

prostate, presha, sugar, kidney, liver, bladder, flow ya mkojo, cholestorel vyoote vilionekana niko sawa ikabidi niandikiwe dawa ya zahel na spray mbili za kupulizia katika uume ili nidelay katika tendo moja inaitwa VEGA na nyingine ina itwa CYDOCLINE. Nilikaa navyo kwa muda wa miezi mitatu sIkutumia hata dawa moja.

Baadae kama miezi sita kupita nlikwenda MUHIMBILI nikaona pia daktar wa urology napo nlipimwa kila kitu skuonekana na shida yoyote Daktar wakasema wewe huna shida hatuwezi kukupa dawa ni akili yako tu imejiaminisha hivyo kuwa una tatizo lakini huna tatizo na muda unaotumia kusex wa dk8 unapizi nisawa kabisa wanaume wote tuko hivyo.

Ila kurudia round nyingne inategemeana na mwanamke ulienae ushirikiano wake kwako ili uweze kurudia kwahiyo upo sawa. Na hata huyo Daktar wa Tumaini aliekupa hizo dawa sisawa we nenda upo sawa.

basi nkaondoka na mawazo yakuwa niko sawa nanikawa najiaminisha kuwa sina shida yoyote nakuanza kujiamini zaidi lakini kila nitakapokutana na mwanamke ni bao moja tena la dakika5 nikijizuia hadi dk10-15 nikikojoa siwezi tena kurudia tena. Hali ikaendelea hivo japo nIkawa najijengea comfidance nakuamini sina tatizo ila kila nIkiwa katika tendo hali inakua tofauti.

baada ya kupita tena kama mwaka kuna mtu humu humu jf alielekeza kuwa kuna dr yupo aga khan alimsaidia sana kwenye swala kama langu. Basi nikajichangachanga nikaenda AGA KHAN nikaonana nahuyo UROLOGY Specialist DR ZAHIR AKBAR nako nilipimwa kila kitu figo, korodani, tezi dume, kibofu, ini,presha, sukari nikaonekana niko sawa ila akaona katika tezi kuna infection kidgo ila akasema infection haiwezi kuleta hiyo tatizo akaandika dawa na yeye akashauri ni akili yako na mtu ulie nae na hizo dk unazotumia kumaliza tendo nisawa tu hakuna shida huna tatizo

Nshaonana mpaka na mwanasaikolojia pia DR CRIS MAUKI akanishauri kujiamini vyote navitekeleza lakini wapi najitahid kula vyakula asilia naepuka mafuta mafuata.

WAKUU NI HAYO NAHITAJI MSAADA WENU NAMI NIWEZE KUFURAHIA SEX YA ZAID BAO MOJA NAKUKAA MUDA KIDOGO KTK TENDO NA MUWEZA KURUDIA TENDO NDAN YA MUDA MFUPI.


Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu uliyopata kuhusu maswala ya ngono imekupotosha sana.
Kuna shule yenye mtazamo mpya na halisi unahitaji kuipata!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namuunga mkono mshauri aliyekushauri kuwa; Hilo bao lako moja linatosha saana ila ukilitumia vizuri. Swali; Je, huyu mkeo umeanza kumkuna nusu tangu lini?? Yaani, tangu umemuoa ulianzia siku hiyo hiyo kumkuna nusu?? Kama siyo, Je, ulianzia lini? Kwa nini ulianza kumkuna nusu?? Haya maswali ukiweza kuyajibu, utajua sababu.
Huenda, aliwahi kukukasirisha akakuuliza; Hivi ndivyo ulikuwa unamkuna nanihii wako?? Swali hilo huwa linamstua mwanamume na atakosa kujiamini kwa mwanamke wake. Atadhani hakumfikisha kilele.
Jambo jingine; Angalia ulipoanza kushusha perfomance. Je, hali yako ya kipato ilikuwa imeyumba?? Mara nyingi, wanaume hushuka ki perfomance kwa sababu ya kipato kuyumba.
Je, mkeo anakusaidia kukuamsha dude?? Kuna wengine ati hata nguo hawatoi. Anapandisha gauni tu na hiyo pichu anaitoa mguu mmoja. Yaani mnakuwa ka mnaiba. Sasa, utaacha kweli kupoa??
Mapenzi ni njia mbili. Nipe nikupe, hata kamguno kidogo hukufanya uone kuwa kidume nimemfikisha. Au aliwahi kukuambia kuwa; Hiki ni kidole chako umeingiza au?? Si tiyari umeona kuwa wewe umebeba kamchirizi tu badala ya muhugo??
Man yourself man. Jiamini na mtwange kwa uhakika bila wazo la kushindwa
 
Wewe uko vizuri kabisa. Kama vile walivyokuambia madoctor inategemeana na mtu ulienae,anacheza vipi kwenye nafasi yake. Wapo wanawake wengine hata kama ulikuwa hutaki,atakuchezea mpaka inasimama tena,ili mradi tu saikorojia yako iwe pale. Cha kufanya sasa mchezee mkeo sana kwanza,muda mwingine mpaka apiiiz kabla hujazama. Ukija kuzama tu kuna muda mwingine umesema unajizuia mpaka dakika 10,basi jitahidi kujizuia tena na tena angalau ifike dakika 20,ili wife afike tena wakati iko ndani. Jinsi ya kujizuia ukipiga piga,ukiona wazungu wanataka kutelemka,acha kupiga,unakuwa kama unaichomoa kidogo nje. Muhimu akili iwe hapo,usiwaze kwamba sijui nitaweza. Ukiwaza hivyo utajivuruga. Mwisho kama vipi siku moja nenda kiwanja cha ugenini. Jitahidi hicho kiwanja cha ugenini kwanza kiwe kikali,pili ili kujijengea uwe huru kakipime kabisa kama kiko salama. Ikiwezekana lala nacho. Ukipiga kimoja tokeni mkazuge hata kwa kwenda nje,au kwenye vinywaji. Mtakaporudi baadae itakuwa imechaji. Mechi ya ugenini itakujengea kujiamini

Sent using Jamii Forums mobile app

Mechi za Ugenini zinasaidia sana kuondoa ile hali ya wasi wasi. Japo mie nilienda kuchukua hawa mademu wa barabarani ila baadae weekend ilipofika demu wangu akaja. Nilipiga show safi. Ila kwenye suala la kujizuia mtihani sana hapo, unaweza ukapiga zile in and out ile unayaka kupiiz ukitakusimama mwenzako anakuambia kazana nakaribia kumwaga unakazana tu wazungu hawa hapo [emoji23][emoji23][emoji23]. Mazoezi ni muhimu na Afya ya Akili nayo muhimu sana kwenye mechi kama hizi.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
malembeka18,
Kama unapata 1 kwa siku na unashindwa kuongeza,piga kesho yake jingine,na uendelee na ikifka mwisho wa wiki ni 7, hayo sio haba,kwa mwezi ni 30 bado utakuwa kwenye top 10 ya wafungaji hodari...

Duuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Madam niamini mimi, alikoenda kote hakuna doctor aliemshauri aache kula chips yai na vyakula vingine vya Dar, hakuna doctor aliemshauri afanye mazoezi na hakuna doctor aliemshauri kupunguza msongo wa mawazo! Ni madoctor wako busy kupima sperm count!
mkuu ktk swala lavyakula niko makini nalo sana nnamiaka9 nakula vyakula vyenye kujenga mwili protin..pia swala la msongo wa mawazo nimeelezea hapo nshapita hadi kwa mwanasaikolojia..sehemu moja tu ndo namis ni katika mazoezi ila mengne yoote nayafanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anza dose ya vitunguu swaumu, tangawizi na asali mbichi.

Vipimo vyake tafuta thread humu watakuwa wametoa

Maana mbadala wake hapo ni Sildenafil (Viagra) na sio vizuri kutumia katika umri huo maana itafika unakuwa huwezi kufanya bila kumeza kidonge

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu huu mseto nlishautumia kama mara mbili hivi ila skuona changes zozote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom