Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Pole kwa Maswahibu..Nakushauri Uwangalie Tiba mbadala kwa kua zipo aina ningi. Na Umshirikishe Mwenyezimgu katika utatuzi wa Tiba yako
 
style ipi unatumiaga mkuu?

3B9FB239-EA8F-4BD1-80B2-790658348721-328-0000001EA63FC684.JPG


Tamu sana hii, mkuu. Kama una kibamia don't try this broh.



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukimbizane na pesa au ukimbizane na mazoezi?
Pesa bila ya kuwa na afya nzuri ni useless. Uajikuta unaitumia hela yote kwenye matibabu.

Uzuri wake vyote kwa pamoja vinawezekana na ndio maana nimemshauri atumie japo nusu saa kwenye mda wake kufanya mazoezi.

Angalia mda gani watu wanatumia kwenye social media kuandika na kusoma upuuzi? Inamaana akipangilia mda wake vizuri atakosa nusu saa kufanya mazoezi?
 
nachua masaa mawili au zaid kama niusiku nafanya kisha nna lala usiku wananane au alfajiri nkiwa usingizini uume utasimama sanaa naamka kufanya ..ila kuna nyakati mara tatu tofauti niliweza kudable baaya kukojolea nje sjawahi kujua hali ile ilitokana na nin mpaka nkaweza kudable

Sent using Jamii Forums mobile app

Dah mbona mkuu huna shida kabisa me ninavyoona sema una kitu kichwani kinakuaminisha kuwa una shida


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndugu na majamaa msaada kwa jirani yangu hapa anatatizo la muda mrefu la kutomtimizia mwanamke tendo la ndoa wawapo kitandani,

Yaani tatizo lake anapokuwa mwenyewe au anapokuwa na mwanamke hisia zote anazipa na anaweza akasimamisha vizuri

Na anaweza kumchezea Dem Hadi kufikia mwisho wakuanza kufanya ikiwa Bado imesimama,

Tatizo lake nipale tu uume unapoanza kuigusa mbunye, pale pale jogoo anawika hata kabla mgeni kuufungua mlango ili aingie subuleni,

Yaani amefanya hivyo mara kadhaa kwa wanawake tofauti tofaut lakini tatizo nililelile kujirudia,

Naombeni masaada kumsaidia ndugu, rafiki angu ili kunusuru amani yake katika kuishi kwake maana mademu wote aliokutana nayo hivi sasa anawakwepa hataki kuonana nao!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
msaada mimi nikijana wa miaka32 nimeoa nimekua natatizwa ama nasumbuliwa na swala la kuwahi kumaliza wakat wa sex.

shida imekuepo tangu naaza mapenzi nikiwa na umri wa miaka 20 mpaka naoa hadi sasa nikiwa katika ndoa nilijaribu kwenda hospital ya Tikaya ya Dr Kapona niliambiwa nina upungufu wa testestorone horme nikapewa dawa ya miezi mitatu ya kubust lakini sikuwa namabadiliko yoyote.

baadae baada mwaka nikaenda kwa urology speacialist pale Tumaini hospital nikaonana Prof YONGOLO nkapimwa kila kitu.

prostate, presha, sugar, kidney, liver, bladder, flow ya mkojo, cholestorel vyoote vilionekana niko sawa ikabidi niandikiwe dawa ya zahel na spray mbili za kupulizia katika uume ili nidelay katika tendo moja inaitwa VEGA na nyingine ina itwa CYDOCLINE. Nilikaa navyo kwa muda wa miezi mitatu sIkutumia hata dawa moja.

Baadae kama miezi sita kupita nlikwenda MUHIMBILI nikaona pia daktar wa urology napo nlipimwa kila kitu skuonekana na shida yoyote Daktar wakasema wewe huna shida hatuwezi kukupa dawa ni akili yako tu imejiaminisha hivyo kuwa una tatizo lakini huna tatizo na muda unaotumia kusex wa dk8 unapizi nisawa kabisa wanaume wote tuko hivyo.

Ila kurudia round nyingne inategemeana na mwanamke ulienae ushirikiano wake kwako ili uweze kurudia kwahiyo upo sawa. Na hata huyo Daktar wa Tumaini aliekupa hizo dawa sisawa we nenda upo sawa.

basi nkaondoka na mawazo yakuwa niko sawa nanikawa najiaminisha kuwa sina shida yoyote nakuanza kujiamini zaidi lakini kila nitakapokutana na mwanamke ni bao moja tena la dakika5 nikijizuia hadi dk10-15 nikikojoa siwezi tena kurudia tena. Hali ikaendelea hivo japo nIkawa najijengea comfidance nakuamini sina tatizo ila kila nIkiwa katika tendo hali inakua tofauti.

baada ya kupita tena kama mwaka kuna mtu humu humu jf alielekeza kuwa kuna dr yupo aga khan alimsaidia sana kwenye swala kama langu. Basi nikajichangachanga nikaenda AGA KHAN nikaonana nahuyo UROLOGY Specialist DR ZAHIR AKBAR nako nilipimwa kila kitu figo, korodani, tezi dume, kibofu, ini,presha, sukari nikaonekana niko sawa ila akaona katika tezi kuna infection kidgo ila akasema infection haiwezi kuleta hiyo tatizo akaandika dawa na yeye akashauri ni akili yako na mtu ulie nae na hizo dk unazotumia kumaliza tendo nisawa tu hakuna shida huna tatizo

Nshaonana mpaka na mwanasaikolojia pia DR CRIS MAUKI akanishauri kujiamini vyote navitekeleza lakini wapi najitahid kula vyakula asilia naepuka mafuta mafuata.

WAKUU NI HAYO NAHITAJI MSAADA WENU NAMI NIWEZE KUFURAHIA SEX YA ZAID BAO MOJA NAKUKAA MUDA KIDOGO KTK TENDO NA MUWEZA KURUDIA TENDO NDAN YA MUDA MFUPI.


Sent using Jamii Forums mobile app

 
Back
Top Bottom