Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kama umeishi na mke wako zaidi ya miaka mitano na huna uwezo wa kutambua kafika kileleni au laa bado hamjaoana.Malalamiko unaweza usiambiwe wewe akaambiwa mchepuko
Umri unamata, kama ujaoa na uko under 25 ukiona matako mnara c unaweza kusimama ata cku nzima[emoji846][emoji846]
style ipi unatumiaga mkuu?
Pesa bila ya kuwa na afya nzuri ni useless. Uajikuta unaitumia hela yote kwenye matibabu.Ukimbizane na pesa au ukimbizane na mazoezi?
nachua masaa mawili au zaid kama niusiku nafanya kisha nna lala usiku wananane au alfajiri nkiwa usingizini uume utasimama sanaa naamka kufanya ..ila kuna nyakati mara tatu tofauti niliweza kudable baaya kukojolea nje sjawahi kujua hali ile ilitokana na nin mpaka nkaweza kudable
Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka Hat trick jamaaMkeo analalamika anataka bao mbili?
Na je? Ukipiga moja usiku moja asubuh haiwezekan ama unataka ndo usimamie ukucha?
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 akijibu nitagiHuyo jamaa yako alikuonyesha inavyosimama?
Namsubirií ¾í´£ í ¾í´£ í ¾í´£ í ¾í´£ í ¾í´£ akijibu nitagi
msaada mimi nikijana wa miaka32 nimeoa nimekua natatizwa ama nasumbuliwa na swala la kuwahi kumaliza wakat wa sex.
shida imekuepo tangu naaza mapenzi nikiwa na umri wa miaka 20 mpaka naoa hadi sasa nikiwa katika ndoa nilijaribu kwenda hospital ya Tikaya ya Dr Kapona niliambiwa nina upungufu wa testestorone horme nikapewa dawa ya miezi mitatu ya kubust lakini sikuwa namabadiliko yoyote.
baadae baada mwaka nikaenda kwa urology speacialist pale Tumaini hospital nikaonana Prof YONGOLO nkapimwa kila kitu.
prostate, presha, sugar, kidney, liver, bladder, flow ya mkojo, cholestorel vyoote vilionekana niko sawa ikabidi niandikiwe dawa ya zahel na spray mbili za kupulizia katika uume ili nidelay katika tendo moja inaitwa VEGA na nyingine ina itwa CYDOCLINE. Nilikaa navyo kwa muda wa miezi mitatu sIkutumia hata dawa moja.
Baadae kama miezi sita kupita nlikwenda MUHIMBILI nikaona pia daktar wa urology napo nlipimwa kila kitu skuonekana na shida yoyote Daktar wakasema wewe huna shida hatuwezi kukupa dawa ni akili yako tu imejiaminisha hivyo kuwa una tatizo lakini huna tatizo na muda unaotumia kusex wa dk8 unapizi nisawa kabisa wanaume wote tuko hivyo.
Ila kurudia round nyingne inategemeana na mwanamke ulienae ushirikiano wake kwako ili uweze kurudia kwahiyo upo sawa. Na hata huyo Daktar wa Tumaini aliekupa hizo dawa sisawa we nenda upo sawa.
basi nkaondoka na mawazo yakuwa niko sawa nanikawa najiaminisha kuwa sina shida yoyote nakuanza kujiamini zaidi lakini kila nitakapokutana na mwanamke ni bao moja tena la dakika5 nikijizuia hadi dk10-15 nikikojoa siwezi tena kurudia tena. Hali ikaendelea hivo japo nIkawa najijengea comfidance nakuamini sina tatizo ila kila nIkiwa katika tendo hali inakua tofauti.
baada ya kupita tena kama mwaka kuna mtu humu humu jf alielekeza kuwa kuna dr yupo aga khan alimsaidia sana kwenye swala kama langu. Basi nikajichangachanga nikaenda AGA KHAN nikaonana nahuyo UROLOGY Specialist DR ZAHIR AKBAR nako nilipimwa kila kitu figo, korodani, tezi dume, kibofu, ini,presha, sukari nikaonekana niko sawa ila akaona katika tezi kuna infection kidgo ila akasema infection haiwezi kuleta hiyo tatizo akaandika dawa na yeye akashauri ni akili yako na mtu ulie nae na hizo dk unazotumia kumaliza tendo nisawa tu hakuna shida huna tatizo
Nshaonana mpaka na mwanasaikolojia pia DR CRIS MAUKI akanishauri kujiamini vyote navitekeleza lakini wapi najitahid kula vyakula asilia naepuka mafuta mafuata.
WAKUU NI HAYO NAHITAJI MSAADA WENU NAMI NIWEZE KUFURAHIA SEX YA ZAID BAO MOJA NAKUKAA MUDA KIDOGO KTK TENDO NA MUWEZA KURUDIA TENDO NDAN YA MUDA MFUPI.
Sent using Jamii Forums mobile app