Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Daah ni akili yako tu mwenyewe, na type ya mwanamke uliye naye

Mm dem akiwa ana matako makubwa, malaini yani mda wote mnara unasoma 4G , ni mwenda wa kushusha mzigo, na kupakia mzigo


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu flat screen.......utapata shida kama ya mshikaji.........tuseme jamaa alikosea hakujua hisia zake zipo wapi kati ya flat screen au TV ya chogo?
 
kuna wakati ilitokea nkapiga sex kwa dakika zaid ya 20 nasjui ilikuaje ila nilinotes mke alifurahia zaid japo hizo mara zingne nazofanya chini yadk10 anapizi ila alisema neno moja leo umejua kunifanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza Jiamini tu mkuu . Pili usiingie kwa kukamia,usikate mauno kwa Kasi hasa dk za mwanzoni. Baada Rudi utupe mrejesho
 
Iliwahigi nitokea ila sababu ilikua ni hofu,nikatulizaga kichwa panic ikakata Mambo yakaenda poa
Kama ni wewe au ni jamaa yako kweli tatizo liko kichwani
 
Mkuu flat screen.......utapata shida kama ya mshikaji.........tuseme jamaa alikosea hakujua hisia zake zipo wapi kati ya flat screen au TV ya chogo?

Yeah, kama mm hisia zangu zipo kwa madem wenye matako makubwa, na maziwa yaliyo jaa vizur..

Yan hapa ni mwendo wa kitombo tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naamini afya ya akili ni muhimu zaidi. Punguza stress wela akili yako sawa. kila kitu kitakuwa sawa.

Kunawakati nilikuwa na manzi fulani hivi, yule mamnzi nilikuwa namgegeda sana , yani nilikuwa namtifua kweli kweli.. lakini wakati wote bao la kwanza ni ndani ya 5min.. lapili na kuendelea ni zaidi ya 40 mnnts inategemea kama nimeamua kumaliza au laa.. wakati huo sikuwa na stress akili yangu ilikuwa njema kabisa.

Kutokana na mambo yaliyokuwa nje ya uwezo wangu niliachana na yule demu.. nikaamia kwa manzi mwingine ila nikajikuta pafomansi yangu imeshuka ghafla yani bao zote moja hadi tatu simalizi dakika 5. Nikagundua kuna kitu hakipo sawa kwenye saikolojia yangu..

Sasa nimetuliza akili ni mwendo wa kutifuana tuu ni mwendo wakusokota tuu mpaka KEI inanukia baruti yani mpaka moshi unatoka kmmk [emoji16][emoji16][emoji35][emoji35][emoji35]

Tuliza akili yako mkuuu kila kitu unacho mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama hutaki kuwahi kufika kileleni..... acha kupanda
 
Jamani namimi nimeshangazwa na hii Hali...huyu mpnz wangu mwaka Jana mweZi was kumi nammoja alikua vizuri tu.lakini kwanzia December Anaenda round moja TU Tena anawai Sana... Sahivi hawezi kabisa tendo landoa...Nimeona nimuache tu kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…