Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Wanaume wameandamwa humu na wewe you add to the pain. Suluhisho ni kwamba mwambie abadilishe demu aone matokeo. Tatizo la kulala kwa muhogo huenda ni kwa sababu ya huyo Mkewe...
Pengine hili ndio jawabu
 
Mh mkuu mbona kama masihara watu watakunywa humu,arafu muanze kuwaombea rambi rambi na kuwalaumu kwanini wamekunywa sumu kujiuwa!!
 
Wakuu naomba ushauri juzi nilipata mpenzi mpya lakini uume uligoma kusimama na hata ukisimama hauwi Na nguvu nilipata aibu sana..

Kiafya niko vizuri tu ila nasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo je hii inawezekana ikawa sababu?
 
Kwa ufupi chukua mizizi hata vipande viwli vya ukubwa Wa kidole cha katikati saga au twanga weka maji nusu Lita chemsha ukimaliza ipua changanya na asali mbichi kunywa bado motomoto
 
Ndugu mungu ametenda miujiza yake
...asantee sana kwa kunipa moyo kwa kipind ambacho nilipitia.
 
Ndugu mungu ametenda miujiza yake
...asantee sana kwa kunipa moyo kwa kipind ambacho nilipitia.
Ameeeen, ila kk itapendeza ukitupa mrejesho ni njia ipi hasa ilikusaidia ili kuwatia moyo wengine
 
Shida ni haya maisha ya kuishi kwa kitimoto,chips yai,coca cola,pombe,etc


Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…