Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,482
- 2,600
Mrejesho bro, lete feedback!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine hili ndio jawabuWanaume wameandamwa humu na wewe you add to the pain. Suluhisho ni kwamba mwambie abadilishe demu aone matokeo. Tatizo la kulala kwa muhogo huenda ni kwa sababu ya huyo Mkewe...
Mh mkuu mbona kama masihara watu watakunywa humu,arafu muanze kuwaombea rambi rambi na kuwalaumu kwanini wamekunywa sumu kujiuwa!!Chukua mizizi ya migomba isafishe kisha ichemshe kama maji uliweka Lita 3 yachemke mpaka yafikie Lita 2 baada yahapo subiri kizaga kipoe kisha piga robo Lita asubuhi na jioni alafu unipe mrejesho baada ya wiki mbili siitaji malipo ila ukipona ukapenda kunipa kahongera ni PM
Wanajua ukitoa hiyo laki tatu hutorudi tena,na tayari wameshakupiga pesa ndefu,ingekuwa wana dawa wasinge uza bei kubwa hivyoNa hili ndo linakatisha tamaa! 300k.
Du pole mkuuDropbox - File Deleted - Simplify your life
www.dropbox.com
Kwa ufupi chukua mizizi hata vipande viwli vya ukubwa Wa kidole cha katikati saga au twanga weka maji nusu Lita chemsha ukimaliza ipua changanya na asali mbichi kunywa bado motomotowatu wanaweza wasikuelewe. tangawizi kikombe nusu, kwani unatakiwa uwe umesaga tangawizi ngapi, zenye concentration kiasi gani (nzito, nyepesi etc), manake mwingine anaweza kukatakata tangawizi zikafika nusu kikombe akazisaga akanywa, mwingine akasaga tangawizi moja tu ila mchuzi wake ukawa nusu kikombe hicho, akanywa, je? watu wasage tangawizi ngapi, na wakati wa uchanganyaji maji yawekwe kiasi gani? je? iwe kali au ichanganywe na maji ili isiwe kali, etc, na je? vipi ukichanganya tangawizi na kitunguu swaumu humohumo kwenye juice moja ya icho nusu kikombe, inaruhusiwa?...thats what people would want to know...
Noted.Si bora tu ijiue.. mtu gani huna mabao
Ndugu mungu ametenda miujiza yakeKama upo instagram mfollow dr boaz mkumbo md jina hilo hilo anatumia YouTube pia yapo na mawasiliano yake nadhani anaweza kukupa msaada kwa namna moja ama nyingine hasa kupitia lishe yako mwingine mcheki YouTube Dr Eric Berg Dc... All the best mkuu, nitafurahi siku moja ukanipa mrejesho
Maneno yako yatimie mpaka na vizazi vyako.Niko serious... yaan mm bora niwe mlemavu wa akili ila mabao yawepo. Nitapiga hata nyeto for self satisfaction.
Nimekupata.Anza kula wanafunzi mkuu
Amen....mungu ametenda.
Ameeeen, ila kk itapendeza ukitupa mrejesho ni njia ipi hasa ilikusaidia ili kuwatia moyo wengineNdugu mungu ametenda miujiza yake
...asantee sana kwa kunipa moyo kwa kipind ambacho nilipitia.
Daaaaaa....miti shamba kwa sana na kumuomba mungu.Ameeeen, ila kk itapendeza ukitupa mrejesho ni njia ipi hasa ilikusaidia ili kuwatia moyo wengine
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Pole sana CreditAnalyst,ndio maana una mfadhaiko sana.Lkn vidume tupo ambao tukichukua Condom ni pkt 3 siyo moja,halafu kitaeleweka huko ndani,andaa machozi tu,machozi ya furaha na kelele juu.Nina mwanaume
Tumia lugha nzuri,tupo tulivyo kwa neema ya Mungu. Hivyo toa maneno yenye uponyaji kwa mwenzako.Si bora tu ijiue.. mtu gani huna mabao
Maneno yako yatimie mpaka vizazi vyako vyote.Si bora tu ijiue.. mtu gani huna mabao