Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Wanaume wameandamwa humu na wewe you add to the pain. Suluhisho ni kwamba mwambie abadilishe demu aone matokeo. Tatizo la kulala kwa muhogo huenda ni kwa sababu ya huyo Mkewe...
Pengine hili ndio jawabu
 
Chukua mizizi ya migomba isafishe kisha ichemshe kama maji uliweka Lita 3 yachemke mpaka yafikie Lita 2 baada yahapo subiri kizaga kipoe kisha piga robo Lita asubuhi na jioni alafu unipe mrejesho baada ya wiki mbili siitaji malipo ila ukipona ukapenda kunipa kahongera ni PM
Mh mkuu mbona kama masihara watu watakunywa humu,arafu muanze kuwaombea rambi rambi na kuwalaumu kwanini wamekunywa sumu kujiuwa!!
 
Wakuu naomba ushauri juzi nilipata mpenzi mpya lakini uume uligoma kusimama na hata ukisimama hauwi Na nguvu nilipata aibu sana..

Kiafya niko vizuri tu ila nasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo je hii inawezekana ikawa sababu?
 
watu wanaweza wasikuelewe. tangawizi kikombe nusu, kwani unatakiwa uwe umesaga tangawizi ngapi, zenye concentration kiasi gani (nzito, nyepesi etc), manake mwingine anaweza kukatakata tangawizi zikafika nusu kikombe akazisaga akanywa, mwingine akasaga tangawizi moja tu ila mchuzi wake ukawa nusu kikombe hicho, akanywa, je? watu wasage tangawizi ngapi, na wakati wa uchanganyaji maji yawekwe kiasi gani? je? iwe kali au ichanganywe na maji ili isiwe kali, etc, na je? vipi ukichanganya tangawizi na kitunguu swaumu humohumo kwenye juice moja ya icho nusu kikombe, inaruhusiwa?...thats what people would want to know...
Kwa ufupi chukua mizizi hata vipande viwli vya ukubwa Wa kidole cha katikati saga au twanga weka maji nusu Lita chemsha ukimaliza ipua changanya na asali mbichi kunywa bado motomoto
 
Kama upo instagram mfollow dr boaz mkumbo md jina hilo hilo anatumia YouTube pia yapo na mawasiliano yake nadhani anaweza kukupa msaada kwa namna moja ama nyingine hasa kupitia lishe yako mwingine mcheki YouTube Dr Eric Berg Dc... All the best mkuu, nitafurahi siku moja ukanipa mrejesho
Ndugu mungu ametenda miujiza yake
...asantee sana kwa kunipa moyo kwa kipind ambacho nilipitia.
 
Ndugu mungu ametenda miujiza yake
...asantee sana kwa kunipa moyo kwa kipind ambacho nilipitia.
Ameeeen, ila kk itapendeza ukitupa mrejesho ni njia ipi hasa ilikusaidia ili kuwatia moyo wengine
 
Shida ni haya maisha ya kuishi kwa kitimoto,chips yai,coca cola,pombe,etc


Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa!
 
Back
Top Bottom