Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Habarini mi nashida ya tatizo la nguvu za kiume na uume wangu mdogo sana kama wa mtoto nahitaji tiba nmeangaika sana nmekata tamaa ni muanga wa punyeto na xxx mwaka wa kumi huu unae da wa 11
 
Habarini mi nashida ya tatizo la nguvu za kiume na uume wangu mdogo sana kama wa mtoto nahitaji tiba nmeangaika sana nmekata tamaa ni muanga wa punyeto na xxx mwaka wa kumi huu unae da wa 11
Uume kama mtoto mdogo?Pole sana Mkuu
 
Habarini mi nashida ya tatizo la nguvu za kiume na uume wangu mdogo sana kama wa mtoto nahitaji tiba nmeangaika sana nmekata tamaa ni muanga wa punyeto na xxx mwaka wa kumi huu unae da wa 11
Kama Ni athari za pnyeto na xxx,tafuta unga wa msamitu kwenye maduka ya kisuni,changanya naafuta mgando ,paka kuzunguka uume Kila siku usiku kwa siku 14,na usipige pnyeto Wala kufanya mapenzi kwenye hizo siku,aaf ujiangalie ,tafuta pia full time demu.
 
Habarini mi nashida ya tatizo la nguvu za kiume na uume wangu mdogo sana kama wa mtoto nahitaji tiba nmeangaika sana nmekata tamaa ni muanga wa punyeto na xxx mwaka wa kumi huu unae da wa 11
Ukisimama huo uume unakuwa na inchi/ sm ngapi? Yamkini naweza kukusaidia, nijibu swali hili
 
kuna mtaalam mmoja huko facebook anajinadi Daniel nkiya akisema anayo tiba na watu wakisema mzigo upo vzr kama wapo mashuhuda wangejitokeza tuone anasaidiwa nini huyu ndugu
 
kuna mtaalam mmoja huko facebook anajinadi Daniel nkiya akisema anayo tiba na watu wakisema mzigo upo vzr kama wapo mashuhuda wangejitokeza tuone anasaidiwa nini huyu ndugu
Ntashukulu sana
 
kuna mtaalam mmoja huko facebook anajinadi Daniel nkiya akisema anayo tiba na watu wakisema mzigo upo vzr kama wapo mashuhuda wangejitokeza tuone anasaidiwa nini huyu ndugu
Kuna mashuhuda wa dawa zake??
 
Kuna mashuhuda wa dawa zake??
Niliona fb na baadhi ya watu wakishuhudia kuwa ni nzuri anazo za kukuza,nguvu,bawasili sasa nilimshauri lkn kama yupo shuhuda wa hizo dawa atoke tumsaidie ndugu yetu
 
Ndugu una scientific evidence kuthibitisha hili? isije ikawa na mawazo yako na unaifanya kama fact.

Maana nimetoka kusoma medical journal kuhusu faida na madhara ya kujichua and no where does it say that.

Niko apa chief ...naomba msahada

Mkuu nilitaka nijue tu kua Kuna dawa gani asili yenye nguvu Kama vagra, na kwann vagra ina nguvu kuliko hizi tunazo ambiwa Tutumie.?

KakaJambazi usiombe yakukute ni AIBU AIBU AIBU.

Bei ya hiyo kitu ikoje mkuu.??
Na pia si naskia ni vizuri ili kuitumia upate ushauri wa dktari inaweza kuleta madhara mkuu.

Karanga zinasaidia nini mkuu? Kuchelewa kufika or hamu ya tendo? Fafanuwa mkuu

Haifunguki chifu. Ebu nierekeze mazoezi gani ayo ya kukaza misuli?

Na kama nyeto nimeacha miaka 6 iliyopitaa.maana nikienda moja ya pili inanisumbua sana dr

Kwahio nani kapona atoe ushuhuda? Dawa gani katumia ukiacha hizo za Hospital. Tupeane hio michongo kulinda heshima

Almond ndiyo nini? Unaweza kuweka picha yake?

Almond ni nini

Habarini mi nashida ya tatizo la nguvu za kiume na uume wangu mdogo sana kama wa mtoto nahitaji tiba nmeangaika sana nmekata tamaa ni muanga wa punyeto na xxx mwaka wa kumi huu unae da wa 11

kuna mtaalam mmoja huko facebook anajinadi Daniel nkiya akisema anayo tiba na watu wakisema mzigo upo vzr kama wapo mashuhuda wangejitokeza tuone anasaidiwa nini huyu ndugu

Kuna mashuhuda wa dawa zake??
Watu wengi wanahangaika na tiba ya upungufu wa nguvu za kiume ila mimi nitaongelea katika suala la kujichua tu (punyeto). Kumbuka mimi siyo daktari wala siuzi dawa. Hii ni elimu tunapeana kama wanaume
Amini hili suala la upungufu wa nguvu za kiume baada ya kuathirika na punyeto linatibika na mimi nimepona. Huu ni ushuhuda wangu 100%. Nilianza tabia ya kujichua baada ya kuangalia picha na video za utupu, nilijichua kwa muda mrefu na madhara yake yalikuwa haya
  • Nawahi kumaliza chini ya dakika 1
  • Uume unakuwa mdogo kama wa mtoto mdogo
  • Sina hisia na mwanamke. Ile hamu ya kusimamisha haipo ipo kwa mbali sana
  • Mapigo ya moyo kupungua hata kutokuwepo. Hii hutokea ambapo unapokuwa na hisia za kujamiana, mapigo hudunda haraka haraka kusukuma damu nyingi kupeleka kwenye uume. Hali hii hutoweka
  • Uume kusimama legelege, huwezi kusimamisha kama msumari kwa dakika 2 na kuendelea.
  • Ukisimamisha na ukapata msuguano kidogo sana, unaweza ukapizi ndani ya boksa. Unaweza ukawa unashikana na mwanamke kimahaba ila ukajikuta umemwaga hata haujavua nguo.
Unajua kuchanganyikiwa kwa mwanaume ni katika hali hii. Nilichanganyikiwa hasa. Nilichofanya
Nilienda hospitali moja ya private (Jina kapuni) huko Dodoma nikamuelezea dokta hivi
1. Nawahi kumaliza, chini ya dakika moja
2. Mimi ni muathirika wa punyeto. Nilikuwa najichua
Watu wengi wanashindwa kupata matibabu kwasababu
A. Hawaendi katika hospitali kubwa. Unatakiwa uende hospitali kubwa za serikali au binafsi
B. Kutojielezea vizuri. Hawatoi maelezo yaliyojitosheleza.
C. Uelewa wa daktari na jinsia. Ukikutana daktari kipanga atakuandikia dawa nzuri na pia angalia jinsia hasa mwanaume.
D. Aibu. Acha kuwa na aibu hayo ndiyo mashai yako
Daktari aliniandikia dawa 4 ( majina kampuni) ambazo zilinigharimu kiasi cha 60,000 za kitanzania. Dawa mbili hazikuwepo hospitalini, mbili zingine nilinunua kwenye duka la dawa lililo jirani na hospitali hiyo. Mpaka leo risiti zake za dawa ninazo. Nimewekea lamination kabisa
Nilitumia dawa kwa miezi 3, ilikuwa 2015-06-06. Niliacha kujichua na kuangalia picha za X.
Baada ya kutumia dawa hizi niliona mabadiliko haya
1. Uume ulirudi katika hali yake ya awali. Ulikuwa mkubwa
2. Nilianza kusimamisha mpk unauma. Nasimamisha msumari
3. Nilianza kupata hisia ya kujamiana
4. Niliona mapigo ya moyo yanaenda mbio, moyo kusukuma damu nyingi kuepeleka kwenye uume.
Baada ya hapo nilianza kutumia asali ya nyuki wakubwa na wadogo pia. Nilitumia kama wiki 3 hivi. Asubuhi nakunywa vijiko 3 mpk 4, mchana na usiku. Kuna wakati nakunywa asali iliyojaa kwenye kichupa cha milimilita 300 kwa mara moja, kuna wakati natumia kulia na ugali.
Nikaja kutumia dawa (jina kapuni). Nilimeza kidonge kimoja tu kwa usiku mmoja na sijawahi kutumia tena mpaka leo hii. Kinauzwa 1500 mpaka 3500 kulingana na mkoa
Nikianza kupiga show natumia dakika 22 mpaka 30, hamu napata, kwa siku naweza kupiga show nyingi na simwagi mapema, naenda style zote. Kuna wakati sili chakula kwa wakati, maji sinywi kwa wakati na sifanyi mazoezi ila show napiga mpaka shemeji yenu anadai amechoka.
Unayesoma soma comment hii, matibabu ya kweli yapo hospitali. Nenda hospitalini. Ukapate tiba na acha kujichua. Siuzi dawa wala siyo daktari. Mimi ni mhanga kama ulivyo wewe tu.
 
Hoffenheim

Weka vitu wazi Huna haja ya kuficha. Taja jina la hospitali na dawa ulizopewa ili watu wanufaike nazo. Maelezo yamekuwa mengi km unafanya promotion. Fupisha stori tumsaidie jamaa huyo.
 
Hoffenheim

Weka vitu wazi Huna haja ya kuficha. Taja jina la hospitali na dawa ulizopewa ili watu wanufaike nazo. Maelezo yamekuwa mengi km unafanya promotion. Fupisha stori tumsaidie jamaa huyo.
AENDE HOSPITALI
 
AENDE HOSPITALI
Sawa inawezekana alishaenda. Kuna ugumu gani kutaja hospitali, daktari na dawa ulizotumia?
Napata wasiwasi kuwa huna nia ya msaada ila una jambo. Maelezo mengi lakini taarifa muhimu hakuna. Itakuwa unataka watu waje inbox ili biashara ifanyike. Weka kila kitu hapa hadharani.
 
Huyu tapel anataka wamfate pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…