Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Haaahaaahaaahaaahaaa inawezekana dogo alitaka kuweka record ili aingie kwenye Guiness book of the world..Bao 42 ni wazi kuwa itafika hatua hatoi sperms tena ingawa atakuwa anasisimka...Dah hatari sana...<br />
<br />
khaa.!hii kiboko. Bao 42..! Inaelekea alikula mkuyat b4.
Asante kwa mada.
Matatizo ya Nguvu za Kiume yanasababishwa na mazingira ya sasa tunayoishi.
(i) Aina ya vyakula tunavyokula
(ii) Msongo wa mawazo kutokana na ugumu wa maisha.
(iii) Magonjwa
Sasa hivi tunakula vyakula vya viwandani. Vyakula vya viwandani vimepitia njia mbali mbali hadi kufikia mlaji. Pia kuna chemicali zakuhifadhi.
Katika mlolongo wote huo lazima chakula kinakuwa sio chenyewe, tayari chemicali zinaingia.
Chemicall ndo sumu zinaenda kukusanyika katika mwili wa binadamu hasa kwenye mifupa (ambapo kuna vacuum). Kumbuka kuwa mifupa ina born marrow ambazo ni muhimu kama hifadhi ya nguvu za kiume na pia ndipo white blood cells (kinga za mwili zinatengenezwa na kuhifadhiwa.
Sasa hizi sumu zinaenda kukusanyika pale kwenye born marrow, na unapotumia nguvu katika shughuli. born marrow inatumika na nafasi inapopatikana tu sumu zinaenda kule. Kwa hiyo ukila chakula, born marrow hazipati nafasi ya kukua.
Kumbuka kwenye testicals (yaani Ma pu .mbu) ambazo mbegu zinatengenezwa, mali ghafi hutoka katika born marrow.
MSAADA. NI KUONDOA SUMU TU MWILINI KWA KUTUMIA VIRUTUBISHO NA MAZOEZI HADI KUTOKWA NA JASHO. VIRUTUBISHO NI KAMA ALOE VERA KUTOKA FOREVER LIVING. KWA MAZOEZI MAANA YAKE, JASHO LINATOKA PAMOJA NA HIZO SUMU. SASA LAZIMA HIZO SUMU ZIPATE MSUKUMO WA KUZITOA NJE.
Mtu akitumia dawa za hosp kwa ajili ya matibabu kuna baadhi ya mabaki ya dawa yanabaki mwilini. na hiyo ni madhara.

si wengine kujieleza kwa hawa maDr tumechoka!!!