Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Ni nyingi saaana.... fikiri sekunde 1 hadi dakika dakika mbili hadi tano.
Dakika tano unasikiliza nyimbo zifuatazao na kuisha.

1)Marvin Gaye-Sexual Healing
2)Commodores-Night shift
3)Madonna-Holiday
4)Madonna-Who's That Girl
5)London Beat-Thinking About You
6)Ali Kiba-Mvumo wa Radi
7)Harmonize-Kwangwaru
8)Avicii-Wake Me Up
9)Brenda Fassie-Nakupenda
10)Chico-I Need Some Money
11)Chaka Chaka-I'm Burning Up
12)James Ingkam-Always
13)Coolio-Gangster's Paradise
14)Coolio-See You When You get There
15)Naughty By Nature-Hip Hip Hooray
16)Mc Lyte-Rock The Party
17)Eve-Who's That Girl
18)Lukas Graham-Seven Years
19)Jidenna-Bambi
20)Major Lazer-Particular
 
Wakuu kwema?

Leo ni mara ya kwanza kujiunga na familia hii baada ya kuwa mpitiaji wa nyuzi mbalimbali.

Mimi ni kijana wa 20's ambae kwa sasa napitia changamoto kubwa inayonifanya nisiwe na mahusiano ya kudumu.

Kwanza kabisa ni suala la kugegeda. Hapa nikipiga bao moja tena la dk 4-5 nakuwa sina tena hamu ya kurudia tendo na nikirudia muda unakua huo huo na siwezi kwenda zaidi ya hapo.

Pili nina tatizo la uume kuwa mdogo sana. Hizi hali zinanikosesha raha ya mahusiano kabisa wakuu.

Nifanyeje niondokane na halii hii? Napata shida sana hadi nimekosa raha ya maisha.
Pole sana mkuu anza kwanza na hii: MUENDELEZO WA TIBA ZANGU DR MWASIMBA - JamiiForums
 
Wakuu kwema?

Leo ni mara ya kwanza kujiunga na familia hii baada ya kuwa mpitiaji wa nyuzi mbalimbali.

Mimi ni kijana wa 20's ambae kwa sasa napitia changamoto kubwa inayonifanya nisiwe na mahusiano ya kudumu.

Kwanza kabisa ni suala la kugegeda. Hapa nikipiga bao moja tena la dk 4-5 nakuwa sina tena hamu ya kurudia tendo na nikirudia muda unakua huo huo na siwezi kwenda zaidi ya hapo.

Pili nina tatizo la uume kuwa mdogo sana. Hizi hali zinanikosesha raha ya mahusiano kabisa wakuu.

Nifanyeje niondokane na halii hii? Napata shida sana hadi nimekosa raha ya maisha.

Nina mengi ya kuwa /kukushauri maana nina uzoefu coz nipo ktk ndoa miala 12 nimekutana na mengi ambayo tukishera utafanikiwa sana uapande huo ila kutype siwezi maana ni mengi kweli kuanzia lifestyle, vyakula, mazoezi, na kisaikolojia kama hutojari nifate Whatsapp huku tutaongea hata. Kwa voice au nenda YouTube search kila. Kitu kipo huko tena kwa video kwa no hii 0756695846

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu..
~Jitahidi uache nyeto
~Jitahidi ujiepushe na depression
~Fanya mazoezi
~Kula vizuri

Inaonekana una depression boss, haujajikubal na hali..na pia unajicompare sana na watu either pornstars au washkaji, hicho kitu sio kabisa. Huezi perform kile kitu kama hauko comfortable kaka,

Kipindi fulani nilikua najifikiria kwamba nina uume mdogo sana, Kwahiyo sikua comfortable nikiwa nafanya s*x..nilikua nikikutana na mtu dakika moja tuu wazungu haoo....., hiyo hali ilinikosesha sana raha, nikajikuta nnakua na msongo wa mawazo halafu nikaamia kwenye kuangalia porn videos ambazo nikawa natumia kujichua. Matokeo yake sasa nikikutana na mtu tena, Siwez kusimamisha au hata nikisimamisha basi kidgo sana kma ni mtandao umesoma edge! Inasimama kidogo ukipeleka pale inarudi..au hta ikikubal basi siend round ya pili.

Hapo nikashtuka..nikaanza kutafuta dawa..kila mtu alinambia lake, nilikula dawa za kila aina na kila rangi, nilotafuna mizizi kama mbuzi. Hakuna kilichobadilika, msongo wa mawazo ukanizidia..na tatizo likaongezeka zaidi.

Rafiki yangu mmoja akanishauri kitu, kwanza akanambia kwmba yeye ana **** ndogo ikiwa haijasimama lakini ikisimama ni shigida, Akanipa usemi kwamba **** haipimwi ikiwa imelala bali ikiwa imesimama KWAHIYO BADALA YA KUHANGAIKA NA SIZE YAKE KABLA HAIJAAMKA INATAKIWA UHANGAIKE KUFANYA IWE STRONG IKISIMAMA. Hiyo ilinipa confidence sana, pia akanambia kwamba natakiwa ninywe maji mengi sana kila wakati. Hii ni kwa sabab ili isimame is all about blood flow, na 70% ya damu ni maji..well nadhan utakua umeona connection hapo.

Pia akanishauri kuwa ninatakiwa nifanye sana mazoezi kwani itasaidia mishipa ya dam kusisimuka na kuwa active.

Halafu mwisho akanihadithia scenario yake moja kwamba kuna siku aliamua kumkomoa mtu, saa moja kabla ya tendo alikula matango mawili..Akanywa maji mengi, kisha akala ugali wake vizuri, akajilaza kumsubiri mhanga wake. Unaambiwa show ilikua sio ya kitoto, hadi wanaenda karibia saa zima bado jamaa hajafika...

Sasa basi nikaamua kufuata ushauri wa jamaa, kma mnavojua wengi tunapenda immediate results hivyo nikaanzia mwisho kwenye ushauri wa jamaa..nikafanya kama jinsi alifanya, nikaita mtu, Mi nikala matango matatu kabisa [emoji28][emoji28], nikanywa maji, nikapiga zangu ugali dona samaki..nikajilaza kumsubiri mhanga, aisee round ya kwanza tuu nilienda zaidi ya dakika 40!! nikamaliza, round ya pili hatukumaliza mana alipigwa mtu mpaka akakauka kwahiyo tukawa tunaumizana tuu...niliuguza michubuko kwa siku kadhaa

Well, Sisemi kwamba matango have something to do with early ejaculation..inaweza kuwa au isiwe. Lakini kwa scenario kama hiyo unaweza kujifunza pia kwmba kuwa sawa Psychologically ni muhimu zaidi kwenye s e x kuliko hiyo size ya dushee

Hiyo ilikua short term plan, baada ya hapo nikaendelea na ushaur mwingine wa jamaa..nikaacha kabisa kuangalia porn na kupiga nyeto (ilikua ngumu sana lakini hakika ukiamua inawezekana kabisa), nikaanza kufanya mazoezi, na ulaji wa matunda na mboga mboga ukawa sehem ya maisha yangu. Mambo yamebadilika, saiv najiona mtu kama wengine tuu..

NB: Samahanini wakubwa zangu kama nimetumia lugha za kukera, sikua na namna..I know how it feels kuwa kwenye situation kama hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujiamini pia ni jambo la maana sana kwenye kugegeda,ikitokea ishu kama hiyo kwamba umemwaga wareno mapema halafu ukashindwa kuendelea
Usiwe na hofu na kujidharau kwamba we ni hewa,itakujengea kutokujiamini na kukuathiri kisaikolojia ukashindwa tena mazima

Mi binafsi nilishawahi kuvuliwa nguo na mwanamke nikashindwa kusimama kabisa,iliniletea stress sana had I nilipopata msaada kwa wataalamu,
Sasa hivi napiga dudu kinyama shemeji yenu nadhani anajua huu mziki
 
Haihitaji kuambiwa ana shida,anajua ana shida,anachohitaji ni ushauri! Two things involved, aidha umshauri au umpe pole!

Sent using Jamii Forums mobile app

Ok nimekupata. Ushauri wangu ni simple...aendelee na nyeto tuu
Raisi wa KUGEGEDA ulipotea sana.

Sii unajua Tena lazima ni hakikkshe mawaziri wangu wakigegeda wanafanya kazi ipasavyo....kuwagegeda wanawake vilivyo.
Ila nipo usijali kaka tupo pamoja.
 
Pole sana mkuu..
~Jitahidi uache nyeto
~Jitahidi ujiepushe na depression
~Fanya mazoezi
~Kula vizuri

Inaonekana una depression boss, haujajikubal na hali..na pia unajicompare sana na watu either pornstars au washkaji, hicho kitu sio kabisa. Huezi perform kile kitu kama hauko comfortable kaka,

Kipindi fulani nilikua najifikiria kwamba nina uume mdogo sana, Kwahiyo sikua comfortable nikiwa nafanya s*x..nilikua nikikutana na mtu dakika moja tuu wazungu haoo....., hiyo hali ilinikosesha sana raha, nikajikuta nnakua na msongo wa mawazo halafu nikaamia kwenye kuangalia porn videos ambazo nikawa natumia kujichua. Matokeo yake sasa nikikutana na mtu tena, Siwez kusimamisha au hata nikisimamisha basi kidgo sana kma ni mtandao umesoma edge! Inasimama kidogo ukipeleka pale inarudi..au hta ikikubal basi siend round ya pili.

Hapo nikashtuka..nikaanza kutafuta dawa..kila mtu alinambia lake, nilikula dawa za kila aina na kila rangi, nilotafuna mizizi kama mbuzi. Hakuna kilichobadilika, msongo wa mawazo ukanizidia..na tatizo likaongezeka zaidi.

Rafiki yangu mmoja akanishauri kitu, kwanza akanambia kwmba yeye ana **** ndogo ikiwa haijasimama lakini ikisimama ni shigida, Akanipa usemi kwamba **** haipimwi ikiwa imelala bali ikiwa imesimama KWAHIYO BADALA YA KUHANGAIKA NA SIZE YAKE KABLA HAIJAAMKA INATAKIWA UHANGAIKE KUFANYA IWE STRONG IKISIMAMA. Hiyo ilinipa confidence sana, pia akanambia kwamba natakiwa ninywe maji mengi sana kila wakati. Hii ni kwa sabab ili isimame is all about blood flow, na 70% ya damu ni maji..well nadhan utakua umeona connection hapo.

Pia akanishauri kuwa ninatakiwa nifanye sana mazoezi kwani itasaidia mishipa ya dam kusisimuka na kuwa active.

Halafu mwisho akanihadithia scenario yake moja kwamba kuna siku aliamua kumkomoa mtu, saa moja kabla ya tendo alikula matango mawili..Akanywa maji mengi, kisha akala ugali wake vizuri, akajilaza kumsubiri mhanga wake. Unaambiwa show ilikua sio ya kitoto, hadi wanaenda karibia saa zima bado jamaa hajafika...

Sasa basi nikaamua kufuata ushauri wa jamaa, kma mnavojua wengi tunapenda immediate results hivyo nikaanzia mwisho kwenye ushauri wa jamaa..nikafanya kama jinsi alifanya, nikaita mtu, Mi nikala matango matatu kabisa [emoji28][emoji28], nikanywa maji, nikapiga zangu ugali dona samaki..nikajilaza kumsubiri mhanga, aisee round ya kwanza tuu nilienda zaidi ya dakika 40!! nikamaliza, round ya pili hatukumaliza mana alipigwa mtu mpaka akakauka kwahiyo tukawa tunaumizana tuu...niliuguza michubuko kwa siku kadhaa

Well, Sisemi kwamba matango have something to do with early ejaculation..inaweza kuwa au isiwe. Lakini kwa scenario kama hiyo unaweza kujifunza pia kwmba kuwa sawa Psychologically ni muhimu zaidi kwenye s e x kuliko hiyo size ya dushee

Hiyo ilikua short term plan, baada ya hapo nikaendelea na ushaur mwingine wa jamaa..nikaacha kabisa kuangalia porn na kupiga nyeto (ilikua ngumu sana lakini hakika ukiamua inawezekana kabisa), nikaanza kufanya mazoezi, na ulaji wa matunda na mboga mboga ukawa sehem ya maisha yangu. Mambo yamebadilika, saiv najiona mtu kama wengine tuu..

NB: Samahanini wakubwa zangu kama nimetumia lugha za kukera, sikua na namna..I know how it feels kuwa kwenye situation kama hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Noted mkuu,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujiamini pia ni jambo la maana sana kwenye kugegeda,ikitokea ishu kama hiyo kwamba umemwaga wareno mapema halafu ukashindwa kuendelea
Usiwe na hofu na kujidharau kwamba we ni hewa,itakujengea kutokujiamini na kukuathiri kisaikolojia ukashindwa tena mazima

Mi binafsi nilishawahi kuvuliwa nguo na mwanamke nikashindwa kusimama kabisa,iliniletea stress sana had I nilipopata msaada kwa wataalamu,
Sasa hivi napiga dudu kinyama shemeji yenu nadhani anajua huu mziki
Noted.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha punyeto mzee,hiyo ndo inasababisha uwe hivyo,ukiwa mpiga punyeto huwezi kumudu kukaa kati kwa mda wa round mbili au tatu,acha kabisa hiyo kitu na utashangaa hali ya mwili inarudi kama mwanzo.punyeto huua nguvu za kiume,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je unamwili wa unene?
Unapiga masta?
Unaangalia porn?

Well,epuka hvyo nilivyotaja af utakuja nambia,..maana anaefanya haya hata kudindisha tu kawaida ile asubuh hua ni ishu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom