Damian J Ntundagi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2017
- 1,652
- 2,355
Badala ya kumsaidia tatizo liishe eti unamuacha wewe ulikua kimaslahi zaidi
Jamani namimi nimeshangazwa na hii Hali...huyu mpnz wangu mwaka Jana mweZi was kumi nammoja alikua vizuri tu.lakini kwanzia December Anaenda round moja TU Tena anawai Sana... Sahivi hawezi kabisa tendo landoa...Nimeona nimuache tu kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app