FOREVER ARGI+
Ni bidhaa nzuri sana yenye vitamin C, D3,K2,B6,B12,Folate, L-Arginine,sugars
Husaidia katika mzunguko mzuri wa damu, ukuaji mzuri wa misuli,ukuaji na urekebishaji mzuri wa mifupa na tishu za mwili.
Husaidia kwa kiwango kikubwa ukuaji na ufanisi wa nguvu za kiume.
Husaidia umeng'enyaji mzuri wa mafuta na sukari mwilini na vilevile husaidia katika uzalishaji wa hormoni katika mwili.
Inapatikana kwa Tsh 125000/- tu
Kwa anayehitaji ushauri zaidi au mwenye kuhitaji hiyo bidhaa anaweza kuwasiliana kwa email:
healthwealthfirst@gmail.com au pia kunipigia kwa namba 0713889162
Wekeza, boresha na tunza afya yako sababu ndiyo jambo la msingi