Tatizo la usafiri mikoa ya Kaskazini kuelekea sikukuu za Christmass na mwaka mpya

Tatizo la usafiri mikoa ya Kaskazini kuelekea sikukuu za Christmass na mwaka mpya

Nrangoo

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
3,407
Reaction score
5,418
Habari ya wikiend wadau..

Naona tatizo la usafiri kila ikikaribia mwisho wa mwaka bado linaendelea kuzoeleka na kuonekana kawaida.

Leo nimejaribu kufanya booking kwa bus kampuni zaidi ya tatu naona zote ziko booked mpaka wiki ijayo nafasi zimejaa.

Lakini kuna watu wanalangua ticket kwa bei ya Juu kinyume na muongozo wa LATRA.

Kama kuna mdau aliyefanikiwa kukata tiketi kwa bei elekezi wakati huu naomba atujuze nasi tujue tunafanya vipi.


Pia mwenye uzoefu na usafiri wa treni tunaomba kufahamu gharama na ratiba za safari zinakuwaje kuelekea mikoa ya Kilimanjaro na Arusha.


Asante
 
Back
Top Bottom