dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Gesi hi tumboni inaweza kufanya mboo kuwa ndogo Kam ya mbotoPia jaribu kuonana na wataalam wa urology mfano kama upo dar kuna MDM UROLOGY SPECIALIZED HOSP ipo mbezi chini rainbow.
Kuna jamaa niliwahi muelekeza akaends hapo kafanyiwa vipimo kumbe tatizo dogo tu la gesi , aliwahi nipigie simu kuwa mkeka wake kwa sasa umetiki
Kwa tatizo la huyo mtu aliambiwa ni gesi ndio shida na alitibiwa akanipigia simu kuwa amekaa sana.Gesi hi tumboni inaweza kufanya mboo kuwa ndogo Kam ya mboto
Tatizo hili linaweza kutokea kwa sababu mbalimbali.mfano punyeto, pressure ya damu ni ndogo yani haizunguzi ipasavyo namaanisha damu ndo inafanya uume usimame kwahiyo ikiwa mishipa yako ya uume haipitishi damu vizuri basi uume hautosimama ,pia wenge hapa namaanisha unakuwa unasimamisha sana ukiwa peke yako hasa unapotaka kukutana na mpenzi wako lakini akishafika unakosa nguvu sababu nguvu nyingi ulizitumia kusimamisha ukiwa peke yako, pia kutazama pono hii ina madhara sana ktk afya ya uume wako,kingine kulithi huenda kuna ndugu yako alikuwa na ugonjwa huu. Nakushauli kwanza usikate tamaa utapona, hivyo Fanya mazoezi ya mwili pia ya uume wako yani hata ukiwa umekaa unaweza kufanya mazoezi ya uume wako uwe unafanya Mara 60 kwa siku yani unabana unaachia msuri ya uume wako,pia ukiwa unakojoa epuka kupana mkojo kwa mkono wako yani usishike uume ukaubana ili mkojo usitoke badala yake tumia misuri ya uume wako kubana mkojo.kwahyo unapokojoa usikojoe mfululizo .kojoa huku unabana mkojo kwa kutumia misuri yako . kingine tafuta mti unaitwa mrongeronge kila asubuhi kabla hujala tafuna vitinda vyake 5 kwa siku. Kingine jiamini .utanikumbukaJamani, nina umri wa miaka 21, nina tatizo la uume kusinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo, na hata wakati wa tendo kabla sijaingiza ukeni huwa unasinyaa na hata ukiingia bado unasinyaa.
Nimezunguka sana kutafuta tiba lakini sijapata. Hivyo naomba msaada kwa mtu yeyote yule ambae amewahi kupona tatizo hili.
Maoni na ushauri unaruhusiwa pia.
Ukiwa umekaa popote pale au umesimama bana misuri ya uume wako kama vile unakojoa au unakunywa bana achia Fanya hivyo Mara 60 kwa siku.hii itakusaidia itaweka uimara wa misuri ya uume wakoJamani, nina umri wa miaka 21, nina tatizo la uume kusinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo, na hata wakati wa tendo kabla sijaingiza ukeni huwa unasinyaa na hata ukiingia bado unasinyaa.
Nimezunguka sana kutafuta tiba lakini sijapata. Hivyo naomba msaada kwa mtu yeyote yule ambae amewahi kupona tatizo hili.
Maoni na ushauri unaruhusiwa pia.
sisi tuliojaliwa watoto wa kiume, kila siku tunaangalia kwa ukaribu sana. Asubuhi utaona kanasimamisha, ukikaogesha ukikagusa kana respond, kakiwa kanakojoa unaangalia kanarusha mkojo? Unasema Asante Mungu.I blame this to many parents.
Kegel muscle exercises.Hamna dawa ya kurefusha ataishia kutapeliwa alafu hii hali ya kuhisi mashine ndogo uwa inawakumba vijana wengi wanapo balehe kwa kukosa kujiamini ila muhimu azingatie mazoezi hasa jogging na kenjel (sijui kama nimepatia spelling)
Jamani, nina umri wa miaka 21, nina tatizo la uume kusinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo, na hata wakati wa tendo kabla sijaingiza ukeni huwa unasinyaa na hata ukiingia bado unasinyaa.
Nimezunguka sana kutafuta tiba lakini sijapata. Hivyo naomba msaada kwa mtu yeyote yule ambae amewahi kupona tatizo hili.
Maoni na ushauri unaruhusiwa pia.
ChaTatizo hili likuwepo tangu mwanzo.Nimekuja kuligundua tangu wakati wa balehe nikiwa na miaka 16.
Ndio ukweli huo, nyeto imelostisha watu wengi kichiziKuna mtu atakuja akuambie acha nyeto....
Tiba asili ni ipi hiyo mamaa.Pole mkuu wazazi wako wangeligundua mapema ungekuwa umeshapona kwa ile tiba asili
Sawa mkuu ntajitahidi kufanya hivyo nashukuru sanaPia jaribu kuonana na wataalam wa urology mfano kama upo dar kuna MDM UROLOGY SPECIALIZED HOSP ipo mbezi chini rainbow.
Kuna jamaa niliwahi muelekeza akaenda hapo kafanyiwa vipimo kumbe tatizo dogo tu la gesi , aliwahi nipigia simu kuwa mkeka wake kwa sasa umetiki
Dah nashukuru sana boss kwa ushauri ntafanyia kazi etiTatizo hili linaweza kutokea kwa sababu mbalimbali.mfano punyeto, pressure ya damu ni ndogo yani haizunguzi ipasavyo namaanisha damu ndo inafanya uume usimame kwahiyo ikiwa mishipa yako ya uume haipitishi damu vizuri basi uume hautosimama ,pia wenge hapa namaanisha unakuwa unasimamisha sana ukiwa peke yako hasa unapotaka kukutana na mpenzi wako lakini akishafika unakosa nguvu sababu nguvu nyingi ulizitumia kusimamisha ukiwa peke yako, pia kutazama pono hii ina madhara sana ktk afya ya uume wako,kingine kulithi huenda kuna ndugu yako alikuwa na ugonjwa huu. Nakushauli kwanza usikate tamaa utapona, hivyo Fanya mazoezi ya mwili pia ya uume wako yani hata ukiwa umekaa unaweza kufanya mazoezi ya uume wako uwe unafanya Mara 60 kwa siku yani unabana unaachia msuri ya uume wako,pia ukiwa unakojoa epuka kupana mkojo kwa mkono wako yani usishike uume ukaubana ili mkojo usitoke badala yake tumia misuri ya uume wako kubana mkojo.kwahyo unapokojoa usikojoe mfululizo .kojoa huku unabana mkojo kwa kutumia misuri yako . kingine tafuta mti unaitwa mrongeronge kila asubuhi kabla hujala tafuna vitinda vyake 5 kwa siku. Kingine jiamini .utanikumbuka
Nashukuru boss sitakata tamaa kutafuta tiba sahihi mpaka niponePole sana! Kama ulianza kugundua tatizo hili kwenye age ya 16 maana yake una chango la kiume ambalo liliathiri utolewaji wa homoni za ukuaji wa msumbile,homoni hizo pia huhusisha nguvu za kiume.Kwa age ya 21 uliyonayo bado huchachelewa sana unaweza kutibika ukipata tiba sahihi,lakini pia ukiendelea kukaa bila kujitibu kanaweza kuendelea kuwa kadogo zaidi.Hii hali inawatokea watu wengi,wengine ni watu wa umri mkubwa zaidi na mara nyingi kesi hizi ni common sana kweye age ya 30- 45.
Wanawake wako ni wasafi?Sijawai mpa mimba Binti ntampaje wakati kabla hata sijaingiza inasinyaa.