Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko vyumbani inaonesha kuna mambo si ya kitoto [emoji23] [emoji23] [emoji23]"bia zangu umekunywa, chakula umekula, nauli umechukua nauliza utatoa hutoi"
Lazma mgongo, kiuno na magoti viume
Punguza mikao ya Korea huko usije tenganisha mwili juu na chini[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Show za kibabe ni zipi hizo?Punguza show za kibabe
Siyo hivyo jamani mimi ni mtu wa ta-ra-a-a-a-a-a-a-a-a-t-i-i-i-i-ibu-u-u-u-u-u-u-u-uwe jamaa inaonekana hua unapump kwa hasira kama crank shaft vile
Duh! Hilo nalo nenoUnatumia nguvu nyingi.
Nashukuru,kumbe tuko wengi!!!Na mimi hilo tatizo linanisumbua sana..
Za kuvunja chagaShow za kibabe ni zipi hizo?
Sidhani kama kuna anayefikia huko!Mimi mambo yangu ni taratibu kabisa mpaka-a-a-a-a,yaani we acha-a-a-a-a,tu!!Za kuvunja chaga
Au pengine unachuja hadi premature sp.......Duh! Hilo nalo neno
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji2] we hatari sana"bia zangu umekunywa, chakula umekula, nauli umechukua nauliza utatoa hutoi"

umedata asee, umenifurahisha sana na hii pasaka hiiPunguza show za kibabe