Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

Asante mpenzi,, maybe we overdid na ni kweli it was a long time kidogo sikua na mtu b4 him,,, asante kwa kuni assure

basi sheria ya zoezi iko hivi leo kikimbia laps 3 ukaugua kesho ongeza ziwe 4 yaani usishushe bali upandishe dozi ili ujue max limit kwako ni ipi na ukiifikia hiyo hutoumwa tena.

hongera kwa kupata kitu adimu hicho dada wenzio hadi wanazeeka hawajui climax inafananaje.
 
Eh kumbe wanawake siku hizi wanafikishwa kileleni? Jamaa yako mpya inaonekana dushelele lake ni zaidi ya nchi 8 maana aliingiza hadi mwisho angalia asije akakisogeza kizaza na utashindwa kuzaa hapo mbele ya safari,usiteme big G kwa karanga za kuonjeshwa!

umeona! anavuna alichokipanda kwa muda sasa, malalamiko ya nn?
 
Sa kwann unazini na kati unajua madhara ake na hujaolewa hujui kua unatenda dhambi huna haya et unaomba ushauri siku ya mwsho utatoa hesabu kwa Mungu sogea mbele ya Mungu utubu na uache tabia za kichafu jiheshimu ji2nze na ujielewe¿
 
Hukuzingatia Vigezo na Masharti

Kunywa Panadol na maumivu yakizidi Muone Daktari!!
 
Sa kwann unazini na kati unajua madhara ake na hujaolewa hujui kua unatenda dhambi huna haya et unaomba ushauri siku ya mwsho utatoa hesabu kwa Mungu sogea mbele ya Mungu utubu na uache tabia za kichafu jiheshimu ji2nze na ujielewe¿
your a real GT hope point noted....
 
Sa kwann unazini na kati unajua madhara ake na hujaolewa hujui kua unatenda dhambi huna haya et unaomba ushauri siku ya mwsho utatoa hesabu kwa Mungu sogea mbele ya Mungu utubu na uache tabia za kichafu jiheshimu ji2nze na ujielewe¿

JUgde ye Not.... thank u
 
Hallow buddies ningependa kupata solution ya hili tatizo, kila nifanyapo sex na mtu wangu hulalamika anapata maumivu
chini ya kitovu. Nimetumia nafasi hii kuleta mada hapa jamvini niweze pata pakuanzia ikiwa ntahitaji kumuona dakitari.
 
Hallow buddies ningependa kupata solution ya hili tatizo,kila nifanyapo sex na mtu wangu hulalamika anapata maumivu
chini ya kitovu..nimetumia nafasi hii kuleta mada hapa jamvini niweze pata pakuanzia ikiwa ntahitaji kumuona dakitari.

Well, you could have bruised her cervix or the end of her vagina. Depending on her age (like if she is too young to have sex) and the length of your *** as well as how hard you were having sex. If the pain continues please head to the OB/GYN
 
Nilisahau kuongeza kitu, she should.
  • Avoid sex one week prior to and during her period
  • Take warm baths after sexual encounters
  • Take over the counter pain killers
  • Perform kegel exercises to strengthen the muscles of the pelvic floor
  • Try sexual positions that don't put pressure on your uterus such as laying on your side
Good lucky!
 
We ukikaribia kushuka unapiga kama unapiga mwizi unategemea nini!take it nice n slow kaka,haya mambo sio mchezo wa ngumi ambapo ili ushinde lazima utumie miguvu.
 
Nenda hospital hilo ni tatizo labda km mtwangio ni mrefu sana lkn ukienda hosp mtashauriwa zaid.
 
Hallow buddies ningependa kupata solution ya hili tatizo,kila nifanyapo sex na mtu wangu hulalamika anapata maumivu
chini ya kitovu..nimetumia nafasi hii kuleta mada hapa jamvini niweze pata pakuanzia ikiwa ntahitaji kumuona dakitari.

Nenda hospitali mkapimwe haswa kipimo cha mkojo UTI mara nyinge huwa na dalili kama hizo na kama ni UTI hakikisheni mnapata matibabu kamili wote wawili ili msiendelee kuambukizana.
 
Kitaalamu hiyo hali inaitwa Dyspareunia. Unaweza ku-google ukapata uelewa wa juu juuKuna vitu vya msingi daktari angependa kujua
a. Umri wa huyo mpenzi wako
b. Hiyo hali ya kupata maumivu imeanza lini-je kuna wakati hii hali haikuwepo?
c. Kama kuna uchafu au maji maji yoyote yasiyo ya kawaida yanatoka ukeni, na kama ndio yana harufu au rangi yoyote?
d. Kama kuna maji maji je yanawasha?
e. Je anapokojoa mkojo anapata maumivu yoyote
f. Baada au wakati wa tendo la ndoa, kuna damu yoyote inatoka (Post coital Bleedin)?

Inawezekana ikawa
1. Inflammation of the cervix (Cervicits)
2. Inflammation of the Vagina (Vaginitis)
3. STIs
4. Pelvic inflammatory Disease (PID)

Ushauri nenda naye hospitali akafanyiwe vipimo na kutibiwa
 
Back
Top Bottom