Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

Jipe rikizo kama mwezi mzima bila kufanya then resume uone kama hali itabadilikamaana bwana vitu vingine vinahitaji kuliwa kwa nafasi

Ninaweza pumzika hata mwezi na nusu, na tena kadri ninavyopumzika muda mrefu ndio tatizo huzidi pale nikutanapo kimwili.
 
Mbio ndefu au fupi badilisheni, tumieni Cunningulus kwani akiingia chumvini utapona tu, awe mtundu kwa kila dizain au mtakua mmechokana kila akijisikia ni mtalimbo na shimo, SHIMO NA MTALIMBO hapo maumivu ni lazima, huyo aingie uvunguni acheki oil ya Diffu

Du! Asante Ukwaju.
 
Last edited by a moderator:
But seriously, unafanya mazoezi? Maumivu ni kwenye misuli/nyama ama ni kwa ndani? Muulize dr wako kuhusu kukufanyia culture.
 
Labda nanihii haitaki tena kazi. Ipe lkkizo bila malipo mndee, ikome.

Mndee, niliiweka likizo miezi mitatu nikajua ikitoka huko itakuwa kidogo maumivu hakuna, ila najuta kwani ndio kama nimeenda chochea tumbo lizidi uma ati. Yaani mpaka nakosa stimu ya kuenjoy sex. Dah! Yani sijui nini.
 
Mungu ana jambo na wewe mndee lol. Ulienda kwa dr bingwa wa wanawake?
Mndee, niliiweka likizo miezi mitatu nikajua ikitoka huko itakuwa kidogo maumivu hakuna, ila najuta kwani ndio kama nimeenda chochea tumbo lizidi uma ati. Yaani mpaka nakosa stimu ya kuenjoy sex. Dah! Yani sijui nini.
 
But seriously, unafanya mazoezi? Maumivu ni kwenye misuli/nyama ama ni kwa ndani? Muulize dr wako kuhusu kukufanyia culture.

King'asti ukweli ni kuwa mie si mtu wa mazoezi kiviile. Na maumivu hayo huanzia kinenani mpaka ndani ya tumbo. Na huwa nikijaribu kuingiza kidole, hukuta uke umevimba si kawaida na maumivu ya tumbo makali.
 
Last edited by a moderator:
Hii tunaita cervical dryness kitaalam;nunua mafuta maalum ya uke mara nyingi kuwa tube ingiza ndani ya uke kabla ya jamaa hajaja

Malafyale, labda nikurudishe nyuma kidogo, huwa nilikuja hapa Jf Dr baada ya tumbo kuuma sana, uke kuvimba na kuwasha sana kila nimalizapo kuingiliana nikiwa nimevaa mpira wa kiume.

Wengi walishauri nibadilishe aina ya mpira ninaotumia. Nilibadilisha lakini hali ikawa ni ileile tena kuzidi awali.
Kuna member mmoja ni specialist wa magonjwa ya uke na kizazi nilimuona na alishauri nijaribu kuacha kutumia mpira nione itakuwaje pia alinipa na jelly ya kupaka ukeni.

Na kweli, kwani baada ya kuacha tatizo lilikata kabisa. Ila sasa nimepumzika mwaka mmoja na safari hii limerudi kwa kasi sana mpaka najishangaa.

Nilijaribu kuanza kutumia mpira lakini wapi. Btw ushauri wako nimeuzingatia. Nitajaribu tafuta hyo tube.
 
Last edited by a moderator:
Mungu ana jambo na wewe mndee lol.
Ulienda kwa dr bingwa wa wanawake?

Mndele mara ya mwisho nilikutana na dr mmoja hv, btw aliniuliza iwapo jamaa ana ndefu, nikamwambia hapana akasema nijaribu pumzika kwanza. Ila ndo kama nimetibua tatizo.
 
Madame B,

Angalia unasogezwa kizazi we umekazania tu hana mashine ndefu, mpini mkubwa huo perhaps unaona ndogo lakini ni kubwa hyo believe dat ushasogezwa kizazi cc: Mandingo
 
Last edited by a moderator:
Hii hali si ya kawaida, nenda hospitali haraka sana. Pita hospitali tatu tofauti zenye wataalamu wa magonjwa ya wanawake.

BAK, nimepitia Hosp kama tatu, huko nimeishia pewa dawa lakini tatizo bado halikomi.
Na tena safari hii ndio kasi imezidi. Asante sana kwa ushauri labda nitafute tiba zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Sasa we ukiingizwa mbooo tu unakatika kama unacheza mayenu unategemea tumbo lisiume!!acha miuno afu jamaa mwambie awe ananyunyizia mikogo ado ado maumivu yataisha.
 
Angalia unasogezwa kizazi we umekazania tu hana mashine ndefu,mpini mkubwa huo perhaps unaona ndogo lakini ni kubwa hyo believe dat ushasogezwa kizazi cc: Mandingo

King Kong III, sikuwa naliwaza hilo la urefu au ufupi. Ila mbona sipati maumivu wakati wa tendo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom