Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Pima pelvic ultrasound,urine microscopy na HVS hapo lazima mzizi wa fitina utakatika tu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Asante.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pima pelvic ultrasound,urine microscopy na HVS hapo lazima mzizi wa fitina utakatika tu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Jipe rikizo kama mwezi mzima bila kufanya then resume uone kama hali itabadilikamaana bwana vitu vingine vinahitaji kuliwa kwa nafasi
Mbio ndefu au fupi badilisheni, tumieni Cunningulus kwani akiingia chumvini utapona tu, awe mtundu kwa kila dizain au mtakua mmechokana kila akijisikia ni mtalimbo na shimo, SHIMO NA MTALIMBO hapo maumivu ni lazima, huyo aingie uvunguni acheki oil ya Diffu
Pole utapona mamii....... Madame B
Labda nanihii haitaki tena kazi. Ipe lkkizo bila malipo mndee, ikome.
Mndee, niliiweka likizo miezi mitatu nikajua ikitoka huko itakuwa kidogo maumivu hakuna, ila najuta kwani ndio kama nimeenda chochea tumbo lizidi uma ati. Yaani mpaka nakosa stimu ya kuenjoy sex. Dah! Yani sijui nini.
But seriously, unafanya mazoezi? Maumivu ni kwenye misuli/nyama ama ni kwa ndani? Muulize dr wako kuhusu kukufanyia culture.
Hii tunaita cervical dryness kitaalam;nunua mafuta maalum ya uke mara nyingi kuwa tube ingiza ndani ya uke kabla ya jamaa hajaja
Mungu ana jambo na wewe mndee lol.
Ulienda kwa dr bingwa wa wanawake?
Hii hali si ya kawaida, nenda hospitali haraka sana. Pita hospitali tatu tofauti zenye wataalamu wa magonjwa ya wanawake.
Angalia unasogezwa kizazi we umekazania tu hana mashine ndefu,mpini mkubwa huo perhaps unaona ndogo lakini ni kubwa hyo believe dat ushasogezwa kizazi cc: Mandingo
Sasa we ukiingizwa tu unakatika kama unacheza mayenu unategemea tumbo lisiume! Acha miuno afu jamaa mwambie awe ananyunyizia mikogo ado ado maumivu yataisha
Fupi Tamu Ndefu inakera jaribu na bamia tatizo lako litaisha