Tatizo la wanawake kushindwa kushika mimba linazidi kuwa kubwa

Aiseee it's true
Sbb nyingine ni ya kiroho
Spiritual wife/husband is real
 
kwa aina hii ya wanaume walio ambatanishwa hapa chini utapataje mimba?
 

Attachments

  • IMG_20231108_140242.jpg
    37.4 KB · Views: 5
  • IMG_20231008_162312.jpg
    63.4 KB · Views: 6
Haya hili nalo muende mkalitazame msilifumbie macho
 
Ila hivyo vijiji mnavyosema ni vipi
Maana,mmh vijiji vya sikuhizi πŸ™Œ
Ndo maana nikakazia kuhusu style ya maisha sio tabia, ulaji,mazoezi na madawa iko tofuti na mjini, vijijini vyakula vingi ni vya asili, mazoezi wanafanya kwenye kazi kutembea nk, madawa wanawake wachache wanatumia uzazi wa mpango ama hizi p2 kiholela ama la madawa mengineyo si sana km town hata takwimu za uzazi kijijini ziko juu kuliko mijini ililetwa kujadiliwa humu wiki chache zilizopita na dar iko mwisho katika hilo si kwamba hawazagamuani ila wanazuia mimba kwa mbinu nyingi
 
🀣🀣Eti hawazagamuani
Nimecheka
Ni kweli dear
 
ripoti ya utafiti please tumechoka na porojo na uzushi wenu humu JF. Acha kuishi kwa hisia ndugu lete ripoti mahsusi!
 
Matumizi holela ya vidhibiti mimba,utoaji mimba na ufuska ndio sababu kubwa.Binti anachezea usichana wake weee!!!,Jua likizama anajifanya anataka kuolewa na kutulia Kwenye ndoa na kupata Watoto Wakati alishajiharibu kizazi.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Hawa wanawake wenyewe mambo ya mimba hawayataki
Wao wanacho kitaka ni kufikishwa mlimani tu tena kule juu kabisa
Haki..... Nimecheka.... Sasa mimba ni mara moja baada ya miaka 3 au minne.... Siku zinazobaki tunataka kukojoaz.... Ila umenena vema, hivi unajua raha yake lakini...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…